Matendo ya Mitume Chapter 28 Verse 10 SWHULB
Matendo ya Mitume 28:10 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Matendo ya Mitume 28:10 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Matendo ya Mitume 28:10 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Matendo ya Mitume 28:10 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
2 Wafalme 8:9 (SWHULB) »
Basi Hazaeli akaenda kuonana naye na kuchukua zawadi zake za kila kitu kizuri cha Damskasi, akabeba ngamia arobaini. Hivyo Hazaeli akaja na kusimama mbele ya Elisha na kusema, “Mtoto wako Ben Hadadi mfalme wa Shamu amenituma kwako, kusema, “Je nitapona huu ugonjwa?”
1 Timotheo 5:17 (SWHULB) »
Basi wazee wale watawalao vyema wahesabiwe kuwa wamestahili heshima maradufu, hasa wale wanaojishughulisha na kufundisha neno la Mungu.
1 Wathesalonike 2:6 (SWHULB) »
Wala hatukutafuta utukufu kwa watu, wala kutoka kwenu au kwa wengine. Tungeweza kudai kupendelewa kama mitume wa Kristo.
Wafilipi 4:19 (SWHULB) »
Kwa ajili hiyo, Mungu wangu atawajazeni mahitaji yenu kwa utajiri wa utukufu wake katikaYesu Kristo.
Wafilipi 4:11 (SWHULB) »
Sisemi hivyo ili kujipatia kitu kwa ajili ya mahitaji yangu. Kwani nimejifunza kuridhika katika hali zote.
2 Wakorintho 8:2 (SWHULB) »
Wakati wa jaribu kubwa la mateso, wingi wa furaha yao na ongezeko la umaskini wao umezaa utjiri mkubwa wa ukarimu.
2 Wakorintho 9:5 (SWHULB) »
Hivyo niliona ilikuwa muhimu kuwasihi ndugu kuja kwenu na kufanya mipango mapema kwa ajili ya zawadi mlizoahidi. Hii ni hivyo ili kwamba ziwe tayari kama baraka, na si kama kitu kilichoamriwa.
Mathayo 10:8 (SWHULB) »
Ponyeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma na fukuzeni pepo. Mmepokea bure, toeni bure.
Mathayo 6:31 (SWHULB) »
Kwa hiyo msiwe na wasiwasi nakusema, 'Je tutakula nini?' au “Je tutakunywa nini?” au “Je tutavaa nguo gani?”
Mathayo 15:5 (SWHULB) »
Lakini ninyi husema, 'Kila amwambiaye baba yake na mama yake, '“Kila msaada ambao angepata kutoka kwangu sasa ni zawadi kutoka kwa Mungu,'''
Ezra 7:27 (SWHULB) »
Atukuzwe, Yahwe, Mungu wa watangulizi wetu, ambaye aliweka ndani ya moyo wa mfalme ili kutuza Nyumba ya Yahwe Yerusalem,
Available Bible Translations
Acts 28:10 (ASV) »
Acts 28:10 (KJV) »
Acts 28:10 (GW) »
Acts 28:10 (BSB) »
Acts 28:10 (WEB) »
Actes 28:10 (LSG) »
Apostelgeschichte 28:10 (LUTH1912) »
प्रेरितों के काम 28:10 (HINIRV) »
ਰਸੂਲਾਂ ਦੇ ਕਰਤੱਬ 28:10 (PANIRV) »
पশিষ্যচরিত 28:10 (BENIRV) »
அப்போஸ்தலருடைய நடபடிகள் 28:10 (TAMIRV) »
प्रेषितांचीं कृत्यें 28:10 (MARIRV) »
అపొస్తలుల కార్యములు 28:10 (TELIRV) »
પ્રેરિતોનાં ક્રત્યો 28:10 (GUJIRV) »
ಅಪೊಸ್ತಲರ ಕೃತ್ಯಗಳು 28:10 (KANIRV) »
أَعْمَالُ ٱلرُّسُلِ 28:10 (AVD) »
מעשי השליחים 28:10 (HEB) »
Atos 28:10 (BSL) »
Công Vụ Các Sứ đồ 28:10 (VIE) »
Hechos 28:10 (RVA) »
Atti 28:10 (RIV) »
使 徒 行 传 28:10 (CUVS) »
使 徒 行 傳 28:10 (CUVT) »
Veprat e Apostujve 28:10 (ALB) »
Apostlagärningarna 28:10 (SV1917) »
Деяния 28:10 (RUSV) »
Дії 28:10 (UKR) »
Apostolok 28:10 (KAR) »
Деяния 28:10 (BULG) »
使徒行伝 28:10 (JPN) »
Apostlenes gjerninger 28:10 (NORSK) »
Dzieje 28:10 (POLUBG) »
Falimaha Rasuullada 28:10 (SOM) »
Handelingen 28:10 (NLD) »
Apostlenes Gerninger 28:10 (DA1871) »
Matendo ya Mitume 28 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »