Wahebrania Chapter 13 Verse 18 SWHULB
Wahebrania 13:18 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Wahebrania 13:18 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Wahebrania 13:18 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Wahebrania 13:18 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
2 Wathesalonike 3:1 (SWHULB) »
Na sasa, ndugu, tuombeeni, kwamba neno la Bwana liweze kuenea na kutukuzwa, kama ilivyo pia kwenu.
Warumi 15:30 (SWHULB) »
Sasa ninawasihi, ndugu, kwa Bwana wetu Yesu Kristo, na kwa upendo wa Roho, kwamba mshiriki pamoja nami katika maombi yenu kwa Mungu kwa ajili yangu.
1 Timotheo 1:5 (SWHULB) »
Basi lengo la agizo hili ni upendo utokao katika moyo safi, katika dhamiri nzuri na katika imani ya kweli.
Wakolosai 4:3 (SWHULB) »
Ombeni pamoja kwa ajili yetu pia, ili kwamba Mungu afungue mlango kwa ajili ya neno, kunena siri ya ukweli ya Kristo. Kwa sababu ya hili nimefungwa minyororo.
Waefeso 6:19 (SWHULB) »
Ombeni kwa ajili yangu, ili nipewe ujumbe ninapofungua mdomo wangu. Ombeni kwamba nieleweshe kwa ujasiri kweli iliyofichika ihusuyo injili.
1 Petro 3:16 (SWHULB) »
Muwe na dhamiri njema ili kwamba watu wanaotukana maisha yenu mema katika Kristo waweze kuaibika kwa sababu wanaongea kinyume dhidi yenu kama kwamba mlikuwa watenda maovu.
1 Petro 3:21 (SWHULB) »
Hii ni alama ya ubatizo unaowaokoa ninyi sasa, siyo kama kuosha uchafu kutoka mwilini, lakini kama ombi la dhamiri njema kwa Mungu, kupitia ufufuo wa Yesu Kristo.
Matendo ya Mitume 24:16 (SWHULB) »
na kwa hili, ninafanya kazi ili niwe na dhamira isiyo na hatia mbele za Mungu na mbele ya watu kupitia mambo yote.
Matendo ya Mitume 23:1 (SWHULB) »
Paulo akawaangalia moja kwa moja watu wa baraza na kusema, “Ndugu zangu, nimeishi mbele za Mungu kwa dhamira nzuri hadi hivi leo.”
1 Petro 2:12 (SWHULB) »
Mnapaswa kuwa na tabia njema kati ya mataifa, ili kwamba, kama watawasema kama kwamba mmefanya mambo maovu, wataziangalia kazi zenu njema na kumsifu Mungu katika siku ya kuja kwake.
1 Wathesalonike 4:12 (SWHULB) »
Fanya haya ili uweze kuenenda vizuri na kwa heshima kwa hao walio nje ya imani, ili usipungukiwe na hitaji lolote.
Available Bible Translations
Hebrews 13:18 (ASV) »
Hebrews 13:18 (KJV) »
Hebrews 13:18 (GW) »
Hebrews 13:18 (BSB) »
Hebrews 13:18 (WEB) »
Hébreux 13:18 (LSG) »
Hebräer 13:18 (LUTH1912) »
इब्रानियों 13:18 (HINIRV) »
ਇਬਰਾਨੀ 13:18 (PANIRV) »
হিব্রুদের 13:18 (BENIRV) »
எபிரெயர் 13:18 (TAMIRV) »
इब्री लोकांस 13:18 (MARIRV) »
హెబ్రీ పత్రిక 13:18 (TELIRV) »
હિબ્રૂઓને 13:18 (GUJIRV) »
ಇಬ್ರಿಯರಿಗೆ 13:18 (KANIRV) »
عِبرانِيّين 13:18 (AVD) »
האגרת אל העברים 13:18 (HEB) »
Hebreus 13:18 (BSL) »
Hê-bơ-rơ 13:18 (VIE) »
Hebreos 13:18 (RVA) »
Ebrei 13:18 (RIV) »
希 伯 来 书 13:18 (CUVS) »
希 伯 來 書 13:18 (CUVT) »
Hebrenjve 13:18 (ALB) »
Hebreerbrevet 13:18 (SV1917) »
Евреям 13:18 (RUSV) »
євреїв 13:18 (UKR) »
Zsidók 13:18 (KAR) »
Евреи 13:18 (BULG) »
ヘブル人への手紙 13:18 (JPN) »
Hebreerne 13:18 (NORSK) »
Hebrajczyków 13:18 (POLUBG) »
Cibraaniyada 13:18 (SOM) »
Hebreeën 13:18 (NLD) »
Hebræerne 13:18 (DA1871) »
Wahebrania 13 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »