Wafilipi Chapter 1 Verse 23 SWHULB
Wafilipi 1:23 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Wafilipi 1:23 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Wafilipi 1:23 SWHULB
Maana ninasukumwa sana na mawazo haya mawili. Nina hamu ya kuuacha mwili na kuwa pamoja na Kristo, kitu ambacho ni cha thamani sana sana.
View New TabSocial Share Icons
Wafilipi 1:23 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Wafilipi 1:23 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Wafilipi 1:23 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Zaburi 17:15 (SWHULB) »
Bali mimi, nitauona uso wako katika haki; Nitashuhudiwa, pale nitakapo amka, na macho yako.
Matendo ya Mitume 7:59 (SWHULB) »
Walipokuwa wakimpiga mawe Stefano, aliendelea kumwita Bwana na kusema, “Bwana Yesu, pokea roho yangu,”.
Ufunuo 7:14 (SWHULB) »
Nikamwambia, “Bwana mkubwa, unajua wewe,” na akaniambia, “Hawa ni wale waliotoka katika dhiki kuu. Wamezifua kanzu zao na kuzifanya nyeupe kwa damu ya Mwanakondoo.
Yohana 17:24 (SWHULB) »
Baba, kile ulichonipa mimi - Natamani kwamba wao pia waweze kuwa pamoja nami mahali nilipo ili waweze kuona utukufu wangu, ule ulionipa: kwa kuwa wewe ulinipenda mimi kabla ya kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu.
2 Timotheo 4:6 (SWHULB) »
Kwa maana mimi tayari nimekwisha kumiminwa. Muda wa kuondoka kwangu umewadia.
Ufunuo 14:13 (SWHULB) »
Nilisikia sauti kutoka mbinguni ikisema, “Andika haya: Heri wafu wafao katika Bwana.” “Ndiyo,” asema Roho, “ili waweze kupumzika kutoka kwenye kazi zao, maana matendo yao yatawafuata.”
Zaburi 49:15 (SWHULB) »
Bali Mungu ataufufua uhai wangu kutoka katika nguvu ya kuzimu; naye atanipokea. Selah
Yohana 12:26 (SWHULB) »
Mtu yeyote akinitumikia mimi, na anifuate; nami nilipo, ndipo na mtumishi wangu atakapokuwapo. Mtu yeyote akinitumikia, Baba atamheshimu.
Wakolosai 1:7 (SWHULB) »
Hii ndiyo injili mliyojifunza kutoka kwa Epafra, mpendwa wetu mtumishi mwenzetu, ambaye ni mtumishi mwaminifu wa Kristo kwa niaba yetu.
1 Wathesalonike 4:17 (SWHULB) »
Kisha sisi tulio hai, tuliobaki, tutaungana katika mawingu pamoja nao kumlaki Bwana hewani. Kwa njia hii tutakuwa na Bwana siku zote.
Available Bible Translations
Philippians 1:23 (ASV) »
Philippians 1:23 (KJV) »
Philippians 1:23 (GW) »
Philippians 1:23 (BSB) »
Philippians 1:23 (WEB) »
Philippiens 1:23 (LSG) »
Philipper 1:23 (LUTH1912) »
फिलिप्पियों 1:23 (HINIRV) »
ਫਿਲਿੱਪੀਆਂ 1:23 (PANIRV) »
ফিলিপীয়া 1:23 (BENIRV) »
பிலிப்பியர் 1:23 (TAMIRV) »
फिलिप्पैकरांस 1:23 (MARIRV) »
ఫిలిప్పీ పత్రిక 1:23 (TELIRV) »
ફિલિપ્પીઓને 1:23 (GUJIRV) »
ಫಿಲಿಪ್ಪಿಯವರಿಗೆ 1:23 (KANIRV) »
فِيلِبِّي 1:23 (AVD) »
אגרת שאול אל הפיליפים 1:23 (HEB) »
Filipenses 1:23 (BSL) »
Phi-líp 1:23 (VIE) »
Filipenses 1:23 (RVA) »
Filippesi 1:23 (RIV) »
腓 立 比 书 1:23 (CUVS) »
腓 立 比 書 1:23 (CUVT) »
Filipianëve 1:23 (ALB) »
Filipperbrevet 1:23 (SV1917) »
Филиппийцам 1:23 (RUSV) »
филип'ян 1:23 (UKR) »
Filippi 1:23 (KAR) »
Филипяни 1:23 (BULG) »
ピリピ人への手紙 1:23 (JPN) »
Filipperne 1:23 (NORSK) »
Filipian 1:23 (POLUBG) »
Filiboy 1:23 (SOM) »
Filippenzen 1:23 (NLD) »
Filipperne 1:23 (DA1871) »
Wafilipi 1 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »