Mambo ya Walawi Chapter 19 Verse 18 SWHULB
Mambo ya Walawi 19:18 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Mambo ya Walawi 19:18 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Mambo ya Walawi 19:18 SWHULB
Usijilipize kisasi au kuwa na chuki yoyote dhidi ya mtu yeyote wa watu wako, lakini badala yake mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe. Mimi ndimi Yahweh.
View New TabSocial Share Icons
Mambo ya Walawi 19:18 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Mambo ya Walawi 19:18 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Mambo ya Walawi 19:18 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Warumi 13:9 (SWHULB) »
Kwa kuwa, “Hautazini, hautaua, hautaiba, hautatamani,” na kama kuna amri nyingine pia, imejumlishwa katika sentensi hii: “Utampenda jirani yako kama wewe mwenyewe.”
Luka 10:27 (SWHULB) »
Akajibu akasema, “Utampenda Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote, na jirani yako kama nafsi yako mwenyewe.”
Marko 12:31 (SWHULB) »
Amri ya pili ni hii, 'Lazima umpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.' Hakuna amri nyingine kuu zaidi ya hizi.”
Mathayo 22:39 (SWHULB) »
Na ya pili inafanana na hiyo- Ni lazima kumpenda jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.
Wagalatia 5:14 (SWHULB) »
Kwa kuwa sheria yote imekamilika katika amri moja; nayo ni “Ni lazima umpende jirani yako kama wewe mwenyewe.”
Waraka wa Yakobo 2:8 (SWHULB) »
Hata hivyo, kama mwaitimiza ile sheria ya kifalme kama ilivyoandikwa katika maandiko, “Utampenda jirani yako kama wewe mwenyewe,” mwafanya vyema.
Warumi 12:19 (SWHULB) »
Wapenzi, msijilipizie kisasi wenyewe, lakini ipisheni ghadhabu ya Mungu. Kwa maana imeandikwa, '' 'kisasi ni changu; Mimi nitalipa,' asema Bwana.”
Mathayo 19:16 (SWHULB) »
Tazama mtu mmoja akaja kwa Yesu na kusema, “Mwalimu, ni kitu gani kizuri ninachotakiwa kufanya ili nipate kuwa na uzima wa milele?”
Mithali 20:22 (SWHULB) »
Usiseme “ Mimi nitakulipiza kwa kosa hili” Msubiri Yehova na yeye atakuokoa.
Available Bible Translations
Leviticus 19:18 (ASV) »
Leviticus 19:18 (KJV) »
Leviticus 19:18 (GW) »
Leviticus 19:18 (BSB) »
Leviticus 19:18 (WEB) »
Lévitique 19:18 (LSG) »
Levitikus 19:18 (LUTH1912) »
लैव्यव्यवस्था 19:18 (HINIRV) »
ਅਹਬਾਰ 19:18 (PANIRV) »
লেবীয়া 19:18 (BENIRV) »
லேவியராகமம் 19:18 (TAMIRV) »
लेवीय 19:18 (MARIRV) »
లేవీకాండం 19:18 (TELIRV) »
લેવીય 19:18 (GUJIRV) »
ಯಾಜಕಕಾಂಡ 19:18 (KANIRV) »
اَللَّاوِيِّينَ 19:18 (AVD) »
ויקרא 19:18 (HEB) »
Levítico 19:18 (BSL) »
Lê-vi 19:18 (VIE) »
Levítico 19:18 (RVA) »
Levitico 19:18 (RIV) »
利 未 记 19:18 (CUVS) »
利 未 記 19:18 (CUVT) »
Levitiku 19:18 (ALB) »
3 Mosebok 19:18 (SV1917) »
Левит 19:18 (RUSV) »
Левит 19:18 (UKR) »
3 Mózes 19:18 (KAR) »
Левит 19:18 (BULG) »
レビ記 19:18 (JPN) »
3 Mosebok 19:18 (NORSK) »
Kapłańska 19:18 (POLUBG) »
Laawiyiintii 19:18 (SOM) »
Leviticus 19:18 (NLD) »
3 Mosebog 19:18 (DA1871) »
Mambo ya Walawi 19 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »