Mambo ya Walawi Chapter 9 Verse 15 SWHULB
Mambo ya Walawi 9:15 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Mambo ya Walawi 9:15 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Mambo ya Walawi 9:15 SWHULB
Aroni akaleta dhabihu ya watu— mbuzi, kisha akamtoa kuwa dhabihu kwa ajili ya dhambi yao naye akamchinja, akaitoa dhabihu kwa ajili ya dhambi, kama alivyofanya kwa yule mbuzi wa kwanza.
View New TabSocial Share Icons
Mambo ya Walawi 9:15 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Mambo ya Walawi 9:15 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Mambo ya Walawi 9:15 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Mambo ya Walawi 4:27 (SWHULB) »
Kama yeyote wa watu wa kawaida akitenda dhambi bila kukusudia, kufanya vitu ambavyo Bwana ameagiza kutokufanywa na kama ana hatia,
Mambo ya Walawi 9:3 (SWHULB) »
Zungumza na watu wa Israeli na uwaambie, 'Twaeni beberu kwa ajili ya sadaka ya dhambi na ndama na mwana-kondoo, hawa wawili wawe na umri wa mwaka mmoja na bila dosari, ni kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa;
Wahebrania 5:3 (SWHULB) »
Kwa sababu ya hili, ana wajibu wa kutoa sadaka kwa ajili ya dhambi zake kama afanyavyo kwa dhambi za watu.
Wahebrania 2:17 (SWHULB) »
Kwa hiyo, ilikuwa lazima yeye awe kama ndugu zake katika njia zote, ili aweze kuwa kuhani mkuu mwenye huruma na mwaminifu kwa vitu vya Mungu, na ili kwamba awe na uwezo wa kutoa msamaha kwa dhambi za watu.
Isaya 53:10 (SWHULB) »
Lakini yalikuwa ni mapenzi ya Yahwe kumponda yeye na kumfanya yeye apone. Alipoyafanya maisha yake kuwa sadaka kwa ajili ya dhambi, ataona watoto wake, ataongeza siku zao, na mapenzi ya Yahwe yatatimizwa kupitia yeye.
2 Wakorintho 5:21 (SWHULB) »
Alimfanya Kristo kuwa sadaka kwa ajili ya dhambi zetu. Yeye ndiye ambaye hakutenda dhambi. Alifanya hivi ili tuweze kufanyika haki ya Mungu katika yeye.
Tito 2:14 (SWHULB) »
Yesu alijitoa mwenyewe kwa ajili yetu ili kutukomboa kutoka katika uasi na kutufanya wasafi, kwa ajili yake, watu maalumu walio na hamu ya kufanya kazi nzuri.
Available Bible Translations
Leviticus 9:15 (ASV) »
Leviticus 9:15 (KJV) »
Leviticus 9:15 (GW) »
Leviticus 9:15 (BSB) »
Leviticus 9:15 (WEB) »
Lévitique 9:15 (LSG) »
Levitikus 9:15 (LUTH1912) »
लैव्यव्यवस्था 9:15 (HINIRV) »
ਅਹਬਾਰ 9:15 (PANIRV) »
লেবীয়া 9:15 (BENIRV) »
லேவியராகமம் 9:15 (TAMIRV) »
लेवीय 9:15 (MARIRV) »
లేవీకాండం 9:15 (TELIRV) »
લેવીય 9:15 (GUJIRV) »
ಯಾಜಕಕಾಂಡ 9:15 (KANIRV) »
اَللَّاوِيِّينَ 9:15 (AVD) »
ויקרא 9:15 (HEB) »
Levítico 9:15 (BSL) »
Lê-vi 9:15 (VIE) »
Levítico 9:15 (RVA) »
Levitico 9:15 (RIV) »
利 未 记 9:15 (CUVS) »
利 未 記 9:15 (CUVT) »
Levitiku 9:15 (ALB) »
3 Mosebok 9:15 (SV1917) »
Левит 9:15 (RUSV) »
Левит 9:15 (UKR) »
3 Mózes 9:15 (KAR) »
Левит 9:15 (BULG) »
レビ記 9:15 (JPN) »
3 Mosebok 9:15 (NORSK) »
Kapłańska 9:15 (POLUBG) »
Laawiyiintii 9:15 (SOM) »
Leviticus 9:15 (NLD) »
3 Mosebog 9:15 (DA1871) »
Mambo ya Walawi 9 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »