Mhubiri 5:2 SWHULB Desktop Background Pictures

Christian Desktop Wallpapers with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Mhubiri 5:2 SWHULB computer desktop wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Mhubiri 5:2 SWHULB Desktop Wallpaper - Usiwe mwepesi wa kuongea kwa mdomo wako, na - Desktop Bible Verse Wallpaper

Mhubiri 5:2 SWHULB

Usiwe mwepesi wa kuongea kwa mdomo wako, na usiufanye moyo wako kuleta jambo lolote kwa haraka mbele za Mungu. Mungu yuko mbinguni, lakini uko chini, kwa hiyo maneno yako yawe machache.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Mhubiri 5:2 SWHULB desktop wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Mhubiri 5:2 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Mhubiri 5:2 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Mathayo 6:7 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 6:7 (SWHULB) »
Na unapokuwa ukiomba, usirudie rudie maneno yasiyo na maana kama mataifa wanavyofanya, kwa kuwa wanafikiri kwamba watasikiwa kwa sababu ya maneno mengi wanayosema.

Mithali 10:19 SWHULB Bible Verse Image
Mithali 10:19 (SWHULB) »
Katika maneno mengi, hapakosi uhalifu, bali aliyemwangalifu katika usemi wake ni mwenye busara.

Isaya 55:9 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 55:9 (SWHULB) »
maana kama vile mbingu zilivyo juu kuliko nchi, hivyo ndivyo njia zangu zilivyo juu kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.

Mathayo 6:9 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 6:9 (SWHULB) »
Hivyo basi omba hivi: Baba yetu uliye mbinguni, ulitukuze jina lako.

Waraka wa Yakobo 3:2 SWHULB Bible Verse Image
Waraka wa Yakobo 3:2 (SWHULB) »
Kwa kuwa wote tunakosea katika njia nyingi. Kama yeyote huwa hajikwai katika maneno yake, huyo ni mtu mkamilifu, aweza kudhibiti mwili wake wote pia.

Mwanzo 18:27 SWHULB Bible Verse Image
Mwanzo 18:27 (SWHULB) »
Abraham akajibu na kusema, “Tazama, Nimeshika kusema na Bwana wangu, hata kama mimi ni mavumbi na majivu!

Mhubiri 5:7 SWHULB Bible Verse Image
Mhubiri 5:7 (SWHULB) »
Kwa kuwa katika ndoto nyingi, kama ilivyo katika maneno mengi, kuna mvuke ubatili. Hivyo mwogope Mungu.

Mithali 20:25 SWHULB Bible Verse Image
Mithali 20:25 (SWHULB) »
Ni mtego kwa mtu kusema kwa pupa, “ Kitu hiki ni kitakatifu” na kuanza kufikiri juu yake kwamba kina maana gani baada ya kufanya kiapo.

Mwanzo 18:32 SWHULB Bible Verse Image
Mwanzo 18:32 (SWHULB) »
Akasema, “Tafadhali usikasirike, Bwana, na nitasema jambo hili kwa mara ya mwisho. Huenda kumi wakaonekana kule.” Na akasema, sitaangamiza kwa ajili ya hao kumi.”

Zaburi 115:3 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 115:3 (SWHULB) »
Mungu wetu aliye mbinguni; hufanya chochote apendacho.

Mhubiri 5:3 SWHULB Bible Verse Image
Mhubiri 5:3 (SWHULB) »
Kama una mambo mengi ya kufanya na kuhangaika, pengine utapata ndoto mbaya. Na pengine utaongea maneno mengi ya upumbavu.

Hesabu 30:2 SWHULB Bible Verse Image
Hesabu 30:2 (SWHULB) »
Mtu yeyote atakayefanya nadhiri kwa BWANA, au kuapa kwa kiapo ili kufunga nafsi yake kwa ahadi, asivunje neno lake. Atafanya sawa na ahadi yake imtokayo kinywani mwake.

Available Bible Translations

American Standard Version
Ecclesiastes 5:2 (ASV) »
King James Version
Ecclesiastes 5:2 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Ecclesiastes 5:2 (GW) »
World English Bible
Ecclesiastes 5:2 (WEB) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
सभोपदेशक 5:2 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਉਪਦੇਸ਼ਕ 5:2 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
উপদেশক 5:2 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
பிரசங்கி 5:2 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
उपदेशक 5:2 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
ప్రసంగి 5:2 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
સભાશિક્ષક 5:2 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಪ್ರಸಂಗಿ 5:2 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
اَلْجَامِعَةِ 5:2 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
קהלת 5:2 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Eclesiastes 5:2 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Giảng Sư 5:2 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Eclesiastés 5:2 (RVA) »
圣 经 简体中文和合本
传 道 书 5:2 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
傳 道 書 5:2 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Predikuesi 5:2 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
Predikaren 5:2 (SV1917) »
Библия на русском
Екклесиаст 5:2 (RUSV) »
Українська Біблія
Екклезіяст 5:2 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Prédikátor 5:2 (KAR) »
Българска Библия
Еклесиаст 5:2 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
Wacdiyahii 5:2 (SOM) »
De Heilige Schrift
Prediker 5:2 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »