Yona 2 SWHULB
Yona Chapter 2 SWHULB Bible Verse Images
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kisha Yona akamwomba Bwana Mungu wake kutoka katika tumbo la samaki.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Akasema, Nimemwita Bwana juu ya shida yangu naye akanijibu; kutoka tumbo la Kuzimu nililia kwa msaada! Uliisikia sauti yangu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Ulikuwa umenitupa ndani ya kina, ndani ya moyo wa bahari, na maji yaliyonizunguka; mawimbi yako yote na gharika yalipita juu yangu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Nikasema, 'Nimefukuzwa mbele ya macho yako; lakini nitaangalia tena juu ya hekalu lako takatifu. '
Square Portrait Landscape 4K UHD
Maji yalifunika kunizunguka karibu na shingo yangu; kina kilinizunguka; mwani ukakizinga kichwa changu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Nilikwenda chini ya milima; nchi na baa zake zimefungwa juu yangu milele. Lakini wewe umeinua uhai wangu shimoni, Bwana, Mungu wangu!
Square Portrait Landscape 4K UHD
Wakati nafsi yangu ilipozimia ndani yangu, nikamwita Bwana; basi sala yangu ilikujia, katika hekalu lako takatifu.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Wote ambao huzingatia miungu isiyofaa hukataa uaminifu wako wao wenyewe.
Square Portrait Landscape 4K UHD
Lakini mimi, nitakuchinjia kwa sauti ya shukrani; Nitayatimiza yale niliyoapa. Wokovu hutoka kwa Bwana!
Square Portrait Landscape 4K UHD
Kisha Bwana akanena na samaki, akamtapika Yona juu ya nchi kavu.
Available Bible Translations
Jonah 2 (ASV) »
Jonah 2 (KJV) »
Jonah 2 (GW) »
Jonah 2 (BSB) »
Jonah 2 (WEB) »
Jonas 2 (LSG) »
Jona 2 (LUTH1912) »
योना 2 (HINIRV) »
ਯੂਨਾਹ 2 (PANIRV) »
যোনা 2 (BENIRV) »
யோனா 2 (TAMIRV) »
योना 2 (MARIRV) »
యోనా 2 (TELIRV) »
યૂના 2 (GUJIRV) »
ಯೋನನು 2 (KANIRV) »
يُونَان 2 (AVD) »
יונה 2 (HEB) »
Jonas 2 (BSL) »
Giô-na 2 (VIE) »
Jonás 2 (RVA) »
Giona 2 (RIV) »
约 拿 书 2 (CUVS) »
約 拿 書 2 (CUVT) »
Jona 2 (ALB) »
Jona 2 (SV1917) »
Иона 2 (RUSV) »
Йона 2 (UKR) »
Jónás 2 (KAR) »
Йона 2 (BULG) »
ヨナ書 2 (JPN) »
Jona 2 (NORSK) »
Jonasza 2 (POLUBG) »
Yoonis 2 (SOM) »
Jona 2 (NLD) »
Jonas 2 (DA1871) »