1 Yohana 2:18 SWHULB Desktop Background Pictures

Christian Desktop Wallpapers with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download 1 Yohana 2:18 SWHULB computer desktop wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

1 Yohana 2:18 SWHULB Desktop Wallpaper - Watoto wadogo, ni wakati wa mwisho. Kama ambavyo - Desktop Bible Verse Wallpaper

1 Yohana 2:18 SWHULB

Watoto wadogo, ni wakati wa mwisho. Kama ambavyo mmesikia kwamba mpinga kristo anakuja, hata sasa wapinga kristo wamekuja, kwa hali hii tunajua kwamba ni wakati wa mwisho.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

1 Yohana 2:18 SWHULB desktop wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

1 Yohana 2:18 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to 1 Yohana 2:18 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

1 Yohana 4:3 SWHULB Bible Verse Image
1 Yohana 4:3 (SWHULB) »
na kila roho isiyomkiri Yesu si ya Mungu. Hii ni roho ya mpinga kristo, ambayo mliyoisikia kuwa inakuja, na sasa tayari iko duniani.

2 Yohana 1:7 SWHULB Bible Verse Image
2 Yohana 1:7 (SWHULB) »
Kwa kuwa wadanganyifu wengi wamesambaa katika ulimwengu, na hawakiri kwamba Yesu Kristo alikuja katika mwili. Huyu ndiye mdanganyifu na mpinga Kristo.

1 Yohana 2:22 SWHULB Bible Verse Image
1 Yohana 2:22 (SWHULB) »
Nani ni mwongo bali ni yeye anayepinga kwamba Yesu ni Kristo? Huyu mtu ni mpinga kristo, pale anapo mpinga Baba na Mwana.

Mathayo 24:24 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 24:24 (SWHULB) »
Kwa kuwa Makristo wa uongo na manabii wa uongo watakuja na kuonesha ishara kubwa na maajabu, kwa kusudi la kupotosha, kama ingewezekana hata na wateule.

Mathayo 24:5 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 24:5 (SWHULB) »
Kwa kuwa wengi watakuja kwa jina langu. Watasema, 'Mimi ndiye Kristo', na watawapotosha wengi.

1 Yohana 4:1 SWHULB Bible Verse Image
1 Yohana 4:1 (SWHULB) »
Wapendwa, msiiamini kila roho, lakini zijaribuni roho muone kama zinatokana na Mungu, kwa sababu manabii wengi wa uongo wametokea duniani.

2 Timotheo 3:1 SWHULB Bible Verse Image
2 Timotheo 3:1 (SWHULB) »
Lakini fahamu hili: katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati ngumu.

2 Timotheo 4:3 SWHULB Bible Verse Image
2 Timotheo 4:3 (SWHULB) »
Kwa maana wakati utakuja ambao watu hawatachukuliana na mafundisho ya kweli. Badala yake, watajitafutia walimu wa kufundisha kulingana na tamaa zao. kwa njia hii masikio yao yatakuwa yametekenywa.

1 Timotheo 4:1 SWHULB Bible Verse Image
1 Timotheo 4:1 (SWHULB) »
Sasa Roho anasema waziwazi kwamba katika nyakati zijazo baadhi ya watu wataiacha imani na kuwa makini kusikiliza roho zidanganyazo na mafundisho ya kipepo yatakayofundishwa

Marko 13:21 SWHULB Bible Verse Image
Marko 13:21 (SWHULB) »
Wakati huo kama mtu yeyote atawaambia, Tazama, Kristo yuko hapa!' au 'Tazama, yuko pale!' msiamini.

Marko 13:6 SWHULB Bible Verse Image
Marko 13:6 (SWHULB) »
Wengi watakuja kwa jina langu wakisema, 'Mimi ndiye', na watawapotosha wengi.

Yuda 1:18 SWHULB Bible Verse Image
Yuda 1:18 (SWHULB) »
Walisema kwenu, “Katika wakati wa mwisho kutakuwa na watu wanaodhihaki ambao hufuata tamaa zao zisizo za kitauwa.”

Available Bible Translations

American Standard Version
1 John 2:18 (ASV) »
King James Version
1 John 2:18 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
1 John 2:18 (GW) »
World English Bible
1 John 2:18 (WEB) »
Louis Segond 1910
1 Jean 2:18 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
1 यूहन्ना 2:18 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
1 ਯੂਹੰਨਾ 2:18 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
1 যোহনের 2:18 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
1 யோவான் 2:18 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
1 योहान 2:18 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
1 యోహాను పత్రిక 2:18 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
1 યોહાનનો 2:18 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
1 ಯೋಹಾನನು 2:18 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
١ يوحنَّا 2:18 (AVD) »
Bíblia Sagrada Português
1 João 2:18 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
1 Giăng 2:18 (VIE) »
Reina Valera Antigua
1 Juan 2:18 (RVA) »
圣 经 简体中文和合本
约 翰 一 书 2:18 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
約 翰 一 書 2:18 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
1 Gjonit 2:18 (ALB) »
Библия на русском
1 Иоанна 2:18 (RUSV) »
Українська Біблія
1 Івана 2:18 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
1 János 2:18 (KAR) »
Българска Библия
1 Йоаново 2:18 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
1 Yooxanaa 2:18 (SOM) »
De Heilige Schrift
1 Johannes 2:18 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »