Waamuzi Chapter 7 Verse 13 SWHULB
Waamuzi 7:13 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Waamuzi 7:13 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Waamuzi 7:13 SWHULB
Gideoni alipofika huko, mtu alikuwa akimwambia mwenzake ndoto. Mtu huyo akasema, “Angalia! Niliota ndoto, na nikaona mkate wa shayiri umeanguka ndani ya kambi ya Midiani. Ukaja hemani, na kuipiga kwa nguvu sana hata ikaanguka chini ikapinduka na kulala chini. '
View New TabSocial Share Icons
Waamuzi 7:13 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Waamuzi 7:13 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Waamuzi 7:13 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Waamuzi 3:15 (SWHULB) »
Wana wa Israeli walipomwomba Bwana, Bwana akamwinua mtu aliyewasaidia, Ehudi mwana wa Gera, Mbenjamini, mtu shoto. Wana wa Israeli wakamtuma kwa Egloni, mfalme wa Moabu, kwa malipo yao ya kodi.
Waamuzi 4:9 (SWHULB) »
Alisema, 'Nitakwenda nawe. Hata hivyo, njia unayoienda haitakupa heshima wewe, kwa kuwa Bwana atamuuza Sisera mkononi mwa mwanamke. Ndipo Debora akainuka, akaenda pamoja na Baraka Kedeshi.
Waamuzi 3:31 (SWHULB) »
Baada ya Ehudi, mwamuzi aliyefuata alikuwa Shamgari mwana wa Anathi ambaye aliwaua Wafilisti 600 kwa konzo la ng'ombe. Pia aliwaokoa Israeli kutoka kwenye hatari.
Waamuzi 6:15 (SWHULB) »
Gideoni akamwambia, “Tafadhali, Bwana, nawezeje kuwaokoa Israeli? Angalia, familia yangu ni dhaifu zaidi katika Manase, na mimi si muhimu katika nyumba ya baba yangu.”
Waamuzi 4:21 (SWHULB) »
Kisha Jaeli (mke wa Heberi) akachukua kigingi cha hema na nyundo mkononi mwake akamwendea kwa siri, kwa sababu alikuwa amelala usingizi mzito, naye akakitia kigingi cha hema upande wa kichwa chake akamchoma na kikapenya kushuka chini. Hivyo akafa.
Isaya 41:14 (SWHULB) »
Usiogope, Yakobo wewe mdudu, na enyi watu wa Israeli; Nitawasaidia''- hili ni tamko la Yahwe, Mkombozi wako, Mtakatifu wa Israeli.
1 Wakorintho 1:27 (SWHULB) »
Lakini Mungu alichagua vitu vijinga vya dunia ili kuviaibisha vyenye hekima. Mungu alichagua kilicho dhaifu katika dunia kukiaibisha chenye nguvu.
Available Bible Translations
Judges 7:13 (ASV) »
Judges 7:13 (KJV) »
Judges 7:13 (GW) »
Judges 7:13 (BSB) »
Judges 7:13 (WEB) »
Juges 7:13 (LSG) »
Richter 7:13 (LUTH1912) »
न्यायियों 7:13 (HINIRV) »
ਕਜ਼ਾૃ 7:13 (PANIRV) »
বিচাৰকর্তাবিলাক 7:13 (BENIRV) »
நியாயாதிபதிகள் 7:13 (TAMIRV) »
शास्ते 7:13 (MARIRV) »
న్యాయాధిపతులు 7:13 (TELIRV) »
ન્યાયાધીશો 7:13 (GUJIRV) »
ನ್ಯಾಯಸ್ಥಾಪಕರು 7:13 (KANIRV) »
اَلْقُضَاة 7:13 (AVD) »
שפטים 7:13 (HEB) »
Juízes 7:13 (BSL) »
Các Thủ Lãnh 7:13 (VIE) »
Jueces 7:13 (RVA) »
Giudici 7:13 (RIV) »
士 师 记 7:13 (CUVS) »
士 師 記 7:13 (CUVT) »
Gjyqtarët 7:13 (ALB) »
Domarboken 7:13 (SV1917) »
Книга Судей 7:13 (RUSV) »
Книга Суддів 7:13 (UKR) »
Bírák 7:13 (KAR) »
Съдии 7:13 (BULG) »
士師記 7:13 (JPN) »
Dommerne 7:13 (NORSK) »
Księga Sędziów 7:13 (POLUBG) »
Xaakinnada 7:13 (SOM) »
Richtere 7:13 (NLD) »
Dommer 7:13 (DA1871) »
Waamuzi 7 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »