1 Wathesalonike Chapter 5 Verse 14 SWHULB
1 Wathesalonike 5:14 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download 1 Wathesalonike 5:14 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
1 Wathesalonike 5:14 SWHULB
Twawasihi, ndugu: muwaonye wasio kwenda kwa utaratibu, watieni moyo walio kata tamaa, Wasaidieni walio wanyonge, na muwe wavumilivu kwa wote.
View New TabSocial Share Icons
1 Wathesalonike 5:14 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
1 Wathesalonike 5:14 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to 1 Wathesalonike 5:14 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
2 Timotheo 4:2 (SWHULB) »
Hubiri Neno. Uwe tayari kwa wakati ufaao na usiofaa. Waambie watu dhambi zao, kemea, himiza, kwa uvumilivu wote na mafundisho.
2 Wathesalonike 3:6 (SWHULB) »
Sasa tunawaagiza, ndugu, katika jina la Bwana Yesu Kristo, kwamba mwepuke kila ndugu ambaye anaishi maisha ya uvivu na siyo kwa kutokana na desturi ambazo mlipokea kutoka kwetu.
Warumi 14:1 (SWHULB) »
Mpokeeni yeyote ambaye ni dhaifu katika imani, bila kutoa hukumu kuhusu mawazo yake.
2 Wathesalonike 3:11 (SWHULB) »
Kwa kuwa tunasikia kwamba baadhi wanaenenda kwa uvivu miongoni mwenu. Hawafanyi kazi lakini badala yake ni watu wasio na utaratibu.
Matendo ya Mitume 20:35 (SWHULB) »
Katika mambo yote niliwapa mfano wa jinsi inavyopasa kuwasaidia wanyonge kwa kufanya kazi, na jinsi mnavyopaswa kukumbuka maneno ya Bwana Yesu, maneno ambayo yeye mwenyewe alisema: “Ni heri kutoa kuliko kupokea.”
1 Timotheo 6:11 (SWHULB) »
Lakini wewe mtu wa Mungu, yakimbie mambo hayo. Fuata haki, utauwa, uaminifu, upendo, usitahimilivu, na upole.
2 Timotheo 2:24 (SWHULB) »
Mtumishi wa Bwana hapaswi kugombana, badala yake inampasa kuwa mpole kwa watu wote, awezaye kufundisha, na mvumilivu.
Wakolosai 1:28 (SWHULB) »
Huyu ndiye tunayemtangaza. Tunamwonya kila mtu, na kumfundisha kila mtu kwa hekima yote, ili kwamba tumlete kila mtu mkamilifu katika Kristo.
Warumi 15:1 (SWHULB) »
Sasa sisi tulio na nguvu tunapaswa kuuchukua udhaifu wa walio dhaifu, na hatupaswi kujipendeza wenyewe.
1 Wakorintho 4:14 (SWHULB) »
Siandiki mambo haya kuwaaibisha ninyi, lakini kuwarudi ninyi kama watoto wangu niwapendao.
1 Wathesalonike 2:7 (SWHULB) »
Badala yake tulikuwa wapole kati yenu kama mama awafarijivyo watoto wake mwenyewe.
Waefeso 4:2 (SWHULB) »
Muishi kwa unyenyekevu mkuu na upole na uvumilivu. Mkichukuliana katika upendo.
Available Bible Translations
1 Thessalonians 5:14 (ASV) »
1 Thessalonians 5:14 (KJV) »
1 Thessalonians 5:14 (GW) »
1 Thessalonians 5:14 (BSB) »
1 Thessalonians 5:14 (WEB) »
1 Thessaloniciens 5:14 (LSG) »
1 Thessalonicher 5:14 (LUTH1912) »
1 थिस्सलुनीकियों 5:14 (HINIRV) »
1 ਥੱਸਲੁਨੀਕੀਆਂ 5:14 (PANIRV) »
1 থিচলনীকীয়া 5:14 (BENIRV) »
1 தெசலோனிக்கேயர் 5:14 (TAMIRV) »
1 थेस्सलनीकाकरांस 5:14 (MARIRV) »
1 తెస్సలోనిక పత్రిక 5:14 (TELIRV) »
1 થેસ્સલોનિકીઓને 5:14 (GUJIRV) »
1 ಥೆಸಲೋನಿಕದವರಿಗೆ 5:14 (KANIRV) »
١ تسالونيكي 5:14 (AVD) »
אגרת שאול הראשונה אל התסלוניקים 5:14 (HEB) »
1 Tessalonicenses 5:14 (BSL) »
1 Thê-sa-lô-ni-ca 5:14 (VIE) »
1 Tesalonicenses 5:14 (RVA) »
1 Tessalonicesi 5:14 (RIV) »
帖 撒 罗 尼 迦 前 书 5:14 (CUVS) »
帖 撒 羅 尼 迦 前 書 5:14 (CUVT) »
1 Thesalonikasve 5:14 (ALB) »
1 Thessalonikerbrevet 5:14 (SV1917) »
1 Фессалоникийцам 5:14 (RUSV) »
1 солунян 5:14 (UKR) »
1 Thesszalonika 5:14 (KAR) »
1 Солунци 5:14 (BULG) »
1 Tessaloniker 5:14 (NORSK) »
1 Tesaloniczan 5:14 (POLUBG) »
1 Tesaloniika 5:14 (SOM) »
1 Thessalonicenzen 5:14 (NLD) »
1 Tessalonikerne 5:14 (DA1871) »
1 Wathesalonike 5 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »