Waefeso Chapter 1 Verse 5 SWHULB
Waefeso 1:5 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Waefeso 1:5 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Waefeso 1:5 SWHULB
Katika pendo Mungu alituchagua mwanzo kwa kututwaa kama watoto wake kwa njia ya Yesu Kristo. Alifanya hivi kwa sababu alipendezwa kufanya kile alichotamani.
View New TabSocial Share Icons
Waefeso 1:5 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Waefeso 1:5 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Waefeso 1:5 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Waefeso 1:11 (SWHULB) »
Katika Kristo tulikuwa tumechaguliwa na kukusudiwa kabla ya wakati. Hii ilikuwa ni kutokana na mpango wa anayefanya vitu vyote kwa kusudi la mapenzi yake.
Warumi 8:29 (SWHULB) »
Kwa sababu wale wote aliowajua tangu asili, pia aliwachagua tangu asili wafananishwe na mfano wa Mwana wake, ili yeye awe mzaliwa wa kwanza miogoni mwa ndugu wengi.
1 Yohana 3:1 (SWHULB) »
Oneni ni pendo la namna gani ametupatia Baba, kwamba tunaitwa watoto wa Mungu, na hivi ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui kwa kuwa haukumtambua yeye.
Wagalatia 4:5 (SWHULB) »
Alifanya hivi ili kuwakomboa wale waliokuwa chini ya sheria, ili kwamba tupokee hali ya kuwa kama wana.
Warumi 8:14 (SWHULB) »
Maana kama ambavyo wengi wanaongozwa na Roho wa Mungu, hawa ni wana wa Mungu.
Yohana 1:12 (SWHULB) »
Bali kwa wale wengi waliompokea, ambao waliamini jina lake, kwa hao aliwapa haki ya kuwa wana wa Mungu,
Warumi 8:23 (SWHULB) »
Si hivyo tu, ila na sisi wenyewe tulio na malimbuko ya Roho - sisi pia tunaugua katika nafsi zetu, tukisubiri kufanywa wana, yaani ukombozi wa miili yetu.
2 Wakorintho 6:18 (SWHULB) »
Nitakuwa Baba kwenu, nanyi mtakuwa wanangu wa kiume na wa kike,” asema Bwana Mwenyezi.
Ufunuo 21:7 (SWHULB) »
Yeye ashindaye atayarithi mambo haya, na nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.
Yohana 11:52 (SWHULB) »
na si kwa taifa peke yake, bali Yesu apate vile vile kuwakusanya watoto wa Mungu ambao wametawanyika sehemu mbali mbali.
Wahebrania 12:5 (SWHULB) »
Tena mmesahau kule kutiwa moyo ambako kunawaelekeza kama watoto wa kiume: “Mwanangu, usiyachukuwe kwa wepesi marudia ya Bwana, wala usikate tamaa unapo rekebishwa na yeye.”
Available Bible Translations
Ephesians 1:5 (ASV) »
Ephesians 1:5 (KJV) »
Ephesians 1:5 (GW) »
Ephesians 1:5 (BSB) »
Ephesians 1:5 (WEB) »
Éphésiens 1:5 (LSG) »
Epheser 1:5 (LUTH1912) »
इफिसियों 1:5 (HINIRV) »
ਅਫ਼ਸੀਆਂ 1:5 (PANIRV) »
ইফিচীয়া 1:5 (BENIRV) »
எபேசியர் 1:5 (TAMIRV) »
इफिसकरांस 1:5 (MARIRV) »
ఎఫెసీ పత్రిక 1:5 (TELIRV) »
એફેસીઓને 1:5 (GUJIRV) »
ಎಫೆಸದವರಿಗೆ 1:5 (KANIRV) »
أفَسُس 1:5 (AVD) »
אגרת שאול אל האפסים 1:5 (HEB) »
Efésios 1:5 (BSL) »
Ê-phê-sô 1:5 (VIE) »
Efesios 1:5 (RVA) »
Efesini 1:5 (RIV) »
以 弗 所 书 1:5 (CUVS) »
以 弗 所 書 1:5 (CUVT) »
Efesianëve 1:5 (ALB) »
Efesierbrevet 1:5 (SV1917) »
Ефесянам 1:5 (RUSV) »
ефесян 1:5 (UKR) »
Efézus 1:5 (KAR) »
Ефесяни 1:5 (BULG) »
エペソ人への手紙 1:5 (JPN) »
Efeserne 1:5 (NORSK) »
Efezjan 1:5 (POLUBG) »
Efesos 1:5 (SOM) »
Efeziërs 1:5 (NLD) »
Efeserne 1:5 (DA1871) »
Waefeso 1 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »