Mathayo 14:14 SWHULB 4K Bible Verse Pictures

Christian 4K Wallpapers with inspirational Bible verse quotes on beautiful images and backgrounds. Download Mathayo 14:14 SWHULB ultra hd wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Mathayo 14:14 SWHULB 4K Wallpaper - Kisha Yesu alikuja mbele yao akauona umati - 4K Wallpaper Bible Verse

Mathayo 14:14 SWHULB

Kisha Yesu alikuja mbele yao akauona umati mkubwa. Akawaonea huruma na kuponya magonjwa yao.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Matthew 14:14 SWHULB Ultra HD Christian Wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Mathayo 14:14 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Mathayo 14:14 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Wahebrania 4:15 SWHULB Bible Verse Image
Wahebrania 4:15 (SWHULB) »
Kwa kuwa hatuna kuhani mkuu ambaye hawezi kuhisi huruma kwa ajili udhaifu wetu, lakini yeye ambaye kwa njia zote amekuwa akijaribiwa kama sisi, isipokuwa yeye ambaye hana dhambi.

Mathayo 9:36 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 9:36 (SWHULB) »
Wakati alipotazama umati, naye aliwaonea huruma, kwa sababu walisumbuka na kuvunjika moyo. Walikuwa kama kondoo wasio na mchungaji.

Yohana 11:33 SWHULB Bible Verse Image
Yohana 11:33 (SWHULB) »
Yesu alipomuona analia, na Wayahudi waliokuja pamoja naye walikuwa wakilia pia, aliomboleza katika roho na kufadhaika;

Luka 19:41 SWHULB Bible Verse Image
Luka 19:41 (SWHULB) »
Yesu alipoukaribia mji aliulilia,

Luka 7:13 SWHULB Bible Verse Image
Luka 7:13 (SWHULB) »
Alipomwona, Bwana akamsogelea kwa huruma kubwa sana juu yake na akamwambia, “Usilie”.

Mathayo 15:32 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 15:32 (SWHULB) »
Yesu akawaita wanafunzi wake na kusema, “ Nimewaonea huruma umati, kwa sababu wamekuwa nami kwa siku tatu bila kula kitu chochote. Sitawaaga waende kwao bila kula, wasije wakazimia njiani.”

Wahebrania 5:2 SWHULB Bible Verse Image
Wahebrania 5:2 (SWHULB) »
Anaweza kujishughulisha kwa upole na wajinga na wabishi kwa kuwa yeye mwenyewe pia amezungukwa na udhaifu.

Marko 9:22 SWHULB Bible Verse Image
Marko 9:22 (SWHULB) »
Mara nyingine huanguka katika moto au kwenye maji, na kujaribu kumwangamiza. Kama unaweza kufanya chochote tuhurumie na utusaidie.”

Wahebrania 2:17 SWHULB Bible Verse Image
Wahebrania 2:17 (SWHULB) »
Kwa hiyo, ilikuwa lazima yeye awe kama ndugu zake katika njia zote, ili aweze kuwa kuhani mkuu mwenye huruma na mwaminifu kwa vitu vya Mungu, na ili kwamba awe na uwezo wa kutoa msamaha kwa dhambi za watu.

Mathayo 4:23 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 4:23 (SWHULB) »
Yesu alienda karibia Galilaya yote, akifundisha katika Masinagogi yao, akihubiri injili ya ufalme, na akiponya kila aina ya maradhi na magonjwa miongoni mwa watu.

Marko 8:1 SWHULB Bible Verse Image
Marko 8:1 (SWHULB) »
Katika siku hizo, kulikuwa tena na umati mkubwa, na hawakuwa na chakula. Yesu akawaita wanafunzi wake akawaambia,

Marko 6:34 SWHULB Bible Verse Image
Marko 6:34 (SWHULB) »
Walipofika pwani, aliona umati mkubwa na akawahurumia, kwa sababu walikuwa kama kondoo wasiokuwa na mchungaji. Na akaanza kuwafundisha mambo mengi.

Available Bible Translations

American Standard Version
Matthew 14:14 (ASV) »
King James Version
Matthew 14:14 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Matthew 14:14 (GW) »
World English Bible
Matthew 14:14 (WEB) »
Louis Segond 1910
Matthieu 14:14 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
मत्ती 14:14 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਮੱਤੀ 14:14 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
মথি 14:14 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
மத்தேயு 14:14 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
मत्तय 14:14 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
మత్తయి 14:14 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
માથ્થી 14:14 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಮತ್ತಾಯನು 14:14 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
مَتَّى 14:14 (AVD) »
Bíblia Sagrada Português
Mateus 14:14 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Ma-thi-ơ 14:14 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Mateo 14:14 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Matteo 14:14 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
马 太 福 音 14:14 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
馬 太 福 音 14:14 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Mateu 14:14 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
Matteus 14:14 (SV1917) »
Библия на русском
Матфея 14:14 (RUSV) »
Українська Біблія
Матвія 14:14 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Máté 14:14 (KAR) »
Българска Библия
Матей 14:14 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
Matayos 14:14 (SOM) »
De Heilige Schrift
Mattheüs 14:14 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »