1 Wafalme Chapter 21 Verse 5 SWHULB
1 Wafalme 21:5 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download 1 Wafalme 21:5 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
1 Wafalme 21:5 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to 1 Wafalme 21:5 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Mwanzo 3:6 (SWHULB) »
Na mwanamke alipoona kuwa mti ni mzuri kwa chakula, na kuwa unapendeza macho, na kwamba mti ulitamanika kwa kumfanya mtu awe mwerevu, alichukua sehemu ya tunda na akala. Na sehemu yake pia akampatia mumewe aliyekuwa naye, naye akala.
2 Samweli 13:4 (SWHULB) »
Yehonadabu alikuwa mtu mwelevu sana. Akamwambia Amnoni, “Kwa nini, mwana wa mfalme, unadhoofika kila siku? Kwa nini uniambii? Ndipo Amnoni akamjibu, “Nampenda Tamari, dada yake Absalome ndugu yangu.”
1 Wafalme 18:4 (SWHULB) »
kwa kuwa wakati Yezebeli alipokuwa akiwaua manabii wa BWANA, Obadia alichukua manabii mia akawaficha katika makundi ya hamsini hamsini katika pango na akawalisha kwa mikate na maji.
1 Wafalme 16:31 (SWHULB) »
Ikawa kidogo tu Ahabu ayaendee makosa ya Yeroboamu mwana wa Nebati, kwa hiyo akamwoa Yezebeli binti wa Ethibaali, mfalme wa Wasidoni; akaenda akamwabudu baali na akamsujudia.
1 Wafalme 21:25 (SWHULB) »
Hapakuwepo na mtu kama Ahabu, ambaye alijiuza mwenyewe kufanya maovu mbele ya macho ya BWANA, ambaye mke wake Yezebeli alimchochea kufanya dhambi.
1 Wafalme 19:2 (SWHULB) »
Ndipo Yezebeli alipotuma mjumbe kwa Eliya, akisema, “miungu wanifanye hivyo na mimi, na zaidi yake, kama kesho muda kama huu sitayafanya maisha yako kuwa kama mmoja wa hao manabii waliokufa.”
Nehemia 2:2 (SWHULB) »
Lakini mfalme akaniambia, “Kwa nini uso wako una huzuni? Hauonekani kuwa mgonjwa. Hii lazima iwe huzuni ya moyo.” Kisha nikaogopa sana.
Esta 4:5 (SWHULB) »
kisha Esta akamwita Hathaki, mmoja wa wasimamizi wa mfalme, ambaye alikuwa amepewa wajibu wa kumuhudumia. Akamwagiza kwenda kwa Modekai ili afahamu kwa nini Modekai ameamua kufanya hivyo.
Available Bible Translations
1 Kings 21:5 (ASV) »
1 Kings 21:5 (KJV) »
1 Kings 21:5 (GW) »
1 Kings 21:5 (BSB) »
1 Kings 21:5 (WEB) »
1 Rois 21:5 (LSG) »
1 Könige 21:5 (LUTH1912) »
1 राजाओं 21:5 (HINIRV) »
1 ਰਾਜਿਆਂ 21:5 (PANIRV) »
1 ৰাজাৱলী 21:5 (BENIRV) »
1 இராஜாக்கள் 21:5 (TAMIRV) »
1 राजे 21:5 (MARIRV) »
1 రాజులు 21:5 (TELIRV) »
1 રાજાઓ 21:5 (GUJIRV) »
1 ಅರಸುಗಳು 21:5 (KANIRV) »
اَلْمُلُوكِ ٱلْأَوَّلُ 21:5 (AVD) »
מלכים א 21:5 (HEB) »
1 Reis 21:5 (BSL) »
1 Các Vua 21:5 (VIE) »
1 Reyes 21:5 (RVA) »
1 Re 21:5 (RIV) »
列 王 记 上 21:5 (CUVS) »
列 王 紀 上 21:5 (CUVT) »
1 Mbretërve 21:5 (ALB) »
1 Kungaboken 21:5 (SV1917) »
3 Царств 21:5 (RUSV) »
1 царів 21:5 (UKR) »
1 Királyok 21:5 (KAR) »
3 Царе 21:5 (BULG) »
列王紀上 21:5 (JPN) »
1 Kongebok 21:5 (NORSK) »
1 Królewska 21:5 (POLUBG) »
Boqorradii Kowaad 21:5 (SOM) »
1 Koningen 21:5 (NLD) »
1 Kongebog 21:5 (DA1871) »
1 Wafalme 21 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »