2 Nyakati 19:2 SWHULB 4K Bible Verse Pictures

Christian 4K Wallpapers with inspirational Bible verse quotes on beautiful images and backgrounds. Download 2 Nyakati 19:2 SWHULB ultra hd wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

2 Nyakati 19:2 SWHULB 4K Wallpaper - Kisha Yehu mwana wa Hanani, mwonaji, akatoka - 4K Wallpaper Bible Verse

2 Nyakati 19:2 SWHULB

Kisha Yehu mwana wa Hanani, mwonaji, akatoka kukutana naye na akasema kwa mfalme Yehoshafati, “Unapaswa kuwa unawasaidia waovu? Unapaswa kuwapenda wanaomchukia Yahwe? Kwa ajili ya tendo hili, ghadhabu toka kwa Yahwe iko juu yako.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

2 Chronicles 19:2 SWHULB Ultra HD Christian Wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

2 Nyakati 19:2 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to 2 Nyakati 19:2 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Zaburi 139:21 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 139:21 (SWHULB) »
Je, siwachukii hao, wale wakuchukiao Yahwe? Je, siwadharau wale wanao inuka dhidi yako?

2 Nyakati 24:18 SWHULB Bible Verse Image
2 Nyakati 24:18 (SWHULB) »
Wakaiacha nyumba ya Yahwe, Mungu wa babu zao, na kuwaabudu miungu na maashera na sanamu. Ghadhabu ya Mungu ikaja juu ya Yuda na Yerusalemu kwa sababau ya hili kosa lao.

2 Nyakati 18:3 SWHULB Bible Verse Image
2 Nyakati 18:3 (SWHULB) »
Ahabu, mfalme wa Israeli, akamwambia Yehoshafati, mfalme wa Yuda, “Utakwenda Ramothi-gileadi pamoja nami?” Yehoshafati akamjibu, “Mimi ni kama wewe, na watu wangu ni kama watu wako; tutakuwa pamoja nawe katika vita.”

2 Nyakati 20:34 SWHULB Bible Verse Image
2 Nyakati 20:34 (SWHULB) »
Kwa mambo mengine kuhusu Yehoshafati, mwanzo na mwisho, tazama, yameandikwa katika historia ya kitabu cha wafalme wa Israeli.

2 Nyakati 16:7 SWHULB Bible Verse Image
2 Nyakati 16:7 (SWHULB) »
Wakati huo Hanani mwonaji akaenda kwa Asa, mfalme wa Yuda, na akamwambia, “Kwa sababu umemtegemea mfalme wa Aramu, na hukumtegemea Yahwe Mungu wako, jeshi la mfalme wa Aramu limetoroka nje ya mikono yako.

2 Nyakati 32:25 SWHULB Bible Verse Image
2 Nyakati 32:25 (SWHULB) »
Lakini Hezekia hakumlipa Yahwe kwa ajili ya msaada uliotolewa kwake, kwa maana moyo wake uliinuliwa juu.

1 Wafalme 16:1 SWHULB Bible Verse Image
1 Wafalme 16:1 (SWHULB) »
Neno la BWANA lilimjia Yehu mwana wa Hanani kinyume cha Baasha, likisema,

Waefeso 5:11 SWHULB Bible Verse Image
Waefeso 5:11 (SWHULB) »
Usiwepo ushiriki katika kazi za giza zisizo na matunda, badala yake ziweke wazi.

Warumi 8:7 SWHULB Bible Verse Image
Warumi 8:7 (SWHULB) »
Hii ni kwa sababu ile nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu, kwa maana haitii sheria ya Mungu, wala haiwezi kuitii.

1 Samweli 9:9 SWHULB Bible Verse Image
1 Samweli 9:9 (SWHULB) »
(Zamani katika Israeli, mtu alipotaka kujua neno kuhusu mapenzi ya Mungu, alisema, “Njoo, haya twende kwa mwonaji.” Kwa maana nabii wa leo, zamani aliitwa Mwonaji).

Warumi 1:32 SWHULB Bible Verse Image
Warumi 1:32 (SWHULB) »
Wanaelewa kanuni za Mungu, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo wanastahili kifo. Lakini si tu wanafanya mambo hayo, wao pia wanakubaliana na wale wanaofanya mambo hayo.

Waraka wa Yakobo 4:4 SWHULB Bible Verse Image
Waraka wa Yakobo 4:4 (SWHULB) »
Enyi wazinzi! Hamjui kwamba urafiki na ulimwengu ni uadui dhidi ya Mungu? Kwa hiyo, yeyote aamuaye kuwa rafiki wa ulimwengu hujifanya mwenyewe adui wa Mungu.

Available Bible Translations

American Standard Version
2 Chronicles 19:2 (ASV) »
King James Version
2 Chronicles 19:2 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
2 Chronicles 19:2 (GW) »
World English Bible
2 Chronicles 19:2 (WEB) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
2 इतिहास 19:2 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
2 ਇਤਿਹਾਸ 19:2 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
2 বংশাৱলি 19:2 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
2 நாளாகமம் 19:2 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
2 इतिहास 19:2 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
2 దినవృత్తాంతాలు 19:2 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
2 કાળવૃતાંત 19:2 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
2 ಪೂರ್ವಕಾಲವೃತ್ತಾಂತ 19:2 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
٢ أخبار 19:2 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
דברי הימים ב 19:2 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
2 Crônicas 19:2 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
2 Sử Ký 19:2 (VIE) »
Reina Valera Antigua
2 Crónicas 19:2 (RVA) »
圣 经 简体中文和合本
历 代 志 下 19:2 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
歷 代 志 下 19:2 (CUVT) »
Библия на русском
2 Паралипоменон 19:2 (RUSV) »
Українська Біблія
2 хроніки 19:2 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
2 Krónika 19:2 (KAR) »
Българска Библия
2 Летописи 19:2 (BULG) »
De Heilige Schrift
2 Kronieken 19:2 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »