1 Yohana Chapter 5 Verse 20 SWHULB
1 Yohana 5:20 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download 1 Yohana 5:20 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
1 Yohana 5:20 SWHULB
Lakini twajua kwamba Mwana wa Mungu amekuja na ametupatia ujuzi, kwamba tunamjua yeye aliye kweli na kwamba tumo ndani yake yeye aliye kweli, hata katika Mwanawe Yesu Kristo. Ni Mungu wa kweli na uzima wa milele.
View New TabSocial Share Icons
1 Yohana 5:20 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
1 Yohana 5:20 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to 1 Yohana 5:20 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Yohana 17:3 (SWHULB) »
Huu ndio uzima wa milele: kwamba wakujue wewe, Mungu wa kweli na wa pekee, na yeye uliyemtuma, Yesu Kristo.
Yohana 14:9 (SWHULB) »
Yesu akamwambia, “Sijakuwa pamoja nanyi kwa muda mrefu, na bado hunijui mimi, Philipo? Yeyote aliyeniona mimi amemwona Baba; Jinsi gani unasema, 'Tuonyeshe Baba'?
1 Timotheo 3:16 (SWHULB) »
Na haipingiki kwamba kweli ya Uungu uliyofunuliwa ni mkuu: “Alionekana katika mwili, akathibitishwa na Roho, akaonekana na malaika, akatangazwa miongoni mwa mataifa, akaaminiwa na ulimwengu, na akachukuliwa juu katika utukufu.”
Isaya 44:6 (SWHULB) »
Yahwe asema hivi—Mfalme wa Israeli na Mkombozi wake, Yahwe wa majeshi: ''Mimi ni mwanzo na ni mwisho; na hakuna mungu ila mimi.
Yohana 1:1 (SWHULB) »
Mwanzoni kulikuwako Neno, na Neno alikuwa pamoja na Mungu, na Neno alikuwa Mungu.
Warumi 9:5 (SWHULB) »
Wao ni watangulizi ambako Kristo amekuja kwa heshima kuvaa mwili huu - ambaye yeye ni Mungu wa vyote. Naye asifiwe milele. Amina.
Ufunuo 3:7 (SWHULB) »
“Kwa malaika wa kanisa la Philadefia andika: Maneno ya aliye mtakatifu na kweli - aliye na funguo za Daudi, hufungua na hakuna afungaye, hufunga na hakuna awezaye kufungua.
1 Yohana 5:1 (SWHULB) »
Yeyote anayeamini kuwa Yesu ni Kristo amezaliwa na Mungu. Na yeyote ampendaye yeye ambaye ametoka kwa Baba pia huwapenda watoto wake.
1 Yohana 5:11 (SWHULB) »
Na ushuhuda ndio huu — kwamba Mungu alitupa uzima wa milele, na uzima huu umo ndani ya Mwanawe.
Available Bible Translations
1 John 5:20 (ASV) »
1 John 5:20 (KJV) »
1 John 5:20 (GW) »
1 John 5:20 (BSB) »
1 John 5:20 (WEB) »
1 Jean 5:20 (LSG) »
1 Johannes 5:20 (LUTH1912) »
1 यूहन्ना 5:20 (HINIRV) »
1 ਯੂਹੰਨਾ 5:20 (PANIRV) »
1 যোহনের 5:20 (BENIRV) »
1 யோவான் 5:20 (TAMIRV) »
1 योहान 5:20 (MARIRV) »
1 యోహాను పత్రిక 5:20 (TELIRV) »
1 યોહાનનો 5:20 (GUJIRV) »
1 ಯೋಹಾನನು 5:20 (KANIRV) »
١ يوحنَّا 5:20 (AVD) »
אגרת יוחנן הראשונה 5:20 (HEB) »
1 João 5:20 (BSL) »
1 Giăng 5:20 (VIE) »
1 Juan 5:20 (RVA) »
1 Giovanni 5:20 (RIV) »
约 翰 一 书 5:20 (CUVS) »
約 翰 一 書 5:20 (CUVT) »
1 Gjonit 5:20 (ALB) »
1 Johannesbrevet 5:20 (SV1917) »
1 Иоанна 5:20 (RUSV) »
1 Івана 5:20 (UKR) »
1 János 5:20 (KAR) »
1 Йоаново 5:20 (BULG) »
ヨハネの第一の手紙 5:20 (JPN) »
1 Johannes 5:20 (NORSK) »
1 Jana 5:20 (POLUBG) »
1 Yooxanaa 5:20 (SOM) »
1 Johannes 5:20 (NLD) »
1 Johannes 5:20 (DA1871) »
1 Yohana 5 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »