Isaya Chapter 64 Verse 6 SWHULB
Isaya 64:6 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Isaya 64:6 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Isaya 64:6 SWHULB
Maana sote tumekuwa kama mmoja aliye na unajisi, na matendo yetu ya haki yamekuwa kama hedhi kali. Sote tumenyauka kama majani; maovu yetu, ni kama upepo, unaotupeperusha sisi mbali.
View New TabSocial Share Icons
Isaya 64:6 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Isaya 64:6 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Isaya 64:6 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Warumi 7:18 (SWHULB) »
Kwa maana najua ya kuwa ndani yangu, yaani ndani ya mwili wangu, halikai jambo jema. Kwa kuwa tamaa ya lililo jema imo ndani yangu, lakini silitendi.
Ufunuo 3:17 (SWHULB) »
Kwa kuwa unasema, “Mimi ni tajiri, nimekuwa na mali nyingi, na sihitaji chochote.” Lakini hujui kwamba wewe ni duni sana, wakuhuzunikiwa, maskini, kipofu na uchi.
Ayubu 42:5 (SWHULB) »
Nimekuwa nikikusikia kwa usikivu wa sikio langu, lakini sasa jicho langu linakuona wewe.
Tito 3:3 (SWHULB) »
Kwa kuwa sisi pia tulikuwa na mawazo potofu na wakaidi. Tulikuwa upotevuni na tulifanywa watumwa kwa tamaa nyingi na starehe. Tuliishi katika wivu na uovu. Tulichukiza na kuchukiana.
Ayubu 25:4 (SWHULB) »
Jinsi gani basi mtu awe mwenye haki kama Mungu? Jinsi gani aliyezaliwa na mwanamke awe safi, amekubaliwa naye?
Ayubu 14:4 (SWHULB) »
Ni nani anayeweza kukileta kitu safi kutoka katika kitu kichafu? Hakuna awaye yote.
Isaya 53:6 (SWHULB) »
Sisi ni kama kondoo tumepotoka; kila mmoja amejeuka katika njia yake, na Yahwe amemueka juu yake maovu kwetu sisi sote.
Wafilipi 3:9 (SWHULB) »
na nionekane ndani yake. Sina haki yangu binafisi kutoka katika sheria, bali ninayo haki ile ipatikanayo kwa imani katika Kristo, itokayo kwa Mungu, yenye msingi katika imani.
Ayubu 15:14 (SWHULB) »
Je, mwanadamu yeye ni nini kwamba yeye anapaswa kuwa safi? Yeye mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ni nini kwamba yeye anapaswa awe mwenye haki?
Available Bible Translations
Isaiah 64:6 (ASV) »
Isaiah 64:6 (KJV) »
Isaiah 64:6 (GW) »
Isaiah 64:6 (BSB) »
Isaiah 64:6 (WEB) »
Ésaïe 64:6 (LSG) »
Jesaja 64:6 (LUTH1912) »
यशायाह 64:6 (HINIRV) »
ਯਸਾਯਾਹ 64:6 (PANIRV) »
যিচয়া 64:6 (BENIRV) »
ஏசாயா 64:6 (TAMIRV) »
यशया 64:6 (MARIRV) »
యెషయా 64:6 (TELIRV) »
યશાયા 64:6 (GUJIRV) »
ಯೆಶಾಯನು 64:6 (KANIRV) »
إِشَعْيَاءَ 64:6 (AVD) »
ישעיה 64:6 (HEB) »
Isaías 64:6 (BSL) »
I-sai-a 64:6 (VIE) »
Isaías 64:6 (RVA) »
Isaia 64:6 (RIV) »
以 赛 亚 书 64:6 (CUVS) »
以 賽 亞 書 64:6 (CUVT) »
Isaia 64:6 (ALB) »
Jesaja 64:6 (SV1917) »
Исаия 64:6 (RUSV) »
Ісая 64:6 (UKR) »
Ézsaiás 64:6 (KAR) »
Исая 64:6 (BULG) »
イザヤ書 64:6 (JPN) »
Jesaja 64:6 (NORSK) »
Izajasza 64:6 (POLUBG) »
Ishacyaah 64:6 (SOM) »
Jesaja 64:6 (NLD) »
Esajas 64:6 (DA1871) »
Isaya 64 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »