Ezekieli Chapter 43 Verse 18 SWHULB
Ezekieli 43:18 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Ezekieli 43:18 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Ezekieli 43:18 SWHULB
Kisha akanambia, “Mwanadamu, Bwana Yahwe asema hivi: Hizi ndizo sheria kwa ajili ya madhabahu katika siku watakayoitengeza, kwa ajili kutoa sadaka ya kuteketezwa kwenye hiyo, na kwa jili ya kunyunyiza damu juu yake.
View New TabSocial Share Icons
Ezekieli 43:18 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Ezekieli 43:18 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Ezekieli 43:18 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Kutoka 40:29 (SWHULB) »
Aliweka madhabahu ya sadaka ya kuteketeza katika hema ya kukutania. Aliitolea sadaka ya kuteketeza na sadaka ya unga, kama Yahweh alivyo muamuru.
Wahebrania 9:13 (SWHULB) »
Kama kwa damu ya mbuzi na mafahari na kunyunyiziwa kwa majivu ya ndama katika hao wasiosafi walitengwa kwa Mungu na kufanya miili yao safi,
Wahebrania 9:21 (SWHULB) »
Katika hali ileile, aliinyunyiza damu juu ya hema na vyombo vyote vilivyotumiwa kwa huduma ya ukuhani.
Ezekieli 45:18 (SWHULB) »
Bwana Yahwe asema hivi: Katika mwezi wa kwanza, siku ya kwanza ya mwezi, utachukua ng'ombe mmoja asiyekuwa na dosari kutoka kwenye kundi na kufanya sadaka ya dhambi kwa ajili ya patakatifu.
Ezekieli 2:1 (SWHULB) »
Akanambia, “Mwana wa adamu, simama kwa miguu yako; kisha nitaongea na wewe.”
Mambo ya Walawi 8:18 (SWHULB) »
Musa akamleta yule konndoo dume kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa, naye Aroni na wanawe wakaweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo kondoo.
Mambo ya Walawi 16:19 (SWHULB) »
Anatakiwa anyunyize kiasi cha damu juu yake kwa kidole chake mara saba kuitakasa na kuitenga maalumu kwa Yahwe, mbali kutoka matendo ya unajisi wa watu wa Israeli.
Mambo ya Walawi 1:5 (SWHULB) »
Ndipo atapaswa kuchinja ng'ombe mbele ya Bwana. Watoto wa Aroni, makuhani wataleta damu na kuinyunyizia katika madhabahu iliyo katika mlango wa kuingilia katika hema la kukutania.
Wahebrania 12:24 (SWHULB) »
Mmekuja kwa Yesu mpatanishi wa agano jipya, na kwa damu iliyonyunyizwa ambayo hunena mema zaidi kuliko damu ya Habili.
Available Bible Translations
Ezekiel 43:18 (ASV) »
Ezekiel 43:18 (KJV) »
Ezekiel 43:18 (GW) »
Ezekiel 43:18 (BSB) »
Ezekiel 43:18 (WEB) »
Ézéchiel 43:18 (LSG) »
Hesekiel 43:18 (LUTH1912) »
यहेजकेल 43:18 (HINIRV) »
ਹਿਜ਼ਕੀਏਲ 43:18 (PANIRV) »
যিহিষ্কেল 43:18 (BENIRV) »
எசேக்கியேல் 43:18 (TAMIRV) »
यहेज्केल 43:18 (MARIRV) »
యెహెజ్కేలు 43:18 (TELIRV) »
હઝકિયેલ 43:18 (GUJIRV) »
ಯೆಹೆಜ್ಕೇಲನು 43:18 (KANIRV) »
حِزْقِيَال 43:18 (AVD) »
יחזקאל 43:18 (HEB) »
Ezequiel 43:18 (BSL) »
Ê-xê-ki-ên 43:18 (VIE) »
Ezequiel 43:18 (RVA) »
Ezechiele 43:18 (RIV) »
以 西 结 书 43:18 (CUVS) »
以 西 結 書 43:18 (CUVT) »
Ezekieli 43:18 (ALB) »
Hesekiel 43:18 (SV1917) »
Иезекииль 43:18 (RUSV) »
Єзекіїль 43:18 (UKR) »
Ezékiel 43:18 (KAR) »
Езекил 43:18 (BULG) »
エゼキエル書 43:18 (JPN) »
Esekiel 43:18 (NORSK) »
Ezechiela 43:18 (POLUBG) »
Yexesqeel 43:18 (SOM) »
Ezechiël 43:18 (NLD) »
Ezekiel 43:18 (DA1871) »
Ezekieli 43 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »