2 Samweli Chapter 14 Verse 25 SWHULB
2 Samweli 14:25 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download 2 Samweli 14:25 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
2 Samweli 14:25 SWHULB
Hakukuwa na mtu katika Israeli aliyesifiwa kwa uzuri kama Absalomu. Kutoka katika wayo wa mguu wake hadi katika utosi wake hakuwa na waa lolote.
View New TabSocial Share Icons
2 Samweli 14:25 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
2 Samweli 14:25 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to 2 Samweli 14:25 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Torati 28:35 (SWHULB) »
Yahwe atakushambulia kwenye magoti na miguu kwa majibu makali ambayo hutaweza kupona, kutoka chini ya miguu yako mpaka juu ya kichwa chako.
Ayubu 2:7 (SWHULB) »
Kisha Shetani akatoka mbele ya uso wa BWANA. Akampiga Ayubu na majipu mabaya toka wayo wa mguu hadi kichwani.
Isaya 1:6 (SWHULB) »
Kutoka kwenye unyayo wa mguu mpaka kichwani kila sehemu ina maumivu; ni madonda na majeraha mabichi yaliyoachwa wazi, ambayo hayajafungwa, kuasifishwa, kuwafunga vidonda vyao, wala kuwaponya kwa mafuta.
1 Samweli 9:2 (SWHULB) »
Huyu alikuwa na mtoto wa kiume aliyeitwa Sauli, kijana mzuri wa uso. Hapakuwapo mwanaume mzuri wa uso kuliko huyu miongoni mwa watu wote wa Israeli. Kutoka mabegani kwenda juu alikuwa mrefu kuliko watu wengine.
1 Samweli 16:7 (SWHULB) »
Lakini BWANA akamwambia Samweli, “Usimwangalie sura yake ya nje, au kimo cha umbo lake; kwa sababu nimemkataa. Maana BWANA haangalii kama mtu aangaliavyo; mtu hutazama sura ya nje, bali BWANA huutazama moyo.”
Mithali 31:30 (SWHULB) »
Madaha ni udanganyifu, uzuri ni ubatili; bali mwanamke amchaye Yehova, atasifiwa.
Mathayo 23:27 (SWHULB) »
Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnafanana na makaburi yaliyopakwa chokaa, ambayo kwa nje huonekana mazuri, lakini kwa ndani yamejaa mifupa ya wafu na kila kitu kilicho kichafu.
Waefeso 5:27 (SWHULB) »
Alifanya hivi ili kwamba aweze kujiwasilishia mwenyewe kanisa tukufu, pasipo na doa wala waa au kitu kifananacho na haya, badala yake ni takatifu lisilo na kosa.
Available Bible Translations
2 Samuel 14:25 (ASV) »
2 Samuel 14:25 (KJV) »
2 Samuel 14:25 (GW) »
2 Samuel 14:25 (BSB) »
2 Samuel 14:25 (WEB) »
2 Samuel 14:25 (LSG) »
2 Samuel 14:25 (LUTH1912) »
2 शमूएल 14:25 (HINIRV) »
2 ਸਮੂਏਲ 14:25 (PANIRV) »
2 চমূৱেল 14:25 (BENIRV) »
2 சாமுவேல் 14:25 (TAMIRV) »
2 शमुवेल 14:25 (MARIRV) »
2 సమూయేలు 14:25 (TELIRV) »
2 શમુએલ 14:25 (GUJIRV) »
2 ಸಮುವೇಲನು 14:25 (KANIRV) »
صَمُوئِيلَ ٱلثَّانِي 14:25 (AVD) »
שמואל ב 14:25 (HEB) »
2 Samuel 14:25 (BSL) »
2 Sa-mu-ên 14:25 (VIE) »
2 Samuel 14:25 (RVA) »
2 Samuele 14:25 (RIV) »
撒 母 耳 记 下 14:25 (CUVS) »
撒 母 耳 記 下 14:25 (CUVT) »
2 Samuelit 14:25 (ALB) »
2 Samuelsboken 14:25 (SV1917) »
2 Царств 14:25 (RUSV) »
2 Самуїлова 14:25 (UKR) »
2 Sámuel 14:25 (KAR) »
2 Царе 14:25 (BULG) »
サムエル記下 14:25 (JPN) »
2 Samuel 14:25 (NORSK) »
2 Samuela 14:25 (POLUBG) »
Samuu'eel Labaad 14:25 (SOM) »
2 Samuël 14:25 (NLD) »
2 Samuel 14:25 (DA1871) »
2 Samweli 14 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »