2 Samweli 11:2 SWHULB 4K Bible Verse Pictures

Christian 4K Wallpapers with inspirational Bible verse quotes on beautiful images and backgrounds. Download 2 Samweli 11:2 SWHULB ultra hd wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

2 Samweli 11:2 SWHULB 4K Wallpaper - Hivyo ikawa siku moja wakati wa jioni Daudi - 4K Wallpaper Bible Verse

2 Samweli 11:2 SWHULB

Hivyo ikawa siku moja wakati wa jioni Daudi akaamka kutoka kitandani na akatembea katika dari la kasri. Akiwa pale akamwona mwanamke aliyekuwa akioga, mwanamke yule alikuwa mzuri sana kwa mwonekano.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

2 Samuel 11:2 SWHULB Ultra HD Christian Wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

2 Samweli 11:2 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to 2 Samweli 11:2 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Mathayo 5:28 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 5:28 (SWHULB) »
Lakini nawaambieni yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani amekwisha kuzini naye moyoni mwake.

Matendo ya Mitume 10:9 SWHULB Bible Verse Image
Matendo ya Mitume 10:9 (SWHULB) »
Siku iliyofuata muda wa saa sita wakiwa njiani na wamekaribia mjini, Petro akapanda juu darini kuomba.

Zaburi 119:37 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 119:37 (SWHULB) »
Uyageuze macho yangu dhidi ya kutazama mambo yasiyofaa; unihuishe katika njia zako.

Ayubu 31:1 SWHULB Bible Verse Image
Ayubu 31:1 (SWHULB) »
Nimefanya patano na macho yangu; ni kwa namna gani tena napaswa kumtazama mwanamwali kwa tamaa?

Mwanzo 3:6 SWHULB Bible Verse Image
Mwanzo 3:6 (SWHULB) »
Na mwanamke alipoona kuwa mti ni mzuri kwa chakula, na kuwa unapendeza macho, na kwamba mti ulitamanika kwa kumfanya mtu awe mwerevu, alichukua sehemu ya tunda na akala. Na sehemu yake pia akampatia mumewe aliyekuwa naye, naye akala.

Mithali 6:25 SWHULB Bible Verse Image
Mithali 6:25 (SWHULB) »
Moyoni mwako usiutamani uzuri wake wala usitekwe katika kope zake.

1 Yohana 2:16 SWHULB Bible Verse Image
1 Yohana 2:16 (SWHULB) »
Kwani kila kitu kilichomo katika dunia- tamaa ya mwili, tamaa ya macho, na kiburi cha uzima- havitokani na Baba lakini vinatokana na dunia.

Torati 22:8 SWHULB Bible Verse Image
Torati 22:8 (SWHULB) »
Ujengapo nyumba mpya, basi unapaswa kujenga kitalu kwa ajili ya paa yako ili usilete damu juu ya nyumba yako mtu akianguka kutoka pale.

2 Samweli 4:7 SWHULB Bible Verse Image
2 Samweli 4:7 (SWHULB) »
Hivyo walipoingia ndani ya nyumba, walimpiga na kumuua wakati amelala chumbani mwake. Kisha wakakata kichwa chake na wakaondoka nacho, wakasafiri njiani usiku kucha mpaka Araba.

1 Petro 4:7 SWHULB Bible Verse Image
1 Petro 4:7 (SWHULB) »
Mwisho wa mambo yote unakuja. Kwa hiyo, mwe na ufahamu ulio sahihi, na iweni na nia njema kwa ajili ya maombi yenu.

1 Wathesalonike 5:6 SWHULB Bible Verse Image
1 Wathesalonike 5:6 (SWHULB) »
Hivyo basi, tusilale kama wengine walalavyo. Bali tukeshe na kuwa makini.

Mwanzo 34:2 SWHULB Bible Verse Image
Mwanzo 34:2 (SWHULB) »
Shekemu mwana wa Hamori Mhivi, mwana mfalme wa nchi, akamwona na akamkamata kwa nguvu na kulala naye.

Available Bible Translations

American Standard Version
2 Samuel 11:2 (ASV) »
King James Version
2 Samuel 11:2 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
2 Samuel 11:2 (GW) »
World English Bible
2 Samuel 11:2 (WEB) »
Louis Segond 1910
2 Samuel 11:2 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
2 शमूएल 11:2 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
2 ਸਮੂਏਲ 11:2 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
2 চমূৱেল 11:2 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
2 சாமுவேல் 11:2 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
2 शमुवेल 11:2 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
2 సమూయేలు 11:2 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
2 શમુએલ 11:2 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
2 ಸಮುವೇಲನು 11:2 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
صَمُوئِيلَ ٱلثَّانِي 11:2 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
שמואל ב 11:2 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
2 Samuel 11:2 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
2 Sa-mu-ên 11:2 (VIE) »
Reina Valera Antigua
2 Samuel 11:2 (RVA) »
圣 经 简体中文和合本
撒 母 耳 记 下 11:2 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
撒 母 耳 記 下 11:2 (CUVT) »
Библия на русском
2 Царств 11:2 (RUSV) »
Українська Біблія
2 Самуїлова 11:2 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
2 Sámuel 11:2 (KAR) »
Българска Библия
2 Царе 11:2 (BULG) »
De Heilige Schrift
2 Samuël 11:2 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »