Yohana Chapter 9 Verse 22 SWHULB
Yohana 9:22 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Yohana 9:22 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Yohana 9:22 SWHULB
Wazazi wake walisema mambo haya, kwa sababu waliwaogopa Wayahudi. Kwa vile Wayahudi walikuwa wamekubaliana tayari kuwa, ikiwa yeyote atakiri kuwa Yesu ni Kristo, atatengwa na Sinagogi.
View New TabSocial Share Icons
Yohana 9:22 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Yohana 9:22 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Yohana 9:22 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Yohana 16:2 (SWHULB) »
Watawatoa nje ya masinagogi; hakika saa inakuja ambayo kila atakayewaua atafikiri kuwa anafanya kazi njema kwa ajili ya Mungu.
Luka 6:22 (SWHULB) »
Mmebarikiwa ninyi ambao watu watakapowachukia na kuwatenga na kuwashutumu ninyi kwamba ni waovu, kwa ajili ya Mwana Adamu.
Yohana 9:34 (SWHULB) »
Walijibu na kumwambia, “Ulizaliwa katika dhambi kabisa, na wewe unatufundisha sisi?” Ndipo walipomfukuza kutoka katika sinagogi.
Matendo ya Mitume 5:40 (SWHULB) »
Kisha, waliwaita mitume ndani na kuwachapa na kuwaamuru wasinene kwa jina la Yesu, na wakawaacha waende zao.
Matendo ya Mitume 5:13 (SWHULB) »
Lakini, hakuna mtu mwingine tofauti aliyekuwa na ujasiri wa kuambatana nao; hata hivyo, walipewa heshima ya juu na watu.
Matendo ya Mitume 4:18 (SWHULB) »
Waliwaita Petro na Yohana ndani na kuwaamuru kamwe wasinene wala kufundisha kwa jina la Yesu.
Wagalatia 2:11 (SWHULB) »
Wakati Kefa alipokuja Antiokia, nilimpinga waziwazi kwa sababu alikuwa amekosea.
Yohana 20:19 (SWHULB) »
Na ilipokuwa jioni, siku hiyo, siku ya kwanza ya juma, na milango ikiwa imefungwa mahali wanafunzi walipokuwapo kwa kuwahofia Wayahudi, Yesu alikuja na kusimama katikati yao na kuwaambia, “Amani iwe kwenu.”
Yohana 7:45 (SWHULB) »
Ndipo wale maofisa wakarudi kwa wakuu wa makuhani na Mafarisayo, nao wakawaambia, “Kwa nini hamjamleta?”
Zaburi 27:1 (SWHULB) »
Yahwe ni nuru yangu na wokovu wangu; nimuogope nani? Yahwe ni salama ya maisha yangu; ni mhofu nani?
Yohana 12:42 (SWHULB) »
Walakini, hata wakuu wengi walimwamini Yesu; lakini kwa sababu ya Mafarisayo, hawakukiri ili wasije wakatengwa na sinagogi.
Available Bible Translations
John 9:22 (ASV) »
John 9:22 (KJV) »
John 9:22 (GW) »
John 9:22 (BSB) »
John 9:22 (WEB) »
Jean 9:22 (LSG) »
Johannes 9:22 (LUTH1912) »
यूहन्ना 9:22 (HINIRV) »
ਯੂਹੰਨਾ 9:22 (PANIRV) »
যোহন 9:22 (BENIRV) »
யோவான் 9:22 (TAMIRV) »
योहान 9:22 (MARIRV) »
యోహాను 9:22 (TELIRV) »
યોહાન 9:22 (GUJIRV) »
ಯೋಹಾನನು 9:22 (KANIRV) »
يوحنَّا 9:22 (AVD) »
הבשורה על־פי יוחנן 9:22 (HEB) »
João 9:22 (BSL) »
Giăng 9:22 (VIE) »
Juan 9:22 (RVA) »
Giovanni 9:22 (RIV) »
约 翰 福 音 9:22 (CUVS) »
約 翰 福 音 9:22 (CUVT) »
Gjoni 9:22 (ALB) »
Johannes 9:22 (SV1917) »
Иоанна 9:22 (RUSV) »
Івана 9:22 (UKR) »
János 9:22 (KAR) »
Йоан 9:22 (BULG) »
ヨハネによる福音書 9:22 (JPN) »
Johannes 9:22 (NORSK) »
Jana 9:22 (POLUBG) »
Yooxanaa 9:22 (SOM) »
Johannes 9:22 (NLD) »
Johannes 9:22 (DA1871) »
Yohana 9 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »