Mhubiri Chapter 11 SWHULB Bible Verse Images

Mhubiri 11 Bible Verse Pictures. Choose from a large collection of inspirational, motivational and encouraging Bible verses with pictures of nature. Download and share Mhubiri 11 inspirational Bible verse images. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.


Mhubiri 11:1 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Peleka mkate wako juu ya maji, kwa kuwa utaupata tena baada ya siku nyingi.

Mhubiri 11:2 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Shiriki mkate na watu saba, hata wanane kwa kuwa haujui ni majanga gani yanayo kuja juu ya nchi.

Mhubiri 11:3 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kama mawingu yamejaa mvua, yanajivua yenyewe chini ya nchi. Na kama mti ukianguka kuelekea kusini au kuelekea kaskazini, popote mti unapoangukia papo hapo utabakia.

Mhubiri 11:4 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Yeyote autazamaye upepo yawezekana asipande, na yeyote atazamaye mawingu yawezekana asivune.

Mhubiri 11:5 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kama usivyo jua njia ya upepo, wala vile ambavyo mtoto akuavyo tumboni, vivyo hivyo huwezi kuielewa kazi ya Mungu, aliye umba kila kitu.

Mhubiri 11:6 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Asubuhi panda mbegu yako; hadi jioni, fanya kazi kwa mikono yako kama inavyo hitajika kwa kuwa haujui ni ipi itafanikiwa, jioni au asubuhi, au hii au ile au zote zitakuwa nzuri.

Mhubiri 11:7 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kweli nuru ni tamu, na ni kitu cha kufurahisha kwa ajili ya macho kuona jua.

Mhubiri 11:8 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kama mtu akiishi miaka mingi, na aifurahie yote, lakina na afikiri juu ya siku zijazo za giza, kwa kuwa zitakuwa nyingi. Kila kitu kijacho ni mvuke unaoteketea.

Mhubiri 11:9 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Furahia kijana, katika ujana wako, na moyo wako ufurahie siku za ujana wako. fuatilia yale mema ya moyo wako, chochote kilicho mbele ya macho yako. Ingawa, fahamu kwamba MUngu atakuleta hukumuni kwa ajili ya vitu hivi vyote.

Mhubiri 11:10 (SWHULB)
Square Portrait Landscape 4K UHD
Ondoa hasira kutoka moyoni mwako, na usijali maumivu yoyote katika mwili wako, kwa sababu ujana na nguvu zake ni mvuke.
Previous Chapter
« Mhubiri 10 (SWHULB)

Available Bible Translations

American Standard Version
Ecclesiastes 11 (ASV) »
King James Version
Ecclesiastes 11 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Ecclesiastes 11 (GW) »
World English Bible
Ecclesiastes 11 (WEB) »
Louis Segond 1910
Ecclésiaste 11 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
सभोपदेशक 11 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਉਪਦੇਸ਼ਕ 11 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
উপদেশক 11 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
பிரசங்கி 11 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
उपदेशक 11 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
ప్రసంగి 11 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
સભાશિક્ષક 11 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಪ್ರಸಂಗಿ 11 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
اَلْجَامِعَةِ 11 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
קהלת 11 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Eclesiastes 11 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Giảng Sư 11 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Eclesiastés 11 (RVA) »
圣 经 简体中文和合本
传 道 书 11 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
傳 道 書 11 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Predikuesi 11 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
Predikaren 11 (SV1917) »
Библия на русском
Екклесиаст 11 (RUSV) »
Українська Біблія
Екклезіяст 11 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Prédikátor 11 (KAR) »
Българска Библия
Еклесиаст 11 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
Wacdiyahii 11 (SOM) »
De Heilige Schrift
Prediker 11 (NLD) »

Mhubiri (SWHULB) Chapter Selection

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12

SWHULB Book Selection List