1 Wathesalonike 2:1 SWHULB Desktop Background Pictures

Christian Desktop Wallpapers with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download 1 Wathesalonike 2:1 SWHULB computer desktop wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

1 Wathesalonike 2:1 SWHULB Desktop Wallpaper - Kwa kuwa ninyi wenyewe mnajua, ndugu, kuwa ujio - Desktop Bible Verse Wallpaper

1 Wathesalonike 2:1 SWHULB

Kwa kuwa ninyi wenyewe mnajua, ndugu, kuwa ujio wetu kwenu haukuwa wa bure.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

1 Wathesalonike 2:1 SWHULB desktop wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

1 Wathesalonike 2:1 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to 1 Wathesalonike 2:1 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

2 Wathesalonike 3:1 SWHULB Bible Verse Image
2 Wathesalonike 3:1 (SWHULB) »
Na sasa, ndugu, tuombeeni, kwamba neno la Bwana liweze kuenea na kutukuzwa, kama ilivyo pia kwenu.

1 Wakorintho 15:58 SWHULB Bible Verse Image
1 Wakorintho 15:58 (SWHULB) »
Kwa hiyo, wapendwa kaka na dada zangu, iweni imara na msitikisike. Daima itendeni kazi ya Bwana, kwa sababu mnajua kuwa kazi yenu katika Bwana siyo bure.

Wafilipi 2:16 SWHULB Bible Verse Image
Wafilipi 2:16 (SWHULB) »
Shikani sana neno la uzima ili kwamba niwe na sababu ya kutukuza siku ya Kristo. Kisha nitafahamu kwamba sikupiga mbio bure wala sikutaabika bure.

Habakuki 2:13 SWHULB Bible Verse Image
Habakuki 2:13 (SWHULB) »
Hii haitoki kwa Yahwe wa majeshi kwamba watu wafanye kazi kwa moto na mataifa yote mengine yanachakaa menyewe bila kitu?

Zaburi 127:1 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 127:1 (SWHULB) »
Yahwe asipoijenga nyumba, waijengao wafanya kazi bure. Yahwe asipoulinda mji, aulindaye afanya kazi bure.

1 Wathesalonike 1:3 SWHULB Bible Verse Image
1 Wathesalonike 1:3 (SWHULB) »
Tunaikumbuka bila kukoma mbele ya Mungu na baba yetu kazi yenu ya imani, juhudi ya upendo, na uvumilivu wenye ujasiri kwa ajili ya baadaye katika Bwana Yesu Kristo.

1 Wathesalonike 2:13 SWHULB Bible Verse Image
1 Wathesalonike 2:13 (SWHULB) »
Kwa sababu hiyo twamshukuru Mungu pia kila wakati. Kwa kuwa wakati mlipo pokea kutoka kwetu ujumbe wa Mungu mliosikia, mlipokea si kama neno la wanadamu. Badala yake, mlipokea kama kweli ilivyo, neno la Mungu. Ni neno hili ambalo linalofanya kazi kati yenu mnaoamini.

1 Wathesalonike 3:5 SWHULB Bible Verse Image
1 Wathesalonike 3:5 (SWHULB) »
Kwa sababu hii, nilipo kuwa siwezi kuvumilia tena, nilituma ilikusudi nipate kujua juu ya imani yenu. Huenda mjaribu alikuwa angalau amewajaribu, na kazi yetu ikawa ni bure.

Wagalatia 4:11 SWHULB Bible Verse Image
Wagalatia 4:11 (SWHULB) »
Ninaogopa kwamba kwa namna fulani nimejitaabisha bure.

Wagalatia 2:2 SWHULB Bible Verse Image
Wagalatia 2:2 (SWHULB) »
Nilienda kwa sababu Mungu alijidhihirisha kwangu kwamba nilipaswa kwenda. Niliweka mbele yao Injili ambayo niliitangaza kwa watu wa mataifa. (Lakini niliongea kwa siri kwa waliosemekana kuwa viongozi muhimu). Nilifanya hivi ili kuhakikisha kwamba nilikuwa sikimbii, au nilikimbia bure.

2 Wakorintho 6:1 SWHULB Bible Verse Image
2 Wakorintho 6:1 (SWHULB) »
Na kwa hiyo, kufanya kazi pamoja, tunawasihi ninyi msiipokee neema ya Mungu pasipo matokeo.

1 Wakorintho 15:2 SWHULB Bible Verse Image
1 Wakorintho 15:2 (SWHULB) »
Ni katika injili hii mmeokolewa, kama mkilishika imara neno nililowahubiri ninyi, isipokuwa mliamini bure.

Available Bible Translations

American Standard Version
1 Thessalonians 2:1 (ASV) »
GOD’S WORD® (GW)
1 Thessalonians 2:1 (GW) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
1 थिस्सलुनीकियों 2:1 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
1 ਥੱਸਲੁਨੀਕੀਆਂ 2:1 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
1 থিচলনীকীয়া 2:1 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
1 தெசலோனிக்கேயர் 2:1 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
1 थेस्सलनीकाकरांस 2:1 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
1 తెస్సలోనిక పత్రిక 2:1 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
1 થેસ્સલોનિકીઓને 2:1 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
1 ಥೆಸಲೋನಿಕದವರಿಗೆ 2:1 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
١ تسالونيكي 2:1 (AVD) »
Bíblia Sagrada Português
1 Tessalonicenses 2:1 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
1 Thê-sa-lô-ni-ca 2:1 (VIE) »
Reina Valera Antigua
1 Tesalonicenses 2:1 (RVA) »
圣 经 简体中文和合本
帖 撒 罗 尼 迦 前 书 2:1 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
帖 撒 羅 尼 迦 前 書 2:1 (CUVT) »
Библия на русском
1 Фессалоникийцам 2:1 (RUSV) »
Українська Біблія
1 солунян 2:1 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
1 Thesszalonika 2:1 (KAR) »
Българска Библия
1 Солунци 2:1 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
1 Tesaloniika 2:1 (SOM) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »