Luka 8:28 SWHULB Desktop Background Pictures

Christian Desktop Wallpapers with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Luka 8:28 SWHULB computer desktop wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Luka 8:28 SWHULB Desktop Wallpaper - Alipomwona Yesu akalia kwa sauti, na akaanguka - Desktop Bible Verse Wallpaper

Luka 8:28 SWHULB

Alipomwona Yesu akalia kwa sauti, na akaanguka chini mbele yake. kwa sauti kubwa akisema, Nimefanya nini kwako, Yesu mwana wa Mungu aliye juu? Nakusihi, Usiniadhibu mimi”

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Luka 8:28 SWHULB desktop wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Previous Verse
« Luka 8:27 (SWHULB)

Luka 8:28 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Luka 8:28 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Mathayo 8:29 SWHULB Bible Verse Image
Mathayo 8:29 (SWHULB) »
Tazama, walipaza sauti na kusema, “Tuna nini cha kufanya kwako, mwana wa Mungu? Umekuja hapa kututesa kabla ya wakati kufika?”

Isaya 27:1 SWHULB Bible Verse Image
Isaya 27:1 (SWHULB) »
Katika siku hiyo Yahwe kwa upanga wake ulio mgumu, mkubwa na mkali, atamadhibu Leviathani na nyoka yule anayetambaa kwa kupenya, na atamuua mnyama anayeishi baharini.

Ufunuo 20:10 SWHULB Bible Verse Image
Ufunuo 20:10 (SWHULB) »
Shetani, ambaye aliwadanganya, alitupwa ndani ya ziwa liwakalo kiberiti, ambamo mnyama na nabii wa uongo walikuwa wameshatupwa. Watateswa mchana na usiku milele na milele.

1 Yohana 3:8 SWHULB Bible Verse Image
1 Yohana 3:8 (SWHULB) »
Atendaye dhambi ni wa ibilisi, kwa sababu ibilisi ni mtenda dhambi tangu mwanzo. Kwa sababu hii Mwana wa Mungu alidhihilishwa ili aweze kuziharibu kazi za ibilisi.

2 Petro 2:4 SWHULB Bible Verse Image
2 Petro 2:4 (SWHULB) »
Maana Mungu hakuwaacha malaika waliokengeuka. Bali aliwatupa kuzimu ili wafungwe minyororo mpaka hukumu itakapowajilia.

Waraka wa Yakobo 2:19 SWHULB Bible Verse Image
Waraka wa Yakobo 2:19 (SWHULB) »
Waamini kuwa kuna Mungu mmoja; uko sahihi. Lakini mapepo nayo yanaamini hivyo na kutetemeka.

Matendo ya Mitume 16:16 SWHULB Bible Verse Image
Matendo ya Mitume 16:16 (SWHULB) »
Ikawa kwamba, tulipokuwa tunaenda mahali pa kuomba, msichana mmoja aliyekuwa na pepo la utambuzi akakutana nasi. Alimletea bwana wake faida nyingi kwa kubashiri.

Luka 8:37 SWHULB Bible Verse Image
Luka 8:37 (SWHULB) »
Watu wote wa mkoa wa Wagerasi na maeneo yaliyozunguka walimwomba Yesu aondoke kwao kwa sababu walikuwa na hofu kuu. Na aliingia kwenye mtumbwi ili arudi.

Luka 4:33 SWHULB Bible Verse Image
Luka 4:33 (SWHULB) »
Sasa siku hiyo ndani ya sinagogi, kulikuwa na mtu aliyekuwa na roho ya pepo mchafu, na alilia kwa sauti ya juu,

Marko 1:24 SWHULB Bible Verse Image
Marko 1:24 (SWHULB) »
akisema, “Tuna nini cha kufanya na wewe, Yesu wa Nazareti? Umekuja kutuangamiza? Nakujua u nani. Wewe ni Mtakatifu pekee wa Mungu!”

Marko 5:6 SWHULB Bible Verse Image
Marko 5:6 (SWHULB) »
Alipomwona Yesu kwa mbali, alikimbilia kwake na kuinama mbele yake.

Ufunuo 20:1 SWHULB Bible Verse Image
Ufunuo 20:1 (SWHULB) »
Kisha niliona malaika akishuka kutoka mbinguni, akiwa na ufunguo wa shimo lisilo na mwisho na mnyororo mkubwa mkononi mwake.

Available Bible Translations

American Standard Version
Luke 8:28 (ASV) »
King James Version
Luke 8:28 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Luke 8:28 (GW) »
World English Bible
Luke 8:28 (WEB) »
Louis Segond 1910
Luc 8:28 (LSG) »
Luther Bibel 1912
Lukas 8:28 (LUTH1912) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
लूका 8:28 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਲੂਕਾ 8:28 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
লূক 8:28 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
லூக்கா 8:28 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
लूक 8:28 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
లూకా 8:28 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
લૂક 8:28 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಲೂಕನು 8:28 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
لُوقا 8:28 (AVD) »
Bíblia Sagrada Português
Lucas 8:28 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Lu-ca 8:28 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Lucas 8:28 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Luca 8:28 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
路 加 福 音 8:28 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
路 加 福 音 8:28 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Luka 8:28 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
Lukas 8:28 (SV1917) »
Библия на русском
Луки 8:28 (RUSV) »
Українська Біблія
Луки 8:28 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Lukács 8:28 (KAR) »
Българска Библия
Лука 8:28 (BULG) »
Det Norsk Bibel
Lukas 8:28 (NORSK) »
Kitaabka Quduuska Ah
Luukos 8:28 (SOM) »
De Heilige Schrift
Lukas 8:28 (NLD) »
Dansk Bibel 1871
Lukas 8:28 (DA1871) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »