2 Petro 3:10 SWHULB Desktop Background Pictures

Christian Desktop Wallpapers with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download 2 Petro 3:10 SWHULB computer desktop wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

2 Petro 3:10 SWHULB Desktop Wallpaper - Ingawa, siku ya Bwana itakuja kama mwizi, mbingu - Desktop Bible Verse Wallpaper

2 Petro 3:10 SWHULB

Ingawa, siku ya Bwana itakuja kama mwizi, mbingu itapita kwa kupaza kelele. Vitu vitateketezwa kwa moto. Nchi na vitu vyote vilivyomo vitafunuliwa wazi.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

2 Petro 3:10 SWHULB desktop wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

2 Petro 3:10 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to 2 Petro 3:10 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Ufunuo 21:1 SWHULB Bible Verse Image
Ufunuo 21:1 (SWHULB) »
Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya, kwa kuwa mbingu ya kwanza na nchi ya kwanza zimekwishapita, na bahari haikuwepo tena.

Mathayo 24:35 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 24:35 (SWHULB) »
Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.

Ufunuo 16:15 SWHULB Bible Verse Image
Ufunuo 16:15 (SWHULB) »
(“Tazama! Ninakuja kama mwizi! Heri yule adumuye katika kukesha, atunzaye mavazi yake ili asiweze kwenda nje uchi na kuiona aibu yake.”)

2 Petro 3:7 SWHULB Bible Verse Image
2 Petro 3:7 (SWHULB) »
Lakini sasa mbingu na dunia zimetunzwa kwa neno hilo hilo kwa ajili ya moto. Vimehifadhiwa kwa ajili ya siku ya hukumu na maangamizi ya watu wasio wa Mungu

1 Wathesalonike 5:2 SWHULB Bible Verse Image
1 Wathesalonike 5:2 (SWHULB) »
Kwa kuwa ninyi wenyewe mwajua kwa usahihi ya kuwa siku ya Bwana inakuja kama mwizi ajapo usiku.

Isaya 51:6 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 51:6 (SWHULB) »
Nyanyueni macho yanu juu angani, na tazama nchi chini, maana mbingu zitatoweka mbali kama moshi, na nchi itachakaa kama vazi, na wenyeji wake watakufa kama inzi. Lakini wokovu wangu utaendelea daima, na haki yangu haitaacha kutenda kazi.

Ufunuo 20:11 SWHULB Bible Verse Image
Ufunuo 20:11 (SWHULB) »
Kisha niliona kiti cha enzi kikubwa cheupe na yule ambaye alikaa juu yake. Dunia na mbingu zilikimbia mbali kutoka katika uwepo wake, lakini hapakuwako nafasi ya wao kwenda.

Luka 12:39 SWHULB Bible Verse Image
Luka 12:39 (SWHULB) »
Zaidi ya hayo, mjue hili, kama bwana mwenye nyumba angelijua saa ambayo mwivi anakuja, asingeliruhusu nyumba yake ifunjwe.

Mathayo 24:42 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 24:42 (SWHULB) »
Kwa hiyo, kuweni macho kwa sababu hamjui ni siku gani ambayo atakuja Bwana wenu.

Isaya 34:4 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 34:4 (SWHULB) »
Nyota zote angani zitafifia, na anga litakunjwa kama kitabu; na nyota zake zitafifia mbali, kama tawi linavyonyauka kwenye mzabibu, kama tunda lilokomaa kwenye mti.

2 Petro 3:12 SWHULB Bible Verse Image
2 Petro 3:12 (SWHULB) »
Inakupasa kujua na kutambua haraka ujio wa siku ya Mungu. Siku hiyo mbingu itateketezwa kwa moto. Na vitu vitayeyushwa katika joto kali.

Marko 13:31 SWHULB Bible Verse Image
Marko 13:31 (SWHULB) »
Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.

Available Bible Translations

American Standard Version
2 Peter 3:10 (ASV) »
King James Version
2 Peter 3:10 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
2 Peter 3:10 (GW) »
World English Bible
2 Peter 3:10 (WEB) »
Louis Segond 1910
2 Pierre 3:10 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
2 पतरस 3:10 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
2 ਪਤਰਸ 3:10 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
2 পিতরের 3:10 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
2 பேதுரு 3:10 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
2 पेत्र 3:10 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
2 పేతురు పత్రిక 3:10 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
2 પિતરનો 3:10 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
2 ಪೇತ್ರನು 3:10 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
٢ بطرس 3:10 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
אגרת כיפא השניה 3:10 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
2 Pedro 3:10 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
2 Phi-rơ 3:10 (VIE) »
Reina Valera Antigua
2 Pedro 3:10 (RVA) »
圣 经 简体中文和合本
彼 得 后 书 3:10 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
彼 得 後 書 3:10 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
2 Pjetrit 3:10 (ALB) »
Библия на русском
2 Петра 3:10 (RUSV) »
Українська Біблія
2 Петра 3:10 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
2 Péter 3:10 (KAR) »
Българска Библия
2 Петрово 3:10 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
2 Butros 3:10 (SOM) »
De Heilige Schrift
2 Petrus 3:10 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »