Zaburi 90:11 SWHULB 4K Bible Verse Pictures

Christian 4K Wallpapers with inspirational Bible verse quotes on beautiful images and backgrounds. Download Zaburi 90:11 SWHULB ultra hd wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Zaburi 90:11 SWHULB 4K Wallpaper - Ni nani ajuaye kiwango cha hasira yako, na - 4K Wallpaper Bible Verse

Zaburi 90:11 SWHULB

Ni nani ajuaye kiwango cha hasira yako, na ghadhabu yako ambayo iko sawa na hofu yako?

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Psalms 90:11 SWHULB Ultra HD Christian Wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Zaburi 90:11 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Zaburi 90:11 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Mambo ya Walawi 26:24 SWHULB Bible Verse Image
Mambo ya Walawi 26:24 (SWHULB) »
ndipo nami pia nitaenenda kinyume chenu, na Mimi mwenyewe nitawaadhibu mara saba kwa sababu ya dhambi zenu.

Isaya 33:14 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 33:14 (SWHULB) »
Watenda zambi wa Sayuni wanogopa; tetemeko limewakuta wasio na Mungu. Ni nani miongoni mwetu anayeweza kukaa kwenye moto mkali? Na ni nani miongoni mwetu anayeweza kukaa kwenye moto wa milele?

Mambo ya Walawi 26:28 SWHULB Bible Verse Image
Mambo ya Walawi 26:28 (SWHULB) »
kisha nami nitakwenda kinyume nanyi katika hasira, Nami nitawaadhibu hata mara saba kulingana na wingi wa dhambi zenu.

2 Wakorintho 5:11 SWHULB Bible Verse Image
2 Wakorintho 5:11 (SWHULB) »
Kwa hiyo, kwa kuijua hofu ya Bwana, tunawashawishi watu. Jinsi tulivyo, inaonekana wazi na Mungu. Ninatumaini kuwa inaeleweka pia kwenye dhamiri zenu.

Luka 12:5 SWHULB Bible Verse Image
Luka 12:5 (SWHULB) »
Lakini nitawaonya mtakaye mwogopa. Mwogopeni yule ambaye baada ya kuwa ameua, ana mamlaka ya kutupa jehanamu. Ndiyo, nawaambiani ninyi, mwogopeni huyo.

Nahumu 1:6 SWHULB Bible Verse Image
Nahumu 1:6 (SWHULB) »
Ni nani anaweza kusimama mbele ya ghadhabu yake? Nani anaweza kuzuia ukali wa hasira yake? Ghadhabu yake imemwagwa kama moto, na miamba ameibomoa mbalimbali.

Zaburi 76:7 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 76:7 (SWHULB) »
Wewe, ndiyo wewe, ni wa kuogopwa; ni nani awezaye kusimama mbele yako wakati ukiwa na hasira?

Torati 29:20 SWHULB Bible Verse Image
Torati 29:20 (SWHULB) »
Yahwe hatamsamehe, lakini badala yake, hasira ya Yahwe na wivu wake utambanika mtu huyo, na laana zote zilizoandikwa katika kitabu hiki vitakuwa juu yake, na Yahwe ataliondoa jina lake kutoka mbinguni.

Torati 28:59 SWHULB Bible Verse Image
Torati 28:59 (SWHULB) »
basi Yahwe atafanya mapigo yako kuwa ya kutisha, na yale ya wazao wako; yatakuwa mapigo makuu, ya muda mrefu, na magonjwa makali, ya muda mrefu.

Mambo ya Walawi 26:21 SWHULB Bible Verse Image
Mambo ya Walawi 26:21 (SWHULB) »
Iwapo mtataenenda kinyume changu na hamtanisikiliza mimi, nitaleta mapigo mara saba zaidi juu yenu, sawasawa na dhambi zenu.

Mambo ya Walawi 26:18 SWHULB Bible Verse Image
Mambo ya Walawi 26:18 (SWHULB) »
Iwapo hamtasikiliza maagizo yangu, Nami niwataadhibu vikali mara saba kwa dhambi zenu.

Ufunuo 6:17 SWHULB Bible Verse Image
Ufunuo 6:17 (SWHULB) »
Kwa kuwa siku kuu ya gadhabu yao imewadia, na ni nani awezaye kusimama?”

Available Bible Translations

American Standard Version
Psalms 90:11 (ASV) »
King James Version
Psalms 90:11 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Psalms 90:11 (GW) »
World English Bible
Psalms 90:11 (WEB) »
Louis Segond 1910
Psaumes 90:11 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
भजन संहिता 90:11 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਜ਼ਬੂਰ 90:11 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
গীতমালা 90:11 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
சங்கீதங்கள் 90:11 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
स्तोत्रसंहिता 90:11 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
కీర్తన 90:11 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
ગીતશાસ્ત્ર 90:11 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಕೀರ್ತನೆಗಳು 90:11 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
اَلْمَزَامِيرُ 90:11 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
תהלים 90:11 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Salmos 90:11 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Thánh Thi 90:11 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Salmos 90:11 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Salmi 90:11 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
诗 篇 90:11 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
詩 篇 90:11 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Psalmet 90:11 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
Psaltaren 90:11 (SV1917) »
Библия на русском
Псалтирь 90:11 (RUSV) »
Українська Біблія
Псалми 90:11 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Zsoltárok 90:11 (KAR) »
Българска Библия
Псалми 90:11 (BULG) »
聖書 日本語
詩篇 90:11 (JPN) »
Kitaabka Quduuska Ah
Sabuurradii 90:11 (SOM) »
De Heilige Schrift
Psalmen 90:11 (NLD) »
Dansk Bibel 1871
Salme 90:11 (DA1871) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »