2 Petro 2:19 SWHULB 4K Bible Verse Pictures

Christian 4K Wallpapers with inspirational Bible verse quotes on beautiful images and backgrounds. Download 2 Petro 2:19 SWHULB ultra hd wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

2 Petro 2:19 SWHULB 4K Wallpaper - Huwaahidi watu uhuru wakati wao wenyewe ni - 4K Wallpaper Bible Verse

2 Petro 2:19 SWHULB

Huwaahidi watu uhuru wakati wao wenyewe ni watumwa wa dhambi ya ufisadi. Maana mwanadamu hufanywa kuwa mtumwa wa kile kinachomtawala.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

2 Peter 2:19 SWHULB Ultra HD Christian Wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

2 Petro 2:19 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to 2 Petro 2:19 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Yohana 8:34 SWHULB Bible Verse Image
Yohana 8:34 (SWHULB) »
Yesu aliwajibu, “Amini, amini, nawaambia, kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi.

Warumi 6:16 SWHULB Bible Verse Image
Warumi 6:16 (SWHULB) »
Hamjui ya kuwa kwake yeye ambaye mnajitoa wenyewe kama watumishi ndiye ambaye ninyi mnakuwa watumishi wake, yeye mnayepaswa kumtii? Hii ni kweli hata kama ninyi ni watumwa katika dhambi ambayo inapelekea mauti, au watumwa wa utii unaopelekea haki.

Wagalatia 5:1 SWHULB Bible Verse Image
Wagalatia 5:1 (SWHULB) »
Ni kwa sababu Kristo alitupa uhuru ili tuwe huru. Hivyo, simameni imara wala msinaswe tena katika kongwa la utumwa.

Wagalatia 5:13 SWHULB Bible Verse Image
Wagalatia 5:13 (SWHULB) »
Mungu amewaiteni ninyi, ndugu, kwenye uhuru. Ila msiutumie uhuru wenu kama fursa kwa mwili. Badala yake kwa upendo mhudumiane ninyi kwa ninyi.

1 Petro 2:16 SWHULB Bible Verse Image
1 Petro 2:16 (SWHULB) »
Kama watu huru, msiutumie uhuru wenu kama kifuniko kwa maovu, bali muwe kama watumishi wa Mungu.

Tito 3:3 SWHULB Bible Verse Image
Tito 3:3 (SWHULB) »
Kwa kuwa sisi pia tulikuwa na mawazo potofu na wakaidi. Tulikuwa upotevuni na tulifanywa watumwa kwa tamaa nyingi na starehe. Tuliishi katika wivu na uovu. Tulichukiza na kuchukiana.

2 Timotheo 2:26 SWHULB Bible Verse Image
2 Timotheo 2:26 (SWHULB) »
Waweze kupata ufahamu tena na kuepuka mtego wa Shetani, baada ya kuwa wametekwa na yeye kwa ajili ya mapenzi yake.

Isaya 28:1 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 28:1 (SWHULB) »
Ole kwa taji la kiburi ambalo huvaliwa na kila mlevi wa Efraimu, na ua linalofifia la utukufu wa uzuri wake, ua lililowekwa kichwani mwa bonde linalostawi na hao wanoshindwa na nvinyo!

Warumi 6:12 SWHULB Bible Verse Image
Warumi 6:12 (SWHULB) »
Kwa sababu hiyo usiruhusu dhambi itawale mwili wako ili kusudi uweze kuzitii tamaa zake.

Yeremia 23:9 SWHULB Bible Verse Image
Yeremia 23:9 (SWHULB) »
Kuhusu manabii, moyo wangu umevunjika ndani yangu, na mifupa yangu yote imetetemeka. Nimekuwa kama mlevi, kama mtu ambaye ameshindwa na divai, kwa sababu ya Bwana na maneno yake matakatifu.

2 Petro 2:20 SWHULB Bible Verse Image
2 Petro 2:20 (SWHULB) »
Yeye ajiepushaye na uchafu wa ulimwengu kwa kutumia maarifa ya Bwana na mwokozi Yesu Kristo, na kisha akarudia uchafu huo tena, hali yake huwa mbaya kuliko ile ya mwanzo.

Available Bible Translations

American Standard Version
2 Peter 2:19 (ASV) »
King James Version
2 Peter 2:19 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
2 Peter 2:19 (GW) »
World English Bible
2 Peter 2:19 (WEB) »
Louis Segond 1910
2 Pierre 2:19 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
2 पतरस 2:19 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
2 ਪਤਰਸ 2:19 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
2 পিতরের 2:19 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
2 பேதுரு 2:19 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
2 पेत्र 2:19 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
2 పేతురు పత్రిక 2:19 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
2 પિતરનો 2:19 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
2 ಪೇತ್ರನು 2:19 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
٢ بطرس 2:19 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
אגרת כיפא השניה 2:19 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
2 Pedro 2:19 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
2 Phi-rơ 2:19 (VIE) »
Reina Valera Antigua
2 Pedro 2:19 (RVA) »
圣 经 简体中文和合本
彼 得 后 书 2:19 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
彼 得 後 書 2:19 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
2 Pjetrit 2:19 (ALB) »
Библия на русском
2 Петра 2:19 (RUSV) »
Українська Біблія
2 Петра 2:19 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
2 Péter 2:19 (KAR) »
Българска Библия
2 Петрово 2:19 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
2 Butros 2:19 (SOM) »
De Heilige Schrift
2 Petrus 2:19 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »