3 Yohana 1:10 Wallpaper Backgrounds
3 Yohana 1:10 SWHULB Desktop Background Pictures
Christian Desktop Wallpapers with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download 3 Yohana 1:10 SWHULB computer desktop wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.
Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community
Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.
This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.
You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:
- You include the above copyright and source information.
- If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
- If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.
Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.
3 Yohana 1:10 SWHULB
Hivyo, kama nikija nitayakumbuka matendo yake anayoyafanya, jinsi anavyosema maneno mabaya kinyume nasi. Hajaridhika na matendo haya, yeye mwenyewe hawapokei ndugu. Hata huwakataza wengine ambao wanatamani kuwakaribisha hao ndugu na kuwafukuza watoke kwenye kusanyiko.
View New TabSocial Share Icons
3 Yohana 1:10 SWHULB desktop wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.
3 Yohana 1:10 Bible Cross References
This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to 3 Yohana 1:10 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.
Mithali 10:10 (SWHULB) »
Yeye ambaye hukonyeza kwa jicho lake huleta majonzi, bali mpumbavu mwenye maneno mengi atatupwa chini.
Isaya 66:5 (SWHULB) »
Sikiliza neno la Yahwe, ewe utemekae kwa neno lake, ''Kaka zako wanaonichukia na kukutenga wewe kwa ajili ya jina langu walisema, 'Na atukuzwe Yahwe, halafu tutaiona furaha yenu; lakini mtatiwa katika aibu.
Mithali 10:8 (SWHULB) »
Wale wenye akili hukubali maagiza, bali mpumbavu mwenye maneno mengi ataangamia.
Luka 6:22 (SWHULB) »
Mmebarikiwa ninyi ambao watu watakapowachukia na kuwatenga na kuwashutumu ninyi kwamba ni waovu, kwa ajili ya Mwana Adamu.
Yohana 9:34 (SWHULB) »
Walijibu na kumwambia, “Ulizaliwa katika dhambi kabisa, na wewe unatufundisha sisi?” Ndipo walipomfukuza kutoka katika sinagogi.
2 Wakorintho 13:2 (SWHULB) »
Nimekwishashasema kwa hao waliotenda dhambi kabla na kwa wengine wote wakati nilipokuwa huko mara ya pili, na ninasema tena: Nitakapokuja tena, sitawavumilia.
2 Wakorintho 10:1 (SWHULB) »
Mimi Paulo, mwenyewe nawasihi kwa unyenyekevu na upole wa Kristo. Mimi ni mpole wakati nikiwa mbele yenu, Lakini ninaujasiri kwenu wakati nikiwa mbali nanyi.
1 Wakorintho 5:1 (SWHULB) »
Tumesikia taarifa kuwa kuna zinaa miongoni mwenu, aina ya zinaa ambayo haipo hata katikati ya watu wa Mataifa. Tuna taarifa kwamba mmoja wenu analala na mke wa baba yake.
Yohana 9:22 (SWHULB) »
Wazazi wake walisema mambo haya, kwa sababu waliwaogopa Wayahudi. Kwa vile Wayahudi walikuwa wamekubaliana tayari kuwa, ikiwa yeyote atakiri kuwa Yesu ni Kristo, atatengwa na Sinagogi.
Available Bible Translations
3 John 1:10 (ASV) »
3 John 1:10 (KJV) »
3 John 1:10 (GW) »
3 John 1:10 (BSB) »
3 John 1:10 (WEB) »
3 Jean 1:10 (LSG) »
3 Johannes 1:10 (LUTH1912) »
3 यूहन्ना 1:10 (HINIRV) »
3 ਯੂਹੰਨਾ 1:10 (PANIRV) »
3 যোহনের 1:10 (BENIRV) »
3 யோவான் 1:10 (TAMIRV) »
3 योहान 1:10 (MARIRV) »
3 యోహాను పత్రిక 1:10 (TELIRV) »
3 યોહાનનો 1:10 (GUJIRV) »
3 ಯೋಹಾನನು 1:10 (KANIRV) »
٣ يوحنَّا 1:10 (AVD) »
אגרת יוחנן השלישית 1:10 (HEB) »
3 João 1:10 (BSL) »
3 Giăng 1:10 (VIE) »
3 Juan 1:10 (RVA) »
3 Giovanni 1:10 (RIV) »
约 翰 三 书 1:10 (CUVS) »
約 翰 三 書 1:10 (CUVT) »
3 Gjonit 1:10 (ALB) »
3 Johannesbrevet 1:10 (SV1917) »
3 Иоанна 1:10 (RUSV) »
3 Івана 1:10 (UKR) »
3 János 1:10 (KAR) »
3 Йоаново 1:10 (BULG) »
ヨハネの第三の手紙 1:10 (JPN) »
3 Johannes 1:10 (NORSK) »
3 Jana 1:10 (POLUBG) »
3 Yooxanaa 1:10 (SOM) »
3 Johannes 1:10 (NLD) »
3 Johannes 1:10 (DA1871) »
3 Yohana 1 (SWHULB) Verse Selection
SWHULB Bible Book Selection List
Popular Bible Verses by Topic
Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic
Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness WordView All Bible Topics »