Matendo ya Mitume 6:7 SWHULB Bible Verse Picture Image

Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Matendo ya Mitume 6:7 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Matendo ya Mitume 6:7 SWHULB - Hivyo, neno la Mungu lilienea; na idadi ya - Bible Verse Picture

Matendo ya Mitume 6:7 SWHULB

Hivyo, neno la Mungu lilienea; na idadi ya wanafunzi ilizidi kuongezeka huko Yesrusalem; na idadi kubwa ya makuhani wakaitii imani.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Matendo ya Mitume 6:7 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.

Additional Bible Verse Images

Picture 02 - Matendo ya Mitume 6:7 SWHULB - Hivyo, neno la Mungu lilienea; na idadi ya - Bible Verse Picture
View New Tab
Picture 03 - Matendo ya Mitume 6:7 SWHULB - Hivyo, neno la Mungu lilienea; na idadi ya - Bible Verse Picture
View New Tab
Picture 04 - Matendo ya Mitume 6:7 SWHULB - Hivyo, neno la Mungu lilienea; na idadi ya - Bible Verse Picture
View New Tab
Picture 05 - Matendo ya Mitume 6:7 SWHULB - Hivyo, neno la Mungu lilienea; na idadi ya - Bible Verse Picture
View New Tab
Picture 06 - Matendo ya Mitume 6:7 SWHULB - Hivyo, neno la Mungu lilienea; na idadi ya - Bible Verse Picture
View New Tab
Picture 07 - Matendo ya Mitume 6:7 SWHULB - Hivyo, neno la Mungu lilienea; na idadi ya - Bible Verse Picture
View New Tab

Matendo ya Mitume 6:7 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Matendo ya Mitume 6:7 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Matendo ya Mitume 19:20 SWHULB Bible Verse Image
Matendo ya Mitume 19:20 (SWHULB) »
Hivyo Neno la Bwana likaenea kwa upana sana katika nguvu.

Matendo ya Mitume 12:24 SWHULB Bible Verse Image
Matendo ya Mitume 12:24 (SWHULB) »
Lakini neno la Mungu likakua na kusambaa.

Wakolosai 1:6 SWHULB Bible Verse Image
Wakolosai 1:6 (SWHULB) »
ambayo imekuja kwenu. Injili hii inazaa tunda na inaenea ulimwenguni kote. Imekuwa ikifanya hivi ndani yenu pia tangu siku mlipoisikia na kujifunza kuhusu neema ya Mungu katika kweli.

Wahebrania 5:9 SWHULB Bible Verse Image
Wahebrania 5:9 (SWHULB) »
Alikamilishwa na kwa njia hii alifanyika kwa kila mtu amwaminiye kuwa sababu ya wokovu wa milele,

Warumi 16:26 SWHULB Bible Verse Image
Warumi 16:26 (SWHULB) »
lakini sasa imekwisha funuliwa na kufanywa kujulikana na maandiko ya unabii kulingana na amri ya Mungu wa milele, kwa utii wa imani miongoni mwa mataifa yote?

Warumi 1:5 SWHULB Bible Verse Image
Warumi 1:5 (SWHULB) »
Kupitia yeye tumepokea neema na utume kwa utii wa imani kati ya mataifa yote, kwa ajili ya jina lake.

2 Timotheo 2:9 SWHULB Bible Verse Image
2 Timotheo 2:9 (SWHULB) »
ambao kwa sababu ya huo ninateswa hata kufungwa minyororo kama mhalifu. Lakini neno la Mungu halifungwi kwa minyororo.

Matendo ya Mitume 14:22 SWHULB Bible Verse Image
Matendo ya Mitume 14:22 (SWHULB) »
Waliendelea kuimarisha nafsi za wanafunzi na kutiwa moyo kuendelea katika imani, akasema, “Lazima tuingie katika ufalme wa Mungu kwa kupitia mateso mengi.”

2 Nyakati 30:24 SWHULB Bible Verse Image
2 Nyakati 30:24 (SWHULB) »
Kwa kuwa Hezekia mfalme wa Yuda aliwapa kusanyiko ng'ombe dume elf moja, na kondoo elfu saba kama sadaka; na viongozi wakawapa kusanyiko ng'ombe dume elfu moja na kondoo na mbuzi elfu kumi. Idadi kubwa ya makuhani wakajitakasa wenyewe.

Matendo ya Mitume 21:20 SWHULB Bible Verse Image
Matendo ya Mitume 21:20 (SWHULB) »
Wakati waliposikia hayo, wakamsifu Mungu, na wakamwambia, “Unaona, ndugu, kuna maelfu wangapi wameamini miongoni mwa Wayahudi. Wao wote wana nia ya kushika sheria.

2 Nyakati 29:34 SWHULB Bible Verse Image
2 Nyakati 29:34 (SWHULB) »
Lakini makuhani walikuwa wachache sana kuchuna sadaka zote za kuteketezwa, kwa hiyo ndgugu zao, Walawi, wakawasaidia hadi kazi ilipoisha, na hadi makuhani walipoweza kujitakasa wenyewe, kwa maana Walawi walikuwa makaini sana kujitaksa wenyewe kuliko makuhani.

Zaburi 132:9 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 132:9 (SWHULB) »
Makuhani wako na wavikwe uadilifu; waaminifu wako washangilie.

Available Bible Translations

American Standard Version
Acts 6:7 (ASV) »
King James Version
Acts 6:7 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Acts 6:7 (GW) »
Berean Bible
Acts 6:7 (BSB) »
World English Bible
Acts 6:7 (WEB) »
Louis Segond 1910
Actes 6:7 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
प्रेरितों के काम 6:7 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਰਸੂਲਾਂ ਦੇ ਕਰਤੱਬ 6:7 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
पশিষ্যচরিত 6:7 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
அப்போஸ்தலருடைய நடபடிகள் 6:7 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
प्रेषितांचीं कृत्यें 6:7 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
అపొస్తలుల కార్యములు 6:7 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
પ્રેરિતોનાં ક્રત્યો 6:7 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಅಪೊಸ್ತಲರ ಕೃತ್ಯಗಳು 6:7 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
أَعْمَالُ ٱلرُّسُلِ 6:7 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
מעשי השליחים 6:7 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Atos 6:7 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Công Vụ Các Sứ đồ 6:7 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Hechos 6:7 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Atti 6:7 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
使 徒 行 传 6:7 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
使 徒 行 傳 6:7 (CUVT) »
Библия на русском
Деяния 6:7 (RUSV) »
Українська Біблія
Дії 6:7 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Apostolok 6:7 (KAR) »
Българска Библия
Деяния 6:7 (BULG) »
De Heilige Schrift
Handelingen 6:7 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »