Ezekieli 36:27 SWHULB 4K Bible Verse Pictures

Christian 4K Wallpapers with inspirational Bible verse quotes on beautiful images and backgrounds. Download Ezekieli 36:27 SWHULB ultra hd wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Ezekieli 36:27 SWHULB 4K Wallpaper - Nitaiweka Roho yangu ndani yenu na kuwawezesha - 4K Wallpaper Bible Verse

Ezekieli 36:27 SWHULB

Nitaiweka Roho yangu ndani yenu na kuwawezesha kutembea katika sheria zangu na kuziweka hukumu zangu, hivyo mtazitenda.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Ezekiel 36:27 SWHULB Ultra HD Christian Wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Ezekieli 36:27 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Ezekieli 36:27 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Tito 3:3 SWHULB Bible Verse Image
Tito 3:3 (SWHULB) »
Kwa kuwa sisi pia tulikuwa na mawazo potofu na wakaidi. Tulikuwa upotevuni na tulifanywa watumwa kwa tamaa nyingi na starehe. Tuliishi katika wivu na uovu. Tulichukiza na kuchukiana.

Wahebrania 13:21 SWHULB Bible Verse Image
Wahebrania 13:21 (SWHULB) »
Atawapa uwezo kwa kila jambo zuri kufanya mapenzi yake, akifanya kazi ndani yetu iliyo njema ya kupendeza machoni pake, kupitia Yesu Kristo, kwake uwe utukufu milele na milele. Amina.

Ezekieli 39:29 SWHULB Bible Verse Image
Ezekieli 39:29 (SWHULB) »
Sitawaficha uso wangu kwao wakati nitakapomwaga Roho wangu katika nyumba ya Israeli-hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo.”

Yeremia 31:33 SWHULB Bible Verse Image
Yeremia 31:33 (SWHULB) »
Lakaini hili ni agano nitakaloanzisha na nyumba ya Israeli baada ya siku hizi—hili ni tangazo la Yahwe: Nitaiweka sheria yangu ndani yao na nitaiandika juu ya mioyo yao, kwa maana nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watau wangu.

Mithali 1:23 SWHULB Bible Verse Image
Mithali 1:23 (SWHULB) »
Zingatia karipio langu; nitatoa mawazo yangu kwa ajili yenu; nitawafahamisha maneno yangu.

Tito 2:11 SWHULB Bible Verse Image
Tito 2:11 (SWHULB) »
Kwa kuwa neema ya Mungu imeonekana kwa watu wote.

1 Wakorintho 3:16 SWHULB Bible Verse Image
1 Wakorintho 3:16 (SWHULB) »
Hamjui kuwa ninyi ni hekalu la Mungu na kwamba Roho wa Mungu anakaa ndani yenu?

Ezekieli 37:14 SWHULB Bible Verse Image
Ezekieli 37:14 (SWHULB) »
Nitaweka Roho wangu ndani yenu hivyo mtaishi, na nitawafanya kupumzika katika nchi yenu mtakapojua yakwamba mimi ni Yahwe. Nasema na nitayafanya hayo-hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo.”'

Isaya 44:3 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 44:3 (SWHULB) »
Maana nitashusha mvua kwenye aridhi yenye kiu, na mikondo ya maji kwenye ardhi kavu; Nitashusha roho yangu kwa watoto wako, na baraka zangu kwa watoto wako.

Wagalatia 5:22 SWHULB Bible Verse Image
Wagalatia 5:22 (SWHULB) »
Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, ukarimu, utu wema, imani,

Ezekieli 37:24 SWHULB Bible Verse Image
Ezekieli 37:24 (SWHULB) »
Daudi mtumishi wangu atakuwa mfalme juu yao. Hivyo kutakuwa na mchungaji mmoja juu yao wote, na wataishi kulingana na sheria zangu na watazitunza amri zangu na kuzitii.

1 Yohana 3:24 SWHULB Bible Verse Image
1 Yohana 3:24 (SWHULB) »
Anayezitii amri zake hudumu ndani yake, na Mungu hukaa ndani yake. Na kwa sababu hii twajua kuwa hukaa ndani yetu, Kwa yule Roho aliyetupa.

Available Bible Translations

American Standard Version
Ezekiel 36:27 (ASV) »
King James Version
Ezekiel 36:27 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Ezekiel 36:27 (GW) »
World English Bible
Ezekiel 36:27 (WEB) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
यहेजकेल 36:27 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਹਿਜ਼ਕੀਏਲ 36:27 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
যিহিষ্কেল 36:27 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
எசேக்கியேல் 36:27 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
यहेज्केल 36:27 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
యెహెజ్కేలు 36:27 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
હઝકિયેલ 36:27 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಯೆಹೆಜ್ಕೇಲನು 36:27 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
حِزْقِيَال 36:27 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
יחזקאל 36:27 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Ezequiel 36:27 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Ê-xê-ki-ên 36:27 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Ezequiel 36:27 (RVA) »
圣 经 简体中文和合本
以 西 结 书 36:27 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
以 西 結 書 36:27 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Ezekieli 36:27 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
Hesekiel 36:27 (SV1917) »
Библия на русском
Иезекииль 36:27 (RUSV) »
Українська Біблія
Єзекіїль 36:27 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Ezékiel 36:27 (KAR) »
Българска Библия
Езекил 36:27 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
Yexesqeel 36:27 (SOM) »
De Heilige Schrift
Ezechiël 36:27 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »