Luka Chapter 10 Verse 2 SWHULB
Luka 10:2 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Luka 10:2 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Luka 10:2 SWHULB
Akawaambia, “Mavuno ni mengi, lakini wafanyakazi ni wachache. Hivyo basi muombeni Bwana wa mavuno, ili kwamba atume haraka wafanyakazi katika mavuno yake.
View New TabSocial Share Icons
Luka 10:2 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Luka 10:2 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Luka 10:2 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Mathayo 9:36 (SWHULB) »
Wakati alipotazama umati, naye aliwaonea huruma, kwa sababu walisumbuka na kuvunjika moyo. Walikuwa kama kondoo wasio na mchungaji.
Yohana 4:35 (SWHULB) »
Je, hamsemi, 'Bado miezi mitano na mavuno yatakuwa tayari?' Ninawambieni tazameni mashamba yalivyo tayari kwa mavuno!
Marko 16:15 (SWHULB) »
Akawaambia, “ Enendeni ulimwenguni mwote, na kuhubiri injili kwa viumbe vyote.
1 Wathesalonike 5:12 (SWHULB) »
Ndugu, twawaomba muwatambue wale wanaotumika miongoni mwenu na wale walio juu yenu katika Bwana na wale wanao washauri.
2 Timotheo 4:5 (SWHULB) »
Lakini wewe uwe mwaminifu katika mambo yote, vumilia magumu, fanya kazi ya mwinjilisti; timiza huduma yako.
Marko 13:34 (SWHULB) »
Ni kama mtu anayeenda safarini: akaacha nyumba yake, na kumweka mtumwa wake kuwa mtawala wa nyumba, kila mmoja na kazi yake. Na kumwamuru mlinzi kukaa macho.
2 Wathesalonike 3:1 (SWHULB) »
Na sasa, ndugu, tuombeeni, kwamba neno la Bwana liweze kuenea na kutukuzwa, kama ilivyo pia kwenu.
Matendo ya Mitume 22:21 (SWHULB) »
Lakini aliniambia, 'Enenda, kwa sababu mimi nitakutuma uende mbali kwa watu wa mataifa.”'
1 Timotheo 4:10 (SWHULB) »
Kwa kuwa ni kwa sababu hii tunataabika na kufanya kazi kwa bidii sana. Kwa kuwa tunao ujasiri katika Mungu aliye hai, ambaye ni Mwokozi wa watu wote, lakini hasa kwa waaminio.
1 Timotheo 4:15 (SWHULB) »
Uyajali mambo haya. Ishi katika hayo ili kukua kwako kuwe dhahiri kwa watu wote. Zingatia sana mwenendo wako na mafundisho.
Matendo ya Mitume 26:15 (SWHULB) »
Ndipo nikasema, 'Wewe ni nani, Bwana?' Bwana akajibu, 'Mimi ni Yesu ambaye unanitesa.
Available Bible Translations
Luke 10:2 (ASV) »
Luke 10:2 (KJV) »
Luke 10:2 (GW) »
Luke 10:2 (BSB) »
Luke 10:2 (WEB) »
Luc 10:2 (LSG) »
Lukas 10:2 (LUTH1912) »
लूका 10:2 (HINIRV) »
ਲੂਕਾ 10:2 (PANIRV) »
লূক 10:2 (BENIRV) »
லூக்கா 10:2 (TAMIRV) »
लूक 10:2 (MARIRV) »
లూకా 10:2 (TELIRV) »
લૂક 10:2 (GUJIRV) »
ಲೂಕನು 10:2 (KANIRV) »
لُوقا 10:2 (AVD) »
הבשורה על־פי לוקס 10:2 (HEB) »
Lucas 10:2 (BSL) »
Lu-ca 10:2 (VIE) »
Lucas 10:2 (RVA) »
Luca 10:2 (RIV) »
路 加 福 音 10:2 (CUVS) »
路 加 福 音 10:2 (CUVT) »
Luka 10:2 (ALB) »
Lukas 10:2 (SV1917) »
Луки 10:2 (RUSV) »
Луки 10:2 (UKR) »
Lukács 10:2 (KAR) »
Лука 10:2 (BULG) »
ルカによる福音書 10:2 (JPN) »
Lukas 10:2 (NORSK) »
Łukasza 10:2 (POLUBG) »
Luukos 10:2 (SOM) »
Lukas 10:2 (NLD) »
Lukas 10:2 (DA1871) »
Luka 10 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »