Yoshua 18:8 SWHULB 4K Bible Verse Pictures

Christian 4K Wallpapers with inspirational Bible verse quotes on beautiful images and backgrounds. Download Yoshua 18:8 SWHULB ultra hd wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Yoshua 18:8 SWHULB 4K Wallpaper - Hivyo, watu waliinuka na wakaenda. Yoshua - 4K Wallpaper Bible Verse

Yoshua 18:8 SWHULB

Hivyo, watu waliinuka na wakaenda. Yoshua akawaamuru wale walioenda kuandika maelezo ya nchi, akisema, “Pandeni juu na mshuke chini katika nchi na andikeni maelezo kuhusu nchi na kisha mrejee kwangu. Nitapiga kura kwa ajili yenu hapa mbele za Yahweh huko Shilo.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Joshua 18:8 SWHULB Ultra HD Christian Wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Yoshua 18:8 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Yoshua 18:8 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Warumi 14:19 SWHULB Bible Verse Image
Warumi 14:19 (SWHULB) »
Kwa hiyo basi, na tufuate mambo ya amani na mambo ambayo humjenga mtu na mwingine.

Yoshua 18:10 SWHULB Bible Verse Image
Yoshua 18:10 (SWHULB) »
Kisha Yoshua akapiga kura kwa ajili yao huko Shilo mbele za Yahweh. Na hapo Yoshua akaigawa nchi kwa watu wa Israeli, kila kabila lilipewa sehemu ya nchi.

Matendo ya Mitume 1:24 SWHULB Bible Verse Image
Matendo ya Mitume 1:24 (SWHULB) »
Wao waliomba wakisema, “Wewe, Bwana, ujuaye mioyo ya watu wote, hivyo weka wazi yupi kati ya wawili hawa ambaye umemchagua

1 Samweli 14:41 SWHULB Bible Verse Image
1 Samweli 14:41 (SWHULB) »
Kwa hiyo, Sauli akamwambia BWANA, Mungu wa Israeli, “Tuoneshe Thumimu.” Yonathani na Sauli wakatwaliwa, lakini watu walinusurika kuchaguliwa.

Yoshua 15:1 SWHULB Bible Verse Image
Yoshua 15:1 (SWHULB) »
Ugawanaji wa nchi kwa kabila la watu wa Yuda, walipewa kwa kufuatana na koo zao, kutoka upande wa kusini hadi mpaka wa Edomu, pamoja na nyika ya Sini iliyokuwa mbali sana kuelekea kusini.

Yoshua 14:1 SWHULB Bible Verse Image
Yoshua 14:1 (SWHULB) »
Maeneo haya ya nchi ambayo watu wa Israeli waliyapokea kama urithi wao katika nchi ya Kanaani. Urith huu uligawanywa kwao na Eliazeri kuhani, na Yoshua mwana wa Nuni, na viongozi wa makabila ya mababu wa familia zao kati ya watu wa Israeli.

Yoshua 13:7 SWHULB Bible Verse Image
Yoshua 13:7 (SWHULB) »
Igawanye nchi hii kama urithi kwa makabila tisa na kwa nusu ya kabila la Manase.

Yoshua 7:16 SWHULB Bible Verse Image
Yoshua 7:16 (SWHULB) »
Basi, Yoshua aliamka asubuhi na mapema na aliwaleta Israeli karibu, kabila kwa kabila, na kabila la Yuda lilichaguliwa.

Yoshua 18:6 SWHULB Bible Verse Image
Yoshua 18:6 (SWHULB) »
Mtaigawanya nchi katika sehemu saba na kisha mtaniletea maelezo hayo hapa kwangu. Nami nitapiga kura kwa ajili yenu hapa mbele za Yahweh Mungu wetu.

Yoshua 18:1 SWHULB Bible Verse Image
Yoshua 18:1 (SWHULB) »
Kisha kusanyiko lote la watu wa Israeli walikusanyika pamoja hapo Shilo. Walilijenga hema la kukutania hapo na waliishinda nchi mbele yao.

Mwanzo 13:17 SWHULB Bible Verse Image
Mwanzo 13:17 (SWHULB) »
Inuka, tembea katika urefu na upana wa nchi hii, kwa kuwa nitakupatia.”

Available Bible Translations

American Standard Version
Joshua 18:8 (ASV) »
King James Version
Joshua 18:8 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Joshua 18:8 (GW) »
World English Bible
Joshua 18:8 (WEB) »
Louis Segond 1910
Josué 18:8 (LSG) »
Luther Bibel 1912
Josua 18:8 (LUTH1912) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
यहोशू 18:8 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਯਸ਼ਵਾ 18:8 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
যিহোচূৱা 18:8 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
யோசுவா 18:8 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
यहोशवा 18:8 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
యెహోషువ 18:8 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
યહોશુઆ 18:8 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಯೆಹೋಶುವನು 18:8 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
يَشُوع 18:8 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
יהושע 18:8 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Joshua 18:8 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Giô-sua 18:8 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Josué 18:8 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Giosué 18:8 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
约 书 亚 记 18:8 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
約 書 亞 記 18:8 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Jozueu 18:8 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
Josua 18:8 (SV1917) »
Библия на русском
Иисус Навин 18:8 (RUSV) »
Українська Біблія
Ісус Навин 18:8 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Józsué 18:8 (KAR) »
Българска Библия
Исус Навиев 18:8 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
Yashuuca 18:8 (SOM) »
De Heilige Schrift
Jozua 18:8 (NLD) »
Dansk Bibel 1871
Josua 18:8 (DA1871) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »