Waefeso 6:21 4K Wallpapers
Waefeso 6:21 SWHULB 4K Bible Verse Pictures
Christian 4K Wallpapers with inspirational Bible verse quotes on beautiful images and backgrounds. Download Waefeso 6:21 SWHULB ultra hd wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Waefeso 6:21 SWHULB
Lakini ninyi pia mjue mambo yangu na jinsi ninavyoendelea, Tikiko ndugu yangu kipenzi na mtumishi mwaminifu katika Bwana, atawajulisha kila kitu.
View New TabSocial Share Icons
Ephesians 6:21 SWHULB Ultra HD Christian Wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.
Waefeso 6:21 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Waefeso 6:21 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Matendo ya Mitume 20:4 (SWHULB) »
Walioandamana naye hadi Asia walikuwa Sopatro, mwana wa Pirho kutoka Berea; Aristariko na Sekundo, wote kutoka waamini wa Wathesalonike; Gayo wa Derbe; Timotheo; Tikiko na Trofimo kutoka Asia.
Tito 3:12 (SWHULB) »
Nitakapomtuma kwako Artemi au Tikiko, harakisha uje kwangu huku Nikopoli ambapo nimeamua kukaa kipindi cha baridi.
Wakolosai 4:7 (SWHULB) »
Kwa mambo yanayonihusu mimi, Tikiko atayafanya yajulikane kwenu. Yeye ni ndugu mpendwa, mtumishi mwaminifu, na mtumwa mwenzetu katika Bwana.
1 Petro 5:12 (SWHULB) »
Namthamini Silwano kama ndugu mwaminifu, na nimewaandikia ninyi kwa ufupi kupitia kwake. Ninawatia moyo na ninashuhudia kwamba nilichokiandika ni neema ya kweli ya Mungu. Simameni ndani yake.
Wafilipi 1:16 (SWHULB) »
Wale wanaomtangaza Kristo kwa upendo wanajua kuwa nimewekwa hapa kwa ajili ya utetezi wa injili.
1 Timotheo 4:6 (SWHULB) »
Kama utayaweka mambo haya mbele ya ndugu, utakuwa mtumishi mzuri wa Yesu Kristo. Kwa sababu umestawishwa kwa maneno ya imani na kwa mafundisho mazuri ambayo umeyafuata.
Wakolosai 1:7 (SWHULB) »
Hii ndiyo injili mliyojifunza kutoka kwa Epafra, mpendwa wetu mtumishi mwenzetu, ambaye ni mtumishi mwaminifu wa Kristo kwa niaba yetu.
1 Wakorintho 4:17 (SWHULB) »
Hiyo ndiyo sababu nilimtuma kwenu Timotheo, mpendwa wangu na mtoto mwaminifu katika Bwana. Atawakumbusheni njia zangu katika Kristo, kama ninavyofundisha kila mahali na kila kanisa.
2 Petro 3:15 (SWHULB) »
Na zingatia uvumilivu wa Bwana wetu katika wokovu, kama mpendwa kaka yetu Paulo, alivyowaandikia ninyi, kutokana na hekima ambayo alipewa.
Wafilipi 1:12 (SWHULB) »
Sasa ndugu zangu, nataka mjue kuwa, mambo yaliyotokea kwangu yameifanya injili iendelee sana.
Available Bible Translations
Ephesians 6:21 (ASV) »
Ephesians 6:21 (KJV) »
Ephesians 6:21 (GW) »
Ephesians 6:21 (BSB) »
Ephesians 6:21 (WEB) »
Éphésiens 6:21 (LSG) »
Epheser 6:21 (LUTH1912) »
इफिसियों 6:21 (HINIRV) »
ਅਫ਼ਸੀਆਂ 6:21 (PANIRV) »
ইফিচীয়া 6:21 (BENIRV) »
எபேசியர் 6:21 (TAMIRV) »
इफिसकरांस 6:21 (MARIRV) »
ఎఫెసీ పత్రిక 6:21 (TELIRV) »
એફેસીઓને 6:21 (GUJIRV) »
ಎಫೆಸದವರಿಗೆ 6:21 (KANIRV) »
أفَسُس 6:21 (AVD) »
אגרת שאול אל האפסים 6:21 (HEB) »
Efésios 6:21 (BSL) »
Ê-phê-sô 6:21 (VIE) »
Efesios 6:21 (RVA) »
Efesini 6:21 (RIV) »
以 弗 所 书 6:21 (CUVS) »
以 弗 所 書 6:21 (CUVT) »
Efesianëve 6:21 (ALB) »
Efesierbrevet 6:21 (SV1917) »
Ефесянам 6:21 (RUSV) »
ефесян 6:21 (UKR) »
Efézus 6:21 (KAR) »
Ефесяни 6:21 (BULG) »
エペソ人への手紙 6:21 (JPN) »
Efeserne 6:21 (NORSK) »
Efezjan 6:21 (POLUBG) »
Efesos 6:21 (SOM) »
Efeziërs 6:21 (NLD) »
Efeserne 6:21 (DA1871) »
Waefeso 6 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »