Ayubu Chapter 16 Verse 9 SWHULB
Ayubu 16:9 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Ayubu 16:9 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Ayubu 16:9 SWHULB
Mungu amenirarua mimi katika ghadhabu yake na amenitesa mimi; Yeye amenisaga mimi kwa meno yake; Adui yangu amenikazia macho yake juu yangu kama yeye anavyonirarua mimi vipande.
View New TabSocial Share Icons
Ayubu 16:9 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Ayubu 16:9 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Ayubu 16:9 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Maombolezo 2:16 (SWHULB) »
Maadui zako wote walifungua vinywa vyao na kukudhihaki. Walizomea na kusaga meno na kusema, “Tumemmeza yeye! Hii ni siku tulio subiri! Tumeishi kuweza kuiona!”
Ayubu 13:24 (SWHULB) »
Kwa nini unaficha uso wako kutoka kwangu mimi na kunitendea mimi kama adui yako?
Hosea 6:1 (SWHULB) »
“Njoo, turudi kwa Bwana. Kwa maana ametuvunja vipande vipande, lakini atatuponya; ametujeruhi, lakini atatufunga majeraha yetu.
Matendo ya Mitume 7:54 (SWHULB) »
Kisha wajumbe wa baraza waliposikia mambo haya, walichomwa mioyo yao, wakamsagia meno Stefano.
Ayubu 18:4 (SWHULB) »
Wewe ambaye wajirarua mwenyewe katika hasira yako, nchi haipaswi kuachwa kwa ajili yako au miamba inapaswa kuondolewa kutoka mahali pake?
Ayubu 10:16 (SWHULB) »
Kama kichwa changu kikijiinua chenyewe, waniwinda kama simba; tena wajionyesha mwenyewe kuwa ni mwenye nguvu kwangu.
Ayubu 19:11 (SWHULB) »
Yeye pia ameiongeza ghadhabu yake dhidi yangu mimi; yeye ananihesabu mimi kama mmoja wa adui zake.
Zaburi 50:22 (SWHULB) »
Mlitilie maanani hili, ninyi mnao msahau Mungu, vinginevyo nitawakata ninyi vipande vipande, na hatakuwepo yeyote wakuja kuwasaidia!
Hosea 5:14 (SWHULB) »
Kwa hiyo nitakuwa kama simba kwa Efraimu, na kama simba kwa nyumba ya Yuda. Mimi, naam mimi, nitapotea na kwenda mbali; Nitawachukua, na hakutakuwa na mtu wa kuwaokoa.
Available Bible Translations
Job 16:9 (ASV) »
Job 16:9 (KJV) »
Job 16:9 (GW) »
Job 16:9 (BSB) »
Job 16:9 (WEB) »
Job 16:9 (LSG) »
Hiob 16:9 (LUTH1912) »
अय्यूब 16:9 (HINIRV) »
ਅੱਯੂਬ 16:9 (PANIRV) »
ইয়োব 16:9 (BENIRV) »
யோபு 16:9 (TAMIRV) »
ईयोब 16:9 (MARIRV) »
యోబు 16:9 (TELIRV) »
અયૂબ 16:9 (GUJIRV) »
ಯೋಬನು 16:9 (KANIRV) »
أَيُّوبَ 16:9 (AVD) »
איוב 16:9 (HEB) »
Jó 16:9 (BSL) »
Gióp 16:9 (VIE) »
Job 16:9 (RVA) »
Giobbe 16:9 (RIV) »
约 伯 记 16:9 (CUVS) »
約 伯 記 16:9 (CUVT) »
Jobi 16:9 (ALB) »
Job 16:9 (SV1917) »
Иов 16:9 (RUSV) »
Йов 16:9 (UKR) »
Jób 16:9 (KAR) »
Йов 16:9 (BULG) »
ヨブ記 16:9 (JPN) »
Job 16:9 (NORSK) »
Hioba 16:9 (POLUBG) »
Ayuub 16:9 (SOM) »
Job 16:9 (NLD) »
Job 16:9 (DA1871) »
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »