Mithali Chapter 22 Verse 16 SWHULB
Mithali 22:16 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Mithali 22:16 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Mithali 22:16 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Mithali 22:16 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Waraka wa Yakobo 2:13 (SWHULB) »
Kwa kuwa hukumu huja pasipo huruma kwa wale wasio na huruma. Huruma hujitukuza juu ya hukumu.
Zaburi 12:5 (SWHULB) »
“Kwa sababu ya vurugu zilizopo kinyume na maskini, na kwa sababu ya kuugua kwao wahitaji, Nitainuka,” asema Yahwe. “Nitawaletea usalama wanao hitaji.”
Waraka wa Yakobo 5:1 (SWHULB) »
Njoni sasa, enyi mlio matajiri, lieni kwa sauti ya juu kwa sababu ya taabu inayokuja juu yenu.
Luka 14:12 (SWHULB) »
Yesu pia alimwambia mtu aliyemwalika, 'Unapotoa chakula cha mchana au cha jioni, usiwaalike rafiki zako au ndugu zako au jamaa zako au majirani zako matajiri, ili kwamba wao wasije wakakualika wewe ukapata malipo.
Luka 6:33 (SWHULB) »
Kama mkiwatendea mema wale wanaowatendea ninyi mema, hiyo ni thawabu gani kwenu? Kwa maana hata wenye dhambi hufanya vivyo hivyo.
Mithali 14:31 (SWHULB) »
Anayemkandamiza masikini humlaani Muumba wake, bali anayeonyesha fadhila kwa wahitaji humtukuza yeye.
Luka 16:24 (SWHULB) »
Akalia akasema, 'Baba Ibrahimu, nihurumue umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake majini, auburudishe ulimi wangu; kwa sababu ninateswa katika moto huu.
Zekaria 7:9 (SWHULB) »
“Yahwe wa majeshi asema hivi, 'Hukumuni kwa haki, uaminifu wa agano, na rehema. Kila mtu na amtendee hivi ndugu yake.
Mika 2:2 (SWHULB) »
Wanatamani mashamba na kuyapunguza; wanazitamani nyumba na kuzichukua. Wanadhulumu mtu na nyumba yake, mtu na urithi wake.
Mithali 28:22 (SWHULB) »
Mtu mchoyo huharakisha kwenye utajiri, lakini hajui ni umasikini gani utakuja juu yake.
Mithali 28:3 (SWHULB) »
Mtu masikini mwenye kukandamiza watu wengine masikini ni kama mvua inayopiga ambayo haisazi chakula.
Available Bible Translations
Proverbs 22:16 (ASV) »
Proverbs 22:16 (KJV) »
Proverbs 22:16 (GW) »
Proverbs 22:16 (BSB) »
Proverbs 22:16 (WEB) »
Proverbes 22:16 (LSG) »
Sprüche 22:16 (LUTH1912) »
नीतिवचन 22:16 (HINIRV) »
ਕਹਾਉਤਾਂ 22:16 (PANIRV) »
হিতোপদেশ 22:16 (BENIRV) »
நீதிமொழிகள் 22:16 (TAMIRV) »
नीतिसूत्रे 22:16 (MARIRV) »
సామెత 22:16 (TELIRV) »
નીતિવચનો 22:16 (GUJIRV) »
ಜ್ಞಾನೋಕ್ತಿಗಳು 22:16 (KANIRV) »
أَمْثَالٌ 22:16 (AVD) »
משלי 22:16 (HEB) »
Provérbios 22:16 (BSL) »
Châm Ngôn 22:16 (VIE) »
Proverbios 22:16 (RVA) »
Proverbi 22:16 (RIV) »
箴 言 22:16 (CUVS) »
箴 言 22:16 (CUVT) »
Fjalët e urta 22:16 (ALB) »
Ordspråksboken 22:16 (SV1917) »
Притчи 22:16 (RUSV) »
Екклезіяст 22:16 (UKR) »
Példabeszédek 22:16 (KAR) »
Притчи 22:16 (BULG) »
箴言 22:16 (JPN) »
Salomos Ordspråk 22:16 (NORSK) »
Przysłów 22:16 (POLUBG) »
Maahmaahyadii 22:16 (SOM) »
Spreuken 22:16 (NLD) »
Ordsprogene 22:16 (DA1871) »
Mithali 22 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »