Malaki 2:16 4K Wallpapers
Malaki 2:16 SWHULB 4K Bible Verse Pictures
Christian 4K Wallpapers with inspirational Bible verse quotes on beautiful images and backgrounds. Download Malaki 2:16 SWHULB ultra hd wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Malaki 2:16 SWHULB
“Nakuchukia kuachana,” asema Bwana, Mungu wa Israel, “afunikizaye nguo yake kwa udhalimu,” asema Bwana wa Majeshi. “Kwa hiyo jilinde ewe mwenyewe ndani ya roho yako na usiwe mtu asiye mwaminifu.”
View New TabSocial Share Icons
Malachi 2:16 SWHULB Ultra HD Christian Wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.
Malaki 2:16 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Malaki 2:16 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Luka 16:18 (SWHULB) »
Kila amwachaye mkewe na kumwoa mke mwingine azini, naye amwooaye yeye aliyeachwa na mumewe azini.
Marko 10:2 (SWHULB) »
Na Mafarisayo walikuja kumjaribu na wakamuuliza, “Ni halali kwa mwanamume kuachana na mke wake?”
Mathayo 19:3 (SWHULB) »
Mafarisayo wakamjia, wakamjaribu, wakamwambia, “Je ni halali kwa mtu kumwacha mke wake kwa sababu yoyote?”
Torati 24:1 (SWHULB) »
Mwanamume akimchukua mke na kumuoa, na mke asipokubalika machoni pa mumewe kwa sababu kagundua jambo ambalo si jema kwake, basi anatakiwa amwandikie talaka, aiweke mkononi mwake, na kumfukuza nyumbani kwake.
Isaya 50:1 (SWHULB) »
Yahwe asema hivi, ''Kiko wapi cheti cha talaka ambacho nimempa tataka mama yako? na kwa nani niliowauza mimi? Tazama, umewauza kwa sababu ya dhambi zako, na kwa sababu ya uasi wako, na mama yako amepelekwa mbali.
Isaya 59:6 (SWHULB) »
Mitando yao haitatumika kama mavazi, wala hawawezi kujifukia wenyewe kwa kazi yao. Kazi zao ni kazi za dhambi, na matendo ya vurugu yako mikononi mwao.
Mithali 28:13 (SWHULB) »
Yeye afichaye dhambi zake hatafanikiwa, bali mwenye kutubu na kuziacha ataonyeshwa rehema.
Mika 7:2 (SWHULB) »
Watu waaminifu wamepotelea kutoka kwenye nchi, hakuna mtu mwadilifu katika wanadamu wote. Wote hudanganya katika kusubiri kumwaga damu; kila mtu humuwinda ndugu yake mwenyewe kwa wavu.
Isaya 28:20 (SWHULB) »
Maana kitanda ni kifupi kwa mtu kunyoosha mkono wake nje, na blangeti ni jembamba kwa yeye kujizungushia ndani''
Available Bible Translations
Malachi 2:16 (ASV) »
Malachi 2:16 (KJV) »
Malachi 2:16 (GW) »
Malachi 2:16 (BSB) »
Malachi 2:16 (WEB) »
Malachie 2:16 (LSG) »
Maleachi 2:16 (LUTH1912) »
मलाकी 2:16 (HINIRV) »
ਮਲਾਕੀ 2:16 (PANIRV) »
মলাখী 2:16 (BENIRV) »
மல்கியா 2:16 (TAMIRV) »
मलाखी 2:16 (MARIRV) »
మలాకీ 2:16 (TELIRV) »
માલાખી 2:16 (GUJIRV) »
ಮಲಾಕಿಯನು 2:16 (KANIRV) »
مَلَاخِي 2:16 (AVD) »
מלאכי 2:16 (HEB) »
Malaquias 2:16 (BSL) »
Ma-la-ki 2:16 (VIE) »
Malaquías 2:16 (RVA) »
Malachia 2:16 (RIV) »
玛 拉 基 书 2:16 (CUVS) »
瑪 拉 基 書 2:16 (CUVT) »
Malakia 2:16 (ALB) »
Malaki 2:16 (SV1917) »
Малахия 2:16 (RUSV) »
Малахії 2:16 (UKR) »
Malakiás 2:16 (KAR) »
Малахия 2:16 (BULG) »
マラキ書 2:16 (JPN) »
Malaki 2:16 (NORSK) »
Malachiasza 2:16 (POLUBG) »
Malaakii 2:16 (SOM) »
Maleachi 2:16 (NLD) »
Malakias 2:16 (DA1871) »
Malaki 2 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »