Zaburi 39:12 SWHULB 4K Bible Verse Pictures

Christian 4K Wallpapers with inspirational Bible verse quotes on beautiful images and backgrounds. Download Zaburi 39:12 SWHULB ultra hd wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Zaburi 39:12 SWHULB 4K Wallpaper - Sikia maombi yangu, Yahwe, na unisikilize; usikie - 4K Wallpaper Bible Verse

Zaburi 39:12 SWHULB

Sikia maombi yangu, Yahwe, na unisikilize; usikie kilio changu! Usiwe kiziwi kwangu, kwa maana niko kama mgeni pamoja nawe, kimbilio langu la usalama kama mababu zangu walivyokuwa.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Psalms 39:12 SWHULB Ultra HD Christian Wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Zaburi 39:12 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Zaburi 39:12 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Mwanzo 47:9 SWHULB Bible Verse Image
Mwanzo 47:9 (SWHULB) »
Yakobo akamwambia Farao, “Miaka ya safari zangu ni mia moja na thelathini. Miaka ya maisha yangu imekuwa mifupi na ya maumivu. Siyo kama miaka ya baba zangu.”

Wahebrania 11:13 SWHULB Bible Verse Image
Wahebrania 11:13 (SWHULB) »
Hawa wote walikufa katika imani pasipo kupokea ahadi. Isipokuwa, wakiwa wameziona na kuzikaribisha kwa mbali, walikiri kwamba walikuwa wageni na wapitaji juu ya nchi.

1 Petro 2:11 SWHULB Bible Verse Image
1 Petro 2:11 (SWHULB) »
Wapendwa, nimewaita kama wageni na wazurujaji kujinyima kutoka kwenye tamaa mbaya za dhambi, ambazo zinapigana vita na roho zenu.

1 Nyakati 29:15 SWHULB Bible Verse Image
1 Nyakati 29:15 (SWHULB) »
Kwa kuwa sisi ni wageni na wasafiri mbele zako, mababu zetu wote walikuwa. Siku zetu katika dunia ni kama kivuli, na hakuna tumaini la kubaki duniani.

Mambo ya Walawi 25:23 SWHULB Bible Verse Image
Mambo ya Walawi 25:23 (SWHULB) »
Ardhi haitauzwa kwa mmiliki mpya wa kudumu, kwa sababu ardhi ni mali yangu. Ninyi nyote mu wageni na wakazi wa muda juu ya ardhi yangu.

2 Wafalme 20:5 SWHULB Bible Verse Image
2 Wafalme 20:5 (SWHULB) »
'“Rudi, na umwambie Hezekia, kiongozi wa watu wangu, 'Hivi ndivyo Yahwe, Mungu wa Daudi babu yako, asemavyo: “Nimesikia maombi yako, na nimeyaona machozi yako. Nitakuponya katika siku ya tatu, na utapanda juu kwenye nyumba ya Yahwe.

Zaburi 119:19 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 119:19 (SWHULB) »
Mimi ni mgeni katika nchi; usizifiche amri zako mbali nami.

Zaburi 56:8 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 56:8 (SWHULB) »
Wewe unahesabu kutangatanga kwangu na kuweka machozi yangu kwenye chupa yako; je, hayako kitabuni mwako?

2 Samweli 16:12 SWHULB Bible Verse Image
2 Samweli 16:12 (SWHULB) »
Huenda Yahwe akaangalia maangaiko niliyofungiwa, na kunirudishia mema kwa jinsi nilivyolaaniwa leo.”

Zaburi 119:54 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 119:54 (SWHULB) »
Sheria zako zimekuwa nyimbo zangu katika nyumba ninayoishi kwa muda.

Wahebrania 5:7 SWHULB Bible Verse Image
Wahebrania 5:7 (SWHULB) »
Wakati wa kipindi chake katika mwili, aliomba na kuombea, alimwomba Mungu kwa machozi, kwa yeye awezaye kumwokoa kutoka kwenye kifo. Kwa sababu ya unyenyekevu wake kwa Mungu, alisikiwa.

Ayubu 16:20 SWHULB Bible Verse Image
Ayubu 16:20 (SWHULB) »
Rafiki zangu wananicheka kwa dharau, lakini jicho langu linamwaga machozi kwa Mungu.

Available Bible Translations

American Standard Version
Psalms 39:12 (ASV) »
King James Version
Psalms 39:12 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Psalms 39:12 (GW) »
World English Bible
Psalms 39:12 (WEB) »
Louis Segond 1910
Psaumes 39:12 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
भजन संहिता 39:12 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਜ਼ਬੂਰ 39:12 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
গীতমালা 39:12 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
சங்கீதங்கள் 39:12 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
स्तोत्रसंहिता 39:12 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
కీర్తన 39:12 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
ગીતશાસ્ત્ર 39:12 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಕೀರ್ತನೆಗಳು 39:12 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
اَلْمَزَامِيرُ 39:12 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
תהלים 39:12 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Salmos 39:12 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Thánh Thi 39:12 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Salmos 39:12 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Salmi 39:12 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
诗 篇 39:12 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
詩 篇 39:12 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Psalmet 39:12 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
Psaltaren 39:12 (SV1917) »
Библия на русском
Псалтирь 39:12 (RUSV) »
Українська Біблія
Псалми 39:12 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Zsoltárok 39:12 (KAR) »
Българска Библия
Псалми 39:12 (BULG) »
聖書 日本語
詩篇 39:12 (JPN) »
Kitaabka Quduuska Ah
Sabuurradii 39:12 (SOM) »
De Heilige Schrift
Psalmen 39:12 (NLD) »
Dansk Bibel 1871
Salme 39:12 (DA1871) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »