Ufunuo Chapter 12 Verse 9 SWHULB
Ufunuo 12:9 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Ufunuo 12:9 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Ufunuo 12:9 SWHULB
Joka mkubwa—yule nyoka wa zamani aitwaye ibilisi au Shetani ambaye hudanganya - dunia nzima akatupwa chini katika dunia, na malaika zake wakatupwa chini pamoja naye.
View New TabSocial Share Icons
Ufunuo 12:9 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Ufunuo 12:9 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Ufunuo 12:9 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Isaya 14:12 (SWHULB) »
Kwa jinsi gani ulivyoanguka kutoka mbinguni, nyota ya siku, jua la asubuhi! ni kwa jinsi gani mlivyoshushwa chini, umeyashinda mataifa!
Ufunuo 20:10 (SWHULB) »
Shetani, ambaye aliwadanganya, alitupwa ndani ya ziwa liwakalo kiberiti, ambamo mnyama na nabii wa uongo walikuwa wameshatupwa. Watateswa mchana na usiku milele na milele.
2 Wakorintho 4:4 (SWHULB) »
Katika uchaguzi wao, mungu wa ulimwengu huu amewapofusha fahamu zao zisizoamini. Matokeo yake, hawawezi kuona nuru ya injili ya utukufu wa Kristo, ambaye ni mfano wa Mungu.
1 Yohana 5:19 (SWHULB) »
Tunajua kuwa sisi ni wa Mungu na tunajua kwamba ulimwengu wote uko chini ya utawala wa yule mwovu.
Ufunuo 20:2 (SWHULB) »
Alimshika yule joka, nyoka wa zamani, ambaye ni ibilisi au Shetani, na kumfunga miaka elfu.
Mwanzo 3:1 (SWHULB) »
Sasa nyoka alikuwa mwerevu kuliko myama mwingine yeyote wa kondeni ambaye Yahwe Mungu alikuwa amemuumba. Akamwambia mwanamke, “Je ni kweli Mungu amesema, 'Msile matunda kutoka kwenye mti wowote bustanini'?”
Ayubu 2:1 (SWHULB) »
Kisha kulikuwa na siku wana wa Mungu walipokwenda kujihudhurisha mbele za BWANA. Shetani pia alikwenda kati yao kujihudhulisha mbele za BWANA.
Yohana 8:44 (SWHULB) »
Ninyi ni wa baba yenu, shetani, na mnataka kuzitenda tamaa za baba yenu. Alikuwa mwuaji tangu mwanzo na hawezi kusimama katika kweli kwa sababu kweli haimo ndani yake. Anapoongea uongo, anaongea kutoka kwenye asili yake kwa sababu ni mwongo na baba wa uongo.
2 Wathesalonike 2:9 (SWHULB) »
Ujio wa yule mwenye kuasi utakuwa kwa sababu ya kazi ya shetani kwa nguvu zote, ishara na maajabu ya uongo,
Available Bible Translations
Revelation 12:9 (ASV) »
Revelation 12:9 (KJV) »
Revelation 12:9 (GW) »
Revelation 12:9 (BSB) »
Revelation 12:9 (WEB) »
Apocalypse 12:9 (LSG) »
Offenbarung 12:9 (LUTH1912) »
प्रकाशितवाक्य 12:9 (HINIRV) »
ਪਰਕਾਸ਼ ਦੀ ਪੋਥੀ 12:9 (PANIRV) »
पপ্রত্যাদেশ 12:9 (BENIRV) »
வெளிப்படுத்தின விசேஷம் 12:9 (TAMIRV) »
प्रकटीकरण 12:9 (MARIRV) »
ప్రకటన గ్రంథం 12:9 (TELIRV) »
પ્રકટીકરણ 12:9 (GUJIRV) »
ಪ್ರಕಟಣೆ 12:9 (KANIRV) »
رُؤيا 12:9 (AVD) »
ההתגלות 12:9 (HEB) »
Apocalipse 12:9 (BSL) »
Khải Huyền 12:9 (VIE) »
Apocalipsis 12:9 (RVA) »
Apocalisse 12:9 (RIV) »
启 示 录 12:9 (CUVS) »
启 示 录 12:9 (CUVT) »
Zbulesa 12:9 (ALB) »
Uppenbarelseboken 12:9 (SV1917) »
Откровение 12:9 (RUSV) »
Об'явлення 12:9 (UKR) »
Jelenések 12:9 (KAR) »
Откровение 12:9 (BULG) »
ヨハネの黙示録 12:9 (JPN) »
Åpenbaringen 12:9 (NORSK) »
Objawienie 12:9 (POLUBG) »
Muujintii 12:9 (SOM) »
Openbaring 12:9 (NLD) »
Aabenbaringen 12:9 (DA1871) »
Ufunuo 12 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »