Warumi Chapter 8 Verse 38 SWHULB
Warumi 8:38 SWHULB Bible Verse Picture Image
Inspirational bible verses with beautiful images and backgrounds. Download Warumi 8:38 SWHULB Bible verse images and share with your friends and family on social media. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
Warumi 8:38 SWHULB
Kwa maana nimekwisha kushawishika kwamba wala mauti, wala uzima, wala malaika, wala mamlaka, wala vitu vilivyopo, wala vitu vijavyo, wala nguvu,
View New TabSocial Share Icons
Warumi 8:38 SWHULB Bible verse pictures with quotes are generated using nature backgrounds and scenic photos.
Warumi 8:38 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Warumi 8:38 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Yohana 10:28 (SWHULB) »
Nimewapa uzima wa milele; hawataangamia kamwe, na hakuna hata mmoja atakayewanyakuwa kutoka mkononi mwangu.
2 Timotheo 1:12 (SWHULB) »
Kwa sababu hii nateseka pia, lakini sioni haya kwa kuwa namjua yeye niliyekwisha kumuamini. Nina hakika kuwa yeye anaweza kukitunza kile nilichokikabidhi kwake hata siku ile.
Warumi 14:8 (SWHULB) »
Kwa kuwa ikiwa tunaishi, tunaishi kwa ajili ya Bwana. Na ikiwa tunakufa, tunakufa kwa ajili ya Bwana. Basi ikiwa tunaishi au tunakufa tu mali ya Bwana.
Wakolosai 1:16 (SWHULB) »
Kwakuwa kwa yeye vitu vyote viliumbwa, vile vilivyoko mbinguni na vilivyoko duniani, vitu vinavyoonekana na visivyoonekana. ikiwa ni vya enzi au mamlaka au utawala au wenye nguvu, vitu vyote viliumbwa na yeye na kwa ajili yake.
1 Petro 3:22 (SWHULB) »
Yeye yuko mkono wa kuume wa Mungu. Alikwenda mbinguni. Malaika, mamlaka, na nguvu lazima vimtii yeye.
Waefeso 1:21 (SWHULB) »
Alimketisha Kristo juu mbali na utawala, mamlaka, nguvu, enzi, na kila jina litajwalo. Alimketisha Yesu si tu kwa wakati huu lakini kwa wakati ujao pia.
1 Petro 5:8 (SWHULB) »
Iweni na busara, iweni waangalifu. Yule adui yenu, ibilisi, kama simba aungurumaye ananyatia, akisaka mtu wa kumrarua.
Warumi 4:21 (SWHULB) »
Alikuwa akijua hakika ya kuwa kile ambacho Mungu ameahidi, alikuwa pia na uwezo wa kukikamilisha.
Wakolosai 2:15 (SWHULB) »
Aliziondoa nguvu na mamlaka. Aliyaweka wazi na kuyafanya kuwa sherehe ya ushidi kwa njia ya msalaba wake.
1 Wakorintho 15:54 (SWHULB) »
Lakini wakati huu wa kuharibika ukivikwa wa kutokuharibika, na huu wa kufa ukivaa wa kutokufa, ndipo utakuja msemo ambao umeandikwa, “Kifo kimemezwa katika ushindi.”
2 Wakorintho 4:13 (SWHULB) »
Lakini tuna roho ileile ya imani kulingana na kile kilicho andikwa: “Niliamini, na hivyo nilinena.” Sisi pia tunaamini, na hivyo pia tunanena.
Waefeso 6:11 (SWHULB) »
Vaeni silaha zote za Mungu, ili kwamba mpate kusimama kinyume na hila za shetani.
Available Bible Translations
Romans 8:38 (ASV) »
Romans 8:38 (KJV) »
Romans 8:38 (GW) »
Romans 8:38 (BSB) »
Romans 8:38 (WEB) »
Romains 8:38 (LSG) »
Römer 8:38 (LUTH1912) »
रोमियों 8:38 (HINIRV) »
ਰੋਮੀਆਂ 8:38 (PANIRV) »
ৰোমীয়া 8:38 (BENIRV) »
ரோமர் 8:38 (TAMIRV) »
रोमकरांस 8:38 (MARIRV) »
రోమీయులకు 8:38 (TELIRV) »
રોમનોને 8:38 (GUJIRV) »
ರೋಮಾಪುರದವರಿಗೆ 8:38 (KANIRV) »
رُومِيَةَ 8:38 (AVD) »
אגרת שאול אל הרומים 8:38 (HEB) »
Romanos 8:38 (BSL) »
Rô-ma 8:38 (VIE) »
Romanos 8:38 (RVA) »
Romani 8:38 (RIV) »
罗 马 书 8:38 (CUVS) »
羅 馬 書 8:38 (CUVT) »
Romakëve 8:38 (ALB) »
Romarbrevet 8:38 (SV1917) »
Римлянам 8:38 (RUSV) »
римлян 8:38 (UKR) »
Róma 8:38 (KAR) »
Римляни 8:38 (BULG) »
ローマ人への手紙 8:38 (JPN) »
Romerne 8:38 (NORSK) »
Rzymian 8:38 (POLUBG) »
Rooma 8:38 (SOM) »
Romeinen 8:38 (NLD) »
Romerne 8:38 (DA1871) »
Warumi 8 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »