2 Nyakati 28:19 SWHULB 4K Bible Verse Pictures

Christian 4K Wallpapers with inspirational Bible verse quotes on beautiful images and backgrounds. Download 2 Nyakati 28:19 SWHULB ultra hd wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

2 Nyakati 28:19 SWHULB 4K Wallpaper - Kwa kuwa Yahwe aliishusha chini Yuda kwa sababu - 4K Wallpaper Bible Verse

2 Nyakati 28:19 SWHULB

Kwa kuwa Yahwe aliishusha chini Yuda kwa sababu ya Ahazi, mfalme wa Israeli; kwa maana alikuwa ametenda maovu katika Yuda na alikuwa ametenda dhambi nzito sana dhidi ya Yahwe.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

2 Chronicles 28:19 SWHULB Ultra HD Christian Wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

2 Nyakati 28:19 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to 2 Nyakati 28:19 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

2 Nyakati 21:2 SWHULB Bible Verse Image
2 Nyakati 21:2 (SWHULB) »
Yehoramu, mwanaye, akawa mfalme katika nafasi yake. Yehoramu alikuwa na ndugu, wana wa Yehoshafati: Azaria, Yerieli, Zekaria, Azaria, Mikaeli, na Shefatia. Wote hawa walikuwa wana wa Yehoshafati, mfalme wa Israeli.

Mwanzo 3:11 SWHULB Bible Verse Image
Mwanzo 3:11 (SWHULB) »
Mungu akasema, “Ni nani alikwambia kuwa ulikuwa uchi? Je umekula kutoka mti ambao nilikuagiza usile matunda yake?”

Ufunuo 3:17 SWHULB Bible Verse Image
Ufunuo 3:17 (SWHULB) »
Kwa kuwa unasema, “Mimi ni tajiri, nimekuwa na mali nyingi, na sihitaji chochote.” Lakini hujui kwamba wewe ni duni sana, wakuhuzunikiwa, maskini, kipofu na uchi.

Mika 6:16 SWHULB Bible Verse Image
Mika 6:16 (SWHULB) »
Kanuni zilizotengenezwa na Omri zimetunzwa, na matendo yote ya nyumba ya Ahabu. Mnatembea kwa ushauri wao. Hivyo nitakufanya wewe, mji, gofu, na makazi yako jambo la zomeo, na matabeba dharau kama watu wangu.”

Hosea 5:11 SWHULB Bible Verse Image
Hosea 5:11 (SWHULB) »
Efraimu ameangamizwa; ameangamizwa kwa hukumu, kwa sababu ametembea kwa hiari kufuata sanamu.

Mithali 29:23 SWHULB Bible Verse Image
Mithali 29:23 (SWHULB) »
Kiburi cha mtu humshusha chini, bali mwenye roho ya unyenyekevu atapewa heshima.

Zaburi 106:41 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 106:41 (SWHULB) »
Akawaruhusu mataifa, na wale walio wachukia wakawatawala.

Ayubu 40:12 SWHULB Bible Verse Image
Ayubu 40:12 (SWHULB) »
Mwangalie kila mmoja mwenye kiburi na umweke chini; wakanyage chini watu waovu mahali wanaposimama.

1 Samweli 2:7 SWHULB Bible Verse Image
1 Samweli 2:7 (SWHULB) »
BWANA humfanya maskini, na yeye ndiye humtajirisha mtu. Yeye hudhili, lakini pia hukweza

Torati 28:43 SWHULB Bible Verse Image
Torati 28:43 (SWHULB) »
Mgeni aliye miongoni mwako atainuka juu zaidi yako juu na juu; wewe mwenyewe utashuka chini na chini.

Kutoka 32:25 SWHULB Bible Verse Image
Kutoka 32:25 (SWHULB) »
Basi Musa alipoona ya kuwa watu hawa wameasi (maana Haruni amewaacha waasi, ili wawe dhihaka kati ya adui zao)

Mwanzo 3:7 SWHULB Bible Verse Image
Mwanzo 3:7 (SWHULB) »
Macho ya wote wawili yalifumbuliwa, na wakajua kuwa wako uchi. Wakashona majani ya miti pamoja na wakatengeneza vya kujifunika wao wenyewe.

Available Bible Translations

American Standard Version
2 Chronicles 28:19 (ASV) »
GOD’S WORD® (GW)
2 Chronicles 28:19 (GW) »
World English Bible
2 Chronicles 28:19 (WEB) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
2 इतिहास 28:19 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
2 ਇਤਿਹਾਸ 28:19 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
2 বংশাৱলি 28:19 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
2 நாளாகமம் 28:19 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
2 इतिहास 28:19 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
2 దినవృత్తాంతాలు 28:19 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
2 કાળવૃતાંત 28:19 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
2 ಪೂರ್ವಕಾಲವೃತ್ತಾಂತ 28:19 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
٢ أخبار 28:19 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
דברי הימים ב 28:19 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
2 Crônicas 28:19 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
2 Sử Ký 28:19 (VIE) »
Reina Valera Antigua
2 Crónicas 28:19 (RVA) »
圣 经 简体中文和合本
历 代 志 下 28:19 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
歷 代 志 下 28:19 (CUVT) »
Библия на русском
2 Паралипоменон 28:19 (RUSV) »
Українська Біблія
2 хроніки 28:19 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
2 Krónika 28:19 (KAR) »
Българска Библия
2 Летописи 28:19 (BULG) »
De Heilige Schrift
2 Kronieken 28:19 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »