Wagalatia 6:5 SWHULB Desktop Background Pictures

Christian Desktop Wallpapers with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Wagalatia 6:5 SWHULB computer desktop wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Wagalatia 6:5 SWHULB Desktop Wallpaper - Maana kila mtu atachukua mzigo wake - Desktop Bible Verse Wallpaper

Wagalatia 6:5 SWHULB

Maana kila mtu atachukua mzigo wake mwenyewe.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Wagalatia 6:5 SWHULB desktop wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Wagalatia 6:5 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Wagalatia 6:5 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Yeremia 32:19 SWHULB Bible Verse Image
Yeremia 32:19 (SWHULB) »
Wewe ni mkuu katika hekima na una nguvu katika matendo, kwa maana macho yako yanaona njia zote za watu, ili kumlipa kila mtu stahiki ya matendo yake.

Warumi 14:10 SWHULB Bible Verse Image
Warumi 14:10 (SWHULB) »
Lakini wewe, kwa nini unamuhukumu ndugu yako? Na wewe, kwa nini unamdharau ndugu yako? Kwa kuwa sisi sote tutasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu.

Warumi 2:6 SWHULB Bible Verse Image
Warumi 2:6 (SWHULB) »
Yeye atamlipa kila mtu kipimo sawa na matendo yake:

Ufunuo 2:23 SWHULB Bible Verse Image
Ufunuo 2:23 (SWHULB) »
Nitawapiga wanawe wafe na makanisa yote watajua kwamba mimi ndiye niyachunguzaye mawazo na tamaa. Nitampa kila mmoja wenu kadiri ya matendo yake.

2 Wakorintho 5:10 SWHULB Bible Verse Image
2 Wakorintho 5:10 (SWHULB) »
Kwa kuwa lazima wote tuonekane mbele ya kiti cha hukumu cha Kristo, ili kwamba kila mmoja aweze kupokea kile kinachostahili kwa mambo yaliyofanyika katika mwili, ikiwa ni kwa uzuri au kwa ubaya.

Isaya 3:10 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 3:10 (SWHULB) »
Mwambie mtu mwenye haki kwamba itakuwa vizuri, maana watakula matunda ya matendo yao.

Mathayo 16:27 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 16:27 (SWHULB) »
Kwa kuwa Mwana wa Adamu atakuja katika utukufu wa Baba yake na malaika wake. Naye atamlipa kila mtu kulingana na matendo yake.

Yeremia 17:10 SWHULB Bible Verse Image
Yeremia 17:10 (SWHULB) »
Mimi ni Bwana, ninayechunguza akili, ambaye hujaribu viuno. Ninampa kila mtu kulingana na njia zake, kulingana na matunda ya matendo yake.

Ufunuo 20:12 SWHULB Bible Verse Image
Ufunuo 20:12 (SWHULB) »
Niliwaona waliokufa - hodari na wasio wa muhimu wamesimama katika kiti cha enzi, na vitabu vilifunuliwa. Kisha kitabu kingine kilifunguliwa - Kitabu cha Uzima. Wafu walihukumiwa kwa kile kilichoandikwa ndani ya vitabu, matokeo ya kile walichokifanya.

1 Wakorintho 3:8 SWHULB Bible Verse Image
1 Wakorintho 3:8 (SWHULB) »
Sasa apandaye na atiaye maji wote ni sawa, na kila mmoja atapokea ujira wake kulingana na kazi yake.

1 Wakorintho 4:5 SWHULB Bible Verse Image
1 Wakorintho 4:5 (SWHULB) »
Kwa hiyo, msitamke hukumu juu ya lolote kabla ya wakati, kabla ya kuja kwa Bwana. Atayaleta nuruni mambo yaliyofichika gizani na kufunua makusudi ya mioyo. Ndipo kila mmoja atapokea sifa yake kutoka kwa Mungu.

Ezekieli 18:4 SWHULB Bible Verse Image
Ezekieli 18:4 (SWHULB) »
Tazama! Kila uhai ni mali yangu-uhai wa baba na uhai wa mwana pia, ni mali yangu! roho itendayo dhambi ndiyo itakayokufa!

Available Bible Translations

American Standard Version
Galatians 6:5 (ASV) »
King James Version
Galatians 6:5 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Galatians 6:5 (GW) »
World English Bible
Galatians 6:5 (WEB) »
Louis Segond 1910
Galates 6:5 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
गलातियों 6:5 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਗਲਾਤਿਯਾ 6:5 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
গালাতীয়া 6:5 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
கலாத்தியர் 6:5 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
गलतीकरांस 6:5 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
గలతీ పత్రిక 6:5 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
ગલાતીઓને 6:5 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಗಲಾತ್ಯದವರಿಗೆ 6:5 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
غَلاطِيَّة 6:5 (AVD) »
Bíblia Sagrada Português
Gálatas 6:5 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Ga-la-ti 6:5 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Gálatas 6:5 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Galati 6:5 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
加 拉 太 书 6:5 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
加 拉 太 書 6:5 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Galatasve 6:5 (ALB) »
Библия на русском
Галатам 6:5 (RUSV) »
Українська Біблія
галатів 6:5 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Galátzia 6:5 (KAR) »
Българска Библия
Галатяни 6:5 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
Galatiya 6:5 (SOM) »
De Heilige Schrift
Galaten 6:5 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »