Zaburi 68:25 SWHULB 4K Bible Verse Pictures

Christian 4K Wallpapers with inspirational Bible verse quotes on beautiful images and backgrounds. Download Zaburi 68:25 SWHULB ultra hd wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Zaburi 68:25 SWHULB 4K Wallpaper - Waimbaji walitangulia, walifuatiwa na wapiga - 4K Wallpaper Bible Verse

Zaburi 68:25 SWHULB

Waimbaji walitangulia, walifuatiwa na wapiga muziki, na katikati walikuwa wanawali wakicheza ngoma.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Psalms 68:25 SWHULB Ultra HD Christian Wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Zaburi 68:25 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Zaburi 68:25 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Waamuzi 11:34 SWHULB Bible Verse Image
Waamuzi 11:34 (SWHULB) »
Yeftha alifika nyumbani kwake huko Mizpa, na binti yake akatoka kumlaki na ngoma na kucheza. Alikuwa mtoto wake pekee, na badala yake hakuwa na mwana wa kiume wala binti.

Kutoka 15:20 SWHULB Bible Verse Image
Kutoka 15:20 (SWHULB) »
Miriamu nabii wa kike, dada wa Aruni, akanyanyua tari, na wanawake wote wakatoka na matari, wakicheza nae.

1 Nyakati 13:8 SWHULB Bible Verse Image
1 Nyakati 13:8 (SWHULB) »
Daudi na Israeli yote walikuwa wakishangilia mbele za Mungu kwa nguvu zao zote. Walikuwa wakiimba na vyombo vya uzi, vinubi, upatu, na tarumbeta.

Ufunuo 15:2 SWHULB Bible Verse Image
Ufunuo 15:2 (SWHULB) »
Niliona kile kilichotokea kuwa bahari ya bilauri iliyochanganywa na moto, na ikasimama pembeni mwa bahari ambapo wale waliokuwa washindi dhidi ya mnyama na sanamu yake, na juu ya namba inayowakilisha jina lake. Walikuwa wameshikilia vinubi walivyopewa na Mungu.

Yeremia 31:4 SWHULB Bible Verse Image
Yeremia 31:4 (SWHULB) »
Nitakujenga tena kwa hiyo utakuwa umejengwa, bikra wa Israeli..... na kwenda nje michezo ya furaha.

Yeremia 31:13 SWHULB Bible Verse Image
Yeremia 31:13 (SWHULB) »
Kisha wanawali watafurahia kwa kucheza, na vijana na wanaume wazee watakuwa pamaoja. Kwa maana nitayageuza maombolezo yao kuwa sherehe. Nitakuwa na huruma juu yao na kuwafanya kufurahi badala ya kuhuzunika.

Zaburi 87:7 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 87:7 (SWHULB) »
Hivyo waimbaji na wachezaji kwa pamoja waseme, “chemchem zangu zimo kwako.”

Zaburi 148:12 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 148:12 (SWHULB) »
wote vijana wa kiume na vijana wa kike, wazee na watoto.

Zaburi 150:3 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 150:3 (SWHULB) »
Msifuni kwa mlipuko wa pembe; msifuni kwa kinanda na kinubi.

1 Samweli 18:6 SWHULB Bible Verse Image
1 Samweli 18:6 (SWHULB) »
Wakati wanarudi nyumbani kutoka kuwapiga Wafilisti, wanawake walitoka miji yote ya Israeli, wakiimba na kucheza, ili kukutana na mfalme Sauli, wakiwa na matowazi, wenye furaha, na wakiwa na ala za muziki.

Ufunuo 14:2 SWHULB Bible Verse Image
Ufunuo 14:2 (SWHULB) »
Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisikika kama ngurumo za maji mengi na sauti kubwa ya radi. Sauti niliyoisikia ni kama wapiga vinubi wapigao vinubi vyao.

Available Bible Translations

American Standard Version
Psalms 68:25 (ASV) »
King James Version
Psalms 68:25 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Psalms 68:25 (GW) »
World English Bible
Psalms 68:25 (WEB) »
Louis Segond 1910
Psaumes 68:25 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
भजन संहिता 68:25 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਜ਼ਬੂਰ 68:25 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
গীতমালা 68:25 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
சங்கீதங்கள் 68:25 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
स्तोत्रसंहिता 68:25 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
కీర్తన 68:25 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
ગીતશાસ્ત્ર 68:25 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಕೀರ್ತನೆಗಳು 68:25 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
اَلْمَزَامِيرُ 68:25 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
תהלים 68:25 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Salmos 68:25 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Thánh Thi 68:25 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Salmos 68:25 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Salmi 68:25 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
诗 篇 68:25 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
詩 篇 68:25 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Psalmet 68:25 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
Psaltaren 68:25 (SV1917) »
Библия на русском
Псалтирь 68:25 (RUSV) »
Українська Біблія
Псалми 68:25 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Zsoltárok 68:25 (KAR) »
Българска Библия
Псалми 68:25 (BULG) »
聖書 日本語
詩篇 68:25 (JPN) »
Kitaabka Quduuska Ah
Sabuurradii 68:25 (SOM) »
De Heilige Schrift
Psalmen 68:25 (NLD) »
Dansk Bibel 1871
Salme 68:25 (DA1871) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »