1 Wakorintho Chapter 9 Verse 20 SWHULB
1 Wakorintho 9:20 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download 1 Wakorintho 9:20 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
1 Wakorintho 9:20 SWHULB
Kwa Wayahudi nilikuwa kama Myahudi, ili niwapate Wayahudi. Kwa wale walio chini ya sheria, nilikuwa kama mmoja wao aliye chini ya sheria ili niwapate wale walio chini ya sheria. Nilifanya hivyo ingawa mimi binafsi sikuwa chini ya sheria.
View New TabSocial Share Icons
1 Wakorintho 9:20 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
1 Wakorintho 9:20 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to 1 Wakorintho 9:20 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Matendo ya Mitume 16:3 (SWHULB) »
Paulo alimtaka ili asafiri naye, hivyo akamchukua na kumtahiri kwa sababu ya Wayahudi waliokuwako huko kwani wote walimjua kuwa baba yake ni Mgiriki.
Matendo ya Mitume 21:20 (SWHULB) »
Wakati waliposikia hayo, wakamsifu Mungu, na wakamwambia, “Unaona, ndugu, kuna maelfu wangapi wameamini miongoni mwa Wayahudi. Wao wote wana nia ya kushika sheria.
Matendo ya Mitume 17:2 (SWHULB) »
Kama ilivyo kawaida ya Paulo, alienda kwao, na kwa muda wa siku tatu za Sabato alijadiliana nao juu ya maandiko.
Wagalatia 4:5 (SWHULB) »
Alifanya hivi ili kuwakomboa wale waliokuwa chini ya sheria, ili kwamba tupokee hali ya kuwa kama wana.
Warumi 11:14 (SWHULB) »
Labda nitawatia wivu walio mwili mmoja na mimi. Labda tutawaokoa baadhi yao.
Warumi 3:19 (SWHULB) »
Sasa tunajua kwamba chochote sheria isemacho, husema na wale walio chini ya sheria. Hii ni ili kwamba kila kinywa kifungwe, na hivyo kwamba ulimwengu wote uweze kuwajibika kwa Mungu.
Warumi 6:14 (SWHULB) »
Msiiruhusu dhambi iwatawale. Kwa kuwa hamko chini ya sheria, bali chini ya neema.
Matendo ya Mitume 18:18 (SWHULB) »
Paulo, baada ya kukaa pale kwa muda mrefu, aliwaacha ndugu na kwenda kwa meli Siria pamoja na Prisila na Akwila. Kabla ya kuondoka bandarini, alinyoa nywele zake kwani alikuwa ameapa kuwa Mnadhiri.
Wagalatia 4:21 (SWHULB) »
Niambieni, ninyi ambao mnatamani kuwa chini ya sheria, hamsikii sheria isemavyo?
Available Bible Translations
1 Corinthians 9:20 (ASV) »
1 Corinthians 9:20 (KJV) »
1 Corinthians 9:20 (GW) »
1 Corinthians 9:20 (BSB) »
1 Corinthians 9:20 (WEB) »
1 Corinthiens 9:20 (LSG) »
1 Korinther 9:20 (LUTH1912) »
1 कुरिन्थियों 9:20 (HINIRV) »
1 ਕੁਰਿੰਥੀਆਂ 9:20 (PANIRV) »
1 কৰিন্থীয়া 9:20 (BENIRV) »
1 கொரிந்தியர் 9:20 (TAMIRV) »
1 करिंथकरांस 9:20 (MARIRV) »
1 కొరింథీయులకు 9:20 (TELIRV) »
1 કરિંથીઓને 9:20 (GUJIRV) »
1 ಕೊರಿಂಥದವರಿಗೆ 9:20 (KANIRV) »
١ كورنثوس 9:20 (AVD) »
אגרת שאול הראשונה אל הקורינתים 9:20 (HEB) »
1 Coríntios 9:20 (BSL) »
1 Cô-rinh-tô 9:20 (VIE) »
1 Corintios 9:20 (RVA) »
1 Corinzi 9:20 (RIV) »
哥 林 多 前 书 9:20 (CUVS) »
歌 林 多 前 書 9:20 (CUVT) »
1 Korintasve 9:20 (ALB) »
1 Korinthierbrevet 9:20 (SV1917) »
1 Коринфянам 9:20 (RUSV) »
1 коринтян 9:20 (UKR) »
1 Korinthus 9:20 (KAR) »
1 Коринтяни 9:20 (BULG) »
1 Korinter 9:20 (NORSK) »
1 Koryntian 9:20 (POLUBG) »
1 Korintos 9:20 (SOM) »
1 Corinthiërs 9:20 (NLD) »
1 Korintherne 9:20 (DA1871) »
1 Wakorintho 9 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »