Ezekieli 15 SWHULB
Ezekieli Chapter 15 SWHULB Bible Verse Images
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Square Portrait Landscape 4K UHD
“Mwanadamu, je ni jisni gani mzabibu ulivo bora kuliko mti na matawi yaliyomo kwenye miti katika msitu?
Square Portrait Landscape 4K UHD
Je watu huwa wanachukua mbao kutoka kwenye mzabbibu kufanyia chochote? au huwa wanatengenezea vitu kutokana na huo kuning'iniza chochote juu ya huo?
Square Portrait Landscape 4K UHD
Tazama! Kama umetupwa kwenye moto kama kuni, na kama moto umezichoma ncha zake zote na katikati pia, je unafaa kwa chochote?
Square Portrait Landscape 4K UHD
Tazama! Wakati ulipokuwa umekamilika, haukuweza kufanya chochote; kisha hakika, wakati moto ulipouchoma, lakini bado haukuweza kutengeneza kitu chochote kwa ajili ya matumizi yoyote.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kwa hiyo Bwana Yahwe asema hivi: haufanani na miti katika misitu, niliyoitoa mzabibu kama kuni kwa moto; nitatenda vivyo hivyo mbele ya wakaao Yerusalemu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kwa kuwa nitauweka uso wangu juu yao. Ingawa watatoka kutoka kwenye moto, bado moto utawala; hivyo mtajua kwamba mimi ni Yahwe, wakati nitakapoona uso wangu juu yenu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kisha nitaifanya nchi kuwa ukiwa kwa sababu wamefanya dhambi-hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo.”
Available Bible Translations
Ezekiel 15 (ASV) »
Ezekiel 15 (KJV) »
Ezekiel 15 (GW) »
Ezekiel 15 (BSB) »
Ezekiel 15 (WEB) »
Ézéchiel 15 (LSG) »
Hesekiel 15 (LUTH1912) »
यहेजकेल 15 (HINIRV) »
ਹਿਜ਼ਕੀਏਲ 15 (PANIRV) »
যিহিষ্কেল 15 (BENIRV) »
எசேக்கியேல் 15 (TAMIRV) »
यहेज्केल 15 (MARIRV) »
యెహెజ్కేలు 15 (TELIRV) »
હઝકિયેલ 15 (GUJIRV) »
ಯೆಹೆಜ್ಕೇಲನು 15 (KANIRV) »
حِزْقِيَال 15 (AVD) »
יחזקאל 15 (HEB) »
Ezequiel 15 (BSL) »
Ê-xê-ki-ên 15 (VIE) »
Ezequiel 15 (RVA) »
Ezechiele 15 (RIV) »
以 西 结 书 15 (CUVS) »
以 西 結 書 15 (CUVT) »
Ezekieli 15 (ALB) »
Hesekiel 15 (SV1917) »
Иезекииль 15 (RUSV) »
Єзекіїль 15 (UKR) »
Ezékiel 15 (KAR) »
Езекил 15 (BULG) »
エゼキエル書 15 (JPN) »
Esekiel 15 (NORSK) »
Ezechiela 15 (POLUBG) »
Yexesqeel 15 (SOM) »
Ezechiël 15 (NLD) »
Ezekiel 15 (DA1871) »