Ayubu 4:19 4K Wallpapers
Ayubu 4:19 SWHULB 4K Bible Verse Pictures
Christian 4K Wallpapers with inspirational Bible verse quotes on beautiful images and backgrounds. Download Ayubu 4:19 SWHULB ultra hd wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Ayubu 4:19 SWHULB
je si zaidi sana ukweli huu kwa wale waishio katika nyumba za udongo, ambao misingi yao ipo katika vumbi, wale waliopondwa mbele ya nondo?
View New TabSocial Share Icons
Job 4:19 SWHULB Ultra HD Christian Wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.
Ayubu 4:19 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Ayubu 4:19 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Mwanzo 2:7 (SWHULB) »
Yahwe Mungu aliumba mtu kutoka mavumbi ya ardhi, na akampulizia puani pumzi ya uhai, na mtu akawa kiumbe hai.
Ayubu 10:9 (SWHULB) »
Kumbuka, nakuomba, ulivyonifinyanga kama vile udongo; je utanirudisha mavumbini tena?
Mwanzo 3:19 (SWHULB) »
Kwa jasho la uso wako utakula mkate, mpaka utakapo irudia ardhi, ambayo kwayo ulitwaliwa. kwa kuwa wewe ni mavumbi na kwenye mavumbi utarudi.”
Ayubu 33:6 (SWHULB) »
Tazama, niko kama wewe ulivyo mbele za Mungu; nimeumbwa pia kutoka katika udongo.
Mwanzo 18:27 (SWHULB) »
Abraham akajibu na kusema, “Tazama, Nimeshika kusema na Bwana wangu, hata kama mimi ni mavumbi na majivu!
2 Wakorintho 5:1 (SWHULB) »
Tunajua kwamba kama maskani ya ulimwenguni ambayo tunaishi humo yanaharibiwa, tunalo jengo kutoka kwa Mungu. Ni nyumba isiyotengenezwa kwa mikono ya wanadamu, bali ni nyumba ya milele, katika mbingu.
2 Wakorintho 4:7 (SWHULB) »
Lakini tuna hazina hii katika vyombo vya udongo, ili kwamba ieleweke kuwa nguvu kuu sana ni ya Mungu na sio yetu.
Ayubu 13:28 (SWHULB) »
japokuwa mimi ni kama kitu kilichooza ambacho hutupwa mbali, kama vazi lile ambalo nondo wamelila.
Ayubu 13:12 (SWHULB) »
Hadithi zenu za misemo ya kukariri, ni mithali zimetengenezwa kwa majivu; utetezi wenu ni utetezi uliotengenezwa kwa udongo wa mfinyanzi.
Zaburi 103:15 (SWHULB) »
Kama ilivyo kwa mwanadamu, siku zake ni kama majani; hustawi kama ua katika shamba.
Zaburi 146:4 (SWHULB) »
Wakati uhai wa pumzi ya mtu unapokoma, hurudi aridhini; siku hiyo mipango yake hufikia mwisho.
Available Bible Translations
Job 4:19 (ASV) »
Job 4:19 (KJV) »
Job 4:19 (GW) »
Job 4:19 (BSB) »
Job 4:19 (WEB) »
Job 4:19 (LSG) »
Hiob 4:19 (LUTH1912) »
अय्यूब 4:19 (HINIRV) »
ਅੱਯੂਬ 4:19 (PANIRV) »
ইয়োব 4:19 (BENIRV) »
யோபு 4:19 (TAMIRV) »
ईयोब 4:19 (MARIRV) »
యోబు 4:19 (TELIRV) »
અયૂબ 4:19 (GUJIRV) »
ಯೋಬನು 4:19 (KANIRV) »
أَيُّوبَ 4:19 (AVD) »
איוב 4:19 (HEB) »
Jó 4:19 (BSL) »
Gióp 4:19 (VIE) »
Job 4:19 (RVA) »
Giobbe 4:19 (RIV) »
约 伯 记 4:19 (CUVS) »
約 伯 記 4:19 (CUVT) »
Jobi 4:19 (ALB) »
Job 4:19 (SV1917) »
Иов 4:19 (RUSV) »
Йов 4:19 (UKR) »
Jób 4:19 (KAR) »
Йов 4:19 (BULG) »
ヨブ記 4:19 (JPN) »
Job 4:19 (NORSK) »
Hioba 4:19 (POLUBG) »
Ayuub 4:19 (SOM) »
Job 4:19 (NLD) »
Job 4:19 (DA1871) »
Ayubu 4 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »