Mithali Chapter 4 Verse 18 SWHULB
Mithali 4:18 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Mithali 4:18 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Mithali 4:18 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Mithali 4:18 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Yohana 8:12 (SWHULB) »
Tena Yesu akazungumza na watu akisema, “Mimi ni nuru ya ulimwengu; yeye anifuataye hatatembea gizani bali atakuwa na nuru ya uzima.”
Ayubu 11:17 (SWHULB) »
Maisha yako yangekuwa angavu kuliko adhuhuri; japokuwa kulikuwa na giza, litakuwa kama asubuhi.
Danieli 12:3 (SWHULB) »
Wale wenye hekima watang'ara kama mng'ao wa anga la juu, na wale wenye kuwaelekeza wengine katika haki, watakuwa kama nyota milele na milele.
2 Wakorintho 3:18 (SWHULB) »
Sasa sisi sote, pamoja na nyuso zisizo wekewa utaji, huona utukufu wa Bwana. Tunabadilishwa ndani ya muonekano uleule wa utukufu kutoka shahada moja ya utukufu kwenda nyingine, kama ilivyo kutoka kwa Bwana, ambaye ni Roho.
Wafilipi 2:15 (SWHULB) »
Fanyeni hivyo ili kwamba msilaumike na kuwa watoto wa Mungu waaminifu wasiyo na lawama. Fanyeni hivyo ili kwamba muwe nuru ya dunia, katika kizazi cha uasi na uovu.
2 Petro 1:19 (SWHULB) »
Tunalo hili neno la unabii lililothibitika, ambalo kwalo mwafanya vyema kulitekeleza. Ni kama taa ing'aayo gizani mpaka kuchapo na nyota za mawio zionekanazo katika mioyo yenu.
Zaburi 84:7 (SWHULB) »
Huendelea toka nguvu hadi nguvu; kila mmoja wao katika sayuni huonekana mbele ya Mungu.
2 Samweli 23:4 (SWHULB) »
Atakuwa kama nuru ya asubuhi jua linapochomoza, asubuhi isiyo na mawingu, wakati mche mwororo unapochipua kutoka ardhini kupitia mwangaza wa mng'ao wa jua baada ya mvua.
Mathayo 5:16 (SWHULB) »
Acha nuru yenu iangaze mbele za watu kwa namna ambayo kwamba, wayaone matendo yenu mema na kumtukuza Baba yenu aliye mbinguni.
Isaya 26:7 (SWHULB) »
Mapito ya mwenye haki yamenyooka, Wenye haki; mapito ya wenye haki umeyanyoosha.
Ufunuo 21:23 (SWHULB) »
Mji haukuhitaji jua au mwezi ili kungaza juu yake kwa sababu utukufu wa Mungu uliangaza juu yake, na taa yake ni Mwana Kondoo.
Available Bible Translations
Proverbs 4:18 (ASV) »
Proverbs 4:18 (KJV) »
Proverbs 4:18 (GW) »
Proverbs 4:18 (BSB) »
Proverbs 4:18 (WEB) »
Proverbes 4:18 (LSG) »
Sprüche 4:18 (LUTH1912) »
नीतिवचन 4:18 (HINIRV) »
ਕਹਾਉਤਾਂ 4:18 (PANIRV) »
হিতোপদেশ 4:18 (BENIRV) »
நீதிமொழிகள் 4:18 (TAMIRV) »
नीतिसूत्रे 4:18 (MARIRV) »
సామెత 4:18 (TELIRV) »
નીતિવચનો 4:18 (GUJIRV) »
ಜ್ಞಾನೋಕ್ತಿಗಳು 4:18 (KANIRV) »
أَمْثَالٌ 4:18 (AVD) »
משלי 4:18 (HEB) »
Provérbios 4:18 (BSL) »
Châm Ngôn 4:18 (VIE) »
Proverbios 4:18 (RVA) »
Proverbi 4:18 (RIV) »
箴 言 4:18 (CUVS) »
箴 言 4:18 (CUVT) »
Fjalët e urta 4:18 (ALB) »
Ordspråksboken 4:18 (SV1917) »
Притчи 4:18 (RUSV) »
Екклезіяст 4:18 (UKR) »
Példabeszédek 4:18 (KAR) »
Притчи 4:18 (BULG) »
箴言 4:18 (JPN) »
Salomos Ordspråk 4:18 (NORSK) »
Przysłów 4:18 (POLUBG) »
Maahmaahyadii 4:18 (SOM) »
Spreuken 4:18 (NLD) »
Ordsprogene 4:18 (DA1871) »
Mithali 4 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »