Yohana Chapter 8 Verse 14 SWHULB
Yohana 8:14 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Yohana 8:14 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Yohana 8:14 SWHULB
Yesu alijibu akawaambia, “Hata kama nitajishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu ni kweli. Ninajua mahali nilikotoka na kule ninakoenda, lakini ninyi hamjui mahali ninapotoka au kule ninakoenda.
View New TabSocial Share Icons
Yohana 8:14 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Yohana 8:14 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Yohana 8:14 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Yohana 16:28 (SWHULB) »
Nilitoka kwa Baba na nimekuja ulimwenguni; tena, naondoka ulimwenguni na ninaenda kwa Baba”.
Yohana 13:3 (SWHULB) »
Yesu alifahamu kuwa baba ameweka vitu vyote katika mikono yake na kwamba ametoka kwa Mungu na alikuwa anakwenda tena kwa Mungu.
Yohana 8:42 (SWHULB) »
Yesu akawaambia, “Ikiwa Mungu ni Baba yenu, mngenipenda mimi, kwa maana nimetoka kwa Mungu; wala sikuja kwa nafsi yangu, bali yeye alinituma.
Yohana 14:10 (SWHULB) »
Hamuamini kuwa mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Maneno ninayoyasema kwenu sisemi kwa kusudi langu mwenyewe; badala yake, ni Baba anayeishi ndani yangu anayetenda kazi yake.
2 Wakorintho 12:19 (SWHULB) »
Mnadhani kwa muda huu wote tumekuwa tukijitetea sisi wenyewe kwenu? Mbele za Mungu, na katika Kristo, tumekuwa tukisema kila kitu kwa ajili ya kuwaimarisha ninyi.
2 Wakorintho 11:31 (SWHULB) »
Mungu na Baba wa Bwana Yesu, yeye ambaye anatukuzwa milele, anajua kwamba mimi sidanganyi.
2 Wakorintho 12:11 (SWHULB) »
Mimi nimekuwa mpumbavu! ninyi mlinilazimisha kwa hili, kwa kuwa ningekuwa nimesifiwa na ninyi. Kwa kuwa sikuwa duni kabisa kwa hao waitwao mitume—bora, hata kama mimi si kitu.
Yohana 10:15 (SWHULB) »
Baba ananijua, nami namjua Baba, nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo.
Yohana 17:8 (SWHULB) »
kwa maneno yale uliyonipatia mimi— Nimekwisha wapatia wao maneno hayo. Waliyapokea na kweli wakajua ya kuwa mimi nimetoka kwako, na wakaamini kuwa wewe ndiye uliyenituma.
Yohana 10:36 (SWHULB) »
mnasema juu ya yule ambaye Baba alimtoa na kumtuma katika ulimwengu, 'Unakufuru,' kwa sababu nilisema, 'mimi ni Mwana wa Mungu'?
Yohana 9:29 (SWHULB) »
Tunajua kwamba Mungu alizungumza na Musa, lakini kwa huyu mtu, hatujui kule atokako.”
Available Bible Translations
John 8:14 (ASV) »
John 8:14 (KJV) »
John 8:14 (GW) »
John 8:14 (BSB) »
John 8:14 (WEB) »
Jean 8:14 (LSG) »
Johannes 8:14 (LUTH1912) »
यूहन्ना 8:14 (HINIRV) »
ਯੂਹੰਨਾ 8:14 (PANIRV) »
যোহন 8:14 (BENIRV) »
யோவான் 8:14 (TAMIRV) »
योहान 8:14 (MARIRV) »
యోహాను 8:14 (TELIRV) »
યોહાન 8:14 (GUJIRV) »
ಯೋಹಾನನು 8:14 (KANIRV) »
يوحنَّا 8:14 (AVD) »
הבשורה על־פי יוחנן 8:14 (HEB) »
João 8:14 (BSL) »
Giăng 8:14 (VIE) »
Juan 8:14 (RVA) »
Giovanni 8:14 (RIV) »
约 翰 福 音 8:14 (CUVS) »
約 翰 福 音 8:14 (CUVT) »
Gjoni 8:14 (ALB) »
Johannes 8:14 (SV1917) »
Иоанна 8:14 (RUSV) »
Івана 8:14 (UKR) »
János 8:14 (KAR) »
Йоан 8:14 (BULG) »
ヨハネによる福音書 8:14 (JPN) »
Johannes 8:14 (NORSK) »
Jana 8:14 (POLUBG) »
Yooxanaa 8:14 (SOM) »
Johannes 8:14 (NLD) »
Johannes 8:14 (DA1871) »
Yohana 8 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »