Marko Chapter 8 Verse 33 SWHULB
Marko 8:33 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Marko 8:33 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Marko 8:33 SWHULB
Lakini Yesu aligeuka na kuwatazama wanafunzi wake na akamkemea Petro na kusema, “Pita nyuma yangu Shetani! Hujali mambo ya Mungu, isipokuwa mambo ya watu.”
View New TabSocial Share Icons
Marko 8:33 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Marko 8:33 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Marko 8:33 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
1 Yohana 2:15 (SWHULB) »
Msiipende dunia wala mambo ambayo yaliyo katika dunia. Iwapo yule ataipenda dunia, upendo wa kumpenda Baba haumo ndani yake.
Mathayo 4:10 (SWHULB) »
Kisha Yesu akamwambia, “Nenda zako utoke hapa, Shetani! Kwa maana imeandikwa, 'Yakupasa kumwabudu Bwana Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake.'”
Wafilipi 3:19 (SWHULB) »
Mwisho wao ni uharibifu. Kwa kuwa Mungu wao ni tumbo, na kiburi chao kiko katika aibu yao. Wanafikiria mambo ya kidunia.
Ufunuo 3:19 (SWHULB) »
Kila nimpendaye, namwelekeza na kuwafundisha namna iwapasavyo kuishi; kwa hiyo, kuwa mkweli na kutubu.
Zaburi 141:5 (SWHULB) »
Mwenye haki na anipige; nao utakuwa ni wema kwangu. Anirudi; itakuwa kama mafuta kichwani pangu; kichwa changu na kisikatae kupokea. Lakini maombi yangu siku zote yatakuwa dhidi ya matendo yao mauvu.
Warumi 8:5 (SWHULB) »
Wale waufuatao mwili huyafikiri mambo ya mwili, lakini wale waifuatao Roho huyafikiri mambo ya Roho.
1 Wakorintho 5:5 (SWHULB) »
Nimekwisha kumkabidhi mtu huyu kwa Shetani ili kwamba mwili wake uharibiwe, ili roho yake iweze kuokolewa katika siku ya Bwana.
1 Timotheo 5:20 (SWHULB) »
Waonye wakosaji mbele ya watu wote ili wengine waliobaki labda wataogopa.
Waraka wa Yakobo 3:15 (SWHULB) »
Hii siyo hekima ile ishukayo kutoka juu, lakini badala yake ni ya kidunia, si ya kiroho, na ni ya kipepo.
1 Petro 4:1 (SWHULB) »
Kwa hiyo, kwa kuwa Kristo aliteseka katika mwili, jivikeni silaha za nia ile ile. Yeye aliyeteseka katika mwili ameondokana na dhambi.
Luka 22:61 (SWHULB) »
Akageuka, Bwana akamtazama Petro. Na Petro akalikumbuka neno la Bwana, pale alipomwambia, “Kabla ya jogoo kuwika leo, utanikana mimi mara tatu.”
Available Bible Translations
Mark 8:33 (ASV) »
Mark 8:33 (KJV) »
Mark 8:33 (GW) »
Mark 8:33 (BSB) »
Mark 8:33 (WEB) »
Marc 8:33 (LSG) »
Markus 8:33 (LUTH1912) »
मरकुस 8:33 (HINIRV) »
ਮਰਕੁਸ 8:33 (PANIRV) »
মার্ক 8:33 (BENIRV) »
மாற்கு 8:33 (TAMIRV) »
मार्क 8:33 (MARIRV) »
మార్కు 8:33 (TELIRV) »
માર્ક 8:33 (GUJIRV) »
ಮಾರ್ಕನು 8:33 (KANIRV) »
مَرْقُس 8:33 (AVD) »
הבשורה על־פי מרקוס 8:33 (HEB) »
Marcos 8:33 (BSL) »
Mác 8:33 (VIE) »
Marcos 8:33 (RVA) »
Marco 8:33 (RIV) »
马 可 福 音 8:33 (CUVS) »
馬 可 福 音 8:33 (CUVT) »
Marku 8:33 (ALB) »
Markus 8:33 (SV1917) »
Марка 8:33 (RUSV) »
Марка 8:33 (UKR) »
Márk 8:33 (KAR) »
Марко 8:33 (BULG) »
マルコによる福音書 8:33 (JPN) »
Markus 8:33 (NORSK) »
Marka 8:33 (POLUBG) »
Markos 8:33 (SOM) »
Markus 8:33 (NLD) »
Markus 8:33 (DA1871) »
Marko 8 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »