Isaya 1:6 SWHULB Desktop Background Pictures

Christian Desktop Wallpapers with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Isaya 1:6 SWHULB computer desktop wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Isaya 1:6 SWHULB Desktop Wallpaper - Kutoka kwenye unyayo wa mguu mpaka kichwani kila - Desktop Bible Verse Wallpaper

Isaya 1:6 SWHULB

Kutoka kwenye unyayo wa mguu mpaka kichwani kila sehemu ina maumivu; ni madonda na majeraha mabichi yaliyoachwa wazi, ambayo hayajafungwa, kuasifishwa, kuwafunga vidonda vyao, wala kuwaponya kwa mafuta.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Isaya 1:6 SWHULB desktop wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Previous Verse
« Isaya 1:5 (SWHULB)

Isaya 1:6 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Isaya 1:6 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Yeremia 6:14 SWHULB Bible Verse Image
Yeremia 6:14 (SWHULB) »
Lakini wameponya vidonda vya watu wangu kwa juu juu tu. Wanasema, 'Amani! Amani! na kumbe amani haipo.

Luka 10:34 SWHULB Bible Verse Image
Luka 10:34 (SWHULB) »
Alimkaribia na kumfunga vidonda vyake, akimwiga mafuta na divai juu yake. Alimpandisha juu ya mnyama wake, na kumpeleka katika nyumba ya wageni na kumhudumia.

Mathayo 9:12 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 9:12 (SWHULB) »
Yesu aliposikia hayo, naye alisema “ Watu walio na afya nzuri hawahitaji mganga, isipokuwa wale walio wagonjwa.

Zaburi 38:3 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 38:3 (SWHULB) »
Mwili wangu wote unaumwa kwa sababu ya hasira yako; kwa sababu ya dhambi zangu mifupa yangu haina afya.

2 Nyakati 6:28 SWHULB Bible Verse Image
2 Nyakati 6:28 (SWHULB) »
Kama kuna njaa katika nchi, au kama kuna ugonjwa, tauni au ukungu, nzige au viwavijeshi, au kama adui wake wameyavamia malango ya mji katika nchi yao, au kwamba kuna pigo lolote au ugonjwa—

Malaki 4:2 SWHULB Bible Verse Image
Malaki 4:2 (SWHULB) »
Lakini kwenu mnaoliogopa jina langu, jua la haki litawaangazia na uponyaji katika mbawa zake. Mtarukaruka kama ndama zizini.

Nahumu 3:19 SWHULB Bible Verse Image
Nahumu 3:19 (SWHULB) »
Hakuna uponyaji unaowezekana kwa ajili ya vidonda vyako. Vidonda vyako ni vikubwa. Wanaosikia habari juu yako watapiga makofi kwa furaha juu yako. Ni nani aliyejiepusha kwa uovu wako wa daima?

Hosea 5:12 SWHULB Bible Verse Image
Hosea 5:12 (SWHULB) »
Kwa hiyo nitakuwa kama nondo kwa Efraimu, na kama uozo kwa nyumba ya Yuda.

Yeremia 33:6 SWHULB Bible Verse Image
Yeremia 33:6 (SWHULB) »
Lakini ona, niko karibu kuleta uponyaji na tiba, kwa maana nitawaponya na nitawapa wingi wa, amani na uamainifu.

Yeremia 8:21 SWHULB Bible Verse Image
Yeremia 8:21 (SWHULB) »
Nimeumia kwa sababu ya maumivu ya binti wa watu wangu. Ninaomboleza kwa sababu ya mambo ya kushangaza ambayo yametokea kwake; Nimeyeyuka.

Yeremia 30:12 SWHULB Bible Verse Image
Yeremia 30:12 (SWHULB) »
Kwa maana Yahwe anasema hivi, 'Jeraha lako si la kupona; kidonda chako kimeenea.

Zaburi 77:2 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 77:2 (SWHULB) »
Katika siku ya taabu nilimtafuta Bwana; usiku niliinua mikono yangu, nayo haikuchoka. Moyo wangu ulikataa kufarijiwa.

Available Bible Translations

American Standard Version
Isaiah 1:6 (ASV) »
King James Version
Isaiah 1:6 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Isaiah 1:6 (GW) »
World English Bible
Isaiah 1:6 (WEB) »
Louis Segond 1910
Ésaïe 1:6 (LSG) »
Luther Bibel 1912
Jesaja 1:6 (LUTH1912) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
यशायाह 1:6 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਯਸਾਯਾਹ 1:6 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
যিচয়া 1:6 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
ஏசாயா 1:6 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
यशया 1:6 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
యెషయా 1:6 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
યશાયા 1:6 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಯೆಶಾಯನು 1:6 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
إِشَعْيَاءَ 1:6 (AVD) »
תנ ך עברי מודרני
ישעיה 1:6 (HEB) »
Bíblia Sagrada Português
Isaías 1:6 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
I-sai-a 1:6 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Isaías 1:6 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Isaia 1:6 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
以 赛 亚 书 1:6 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
以 賽 亞 書 1:6 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Isaia 1:6 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
Jesaja 1:6 (SV1917) »
Библия на русском
Исаия 1:6 (RUSV) »
Українська Біблія
Ісая 1:6 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Ézsaiás 1:6 (KAR) »
Българска Библия
Исая 1:6 (BULG) »
Det Norsk Bibel
Jesaja 1:6 (NORSK) »
Kitaabka Quduuska Ah
Ishacyaah 1:6 (SOM) »
De Heilige Schrift
Jesaja 1:6 (NLD) »
Dansk Bibel 1871
Esajas 1:6 (DA1871) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »