Wafilipi 3:1 SWHULB Desktop Background Pictures

Christian Desktop Wallpapers with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Wafilipi 3:1 SWHULB computer desktop wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Wafilipi 3:1 SWHULB Desktop Wallpaper - Hatimaye, ndugu zangu furahini katika Bwana. - Desktop Bible Verse Wallpaper

Wafilipi 3:1 SWHULB

Hatimaye, ndugu zangu furahini katika Bwana. Sioni usumbufu kuwaandikia tena maneno yaleyale. Haya mambo yatawapa usalama.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Wafilipi 3:1 SWHULB desktop wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Wafilipi 3:1 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Wafilipi 3:1 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Wafilipi 4:4 SWHULB Bible Verse Image
Wafilipi 4:4 (SWHULB) »
katika Bwana siku zote. tena nitasema, furahini.

Warumi 5:11 SWHULB Bible Verse Image
Warumi 5:11 (SWHULB) »
Siyo hivi tu, bali pia tunafurahi katika Mungu kupitia Bwana Yesu Kristo, kupitia yeye ambaye sasa tumepokea upatanisho huu.

1 Petro 4:13 SWHULB Bible Verse Image
1 Petro 4:13 (SWHULB) »
Lakini kwa kadri mnavyozidi kupata uzoefu wa mateso ya Kristo, furahini, ili kwamba mfurahi pia na kushangilia katika ufunuo wa utukufu wake.

Waraka wa Yakobo 1:2 SWHULB Bible Verse Image
Waraka wa Yakobo 1:2 (SWHULB) »
Hesabuni kuwa ni furaha zaidi, ndugu zangu, mnapopita katika matatizo mbali mbali,

2 Wakorintho 13:11 SWHULB Bible Verse Image
2 Wakorintho 13:11 (SWHULB) »
Hatimaye, ndugu wa kiume na wa kike, furahini! fanyeni kazi kwa ajili ya urejesho, mtiwe moyo, kubalianeni ninyi kwa ninyi, muishi katika amani. Na Mungu wa upendo na amani atakuwa pamoja nanyi.

Wafilipi 4:8 SWHULB Bible Verse Image
Wafilipi 4:8 (SWHULB) »
Hatimaye, ndugu zangu; yatakafarini sana mambo yote yenye ukweli, heshima, haki, usafi, upendo, na yale yenye taarifa njema, yenye busara, pamoja na yale yanayohitaji kusifiwa.

Joeli 2:23 SWHULB Bible Verse Image
Joeli 2:23 (SWHULB) »
Furahini, enyi watu wa Sayuni, na kufurahi katika Bwana, Mungu wenu. Kwa maana atakupa mvua ya vuli kwa kiasi na kuleta mvua kwa ajili yenu, mvua ya vuli na mvua ya masika kama hapo awali.

Habakuki 3:17 SWHULB Bible Verse Image
Habakuki 3:17 (SWHULB) »
Ingawa mtini hauchipui na hauzai kutokana na mzababibu; na ingawa kuzaa kwa mti wa mzaituni hakuridhishi na mashamba hayatoi chakula; na ingawa kundi mifugo limetoweka na hakuna ng'ombe katika zizi, hiki ndicho nitakacho kifanya.

Sefania 3:17 SWHULB Bible Verse Image
Sefania 3:17 (SWHULB) »
Yahwe Mungu wako yuko katikati yenu, mwenye nguvu wa kuwaokoa. Atasherehekea juu yenu na kwa furaha atakuwa kimya juu yenu kwa upendo wake. Atakuwa na furaha juu yenu na atashangilia kwa furaha,

Sefania 3:14 SWHULB Bible Verse Image
Sefania 3:14 (SWHULB) »
Imba, binti Sayuni! Piga kelele, Israeli. Ufurahi na kushangilia kwa moyo wako wote, binti wa Yerusalemu.

Zekaria 10:7 SWHULB Bible Verse Image
Zekaria 10:7 (SWHULB) »
Ndipo Efraimu atakapokuwa kama shujaa, na mioyo yao itafurahi kama kwa mvinyo; wana wao wataona na kufurahi. Mioyo yao itanifurahia!

Available Bible Translations

American Standard Version
Philippians 3:1 (ASV) »
King James Version
Philippians 3:1 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Philippians 3:1 (GW) »
World English Bible
Philippians 3:1 (WEB) »
Louis Segond 1910
Philippiens 3:1 (LSG) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
फिलिप्पियों 3:1 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਫਿਲਿੱਪੀਆਂ 3:1 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
ফিলিপীয়া 3:1 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
பிலிப்பியர் 3:1 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
फिलिप्पैकरांस 3:1 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
ఫిలిప్పీ పత్రిక 3:1 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
ફિલિપ્પીઓને 3:1 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ಫಿಲಿಪ್ಪಿಯವರಿಗೆ 3:1 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
فِيلِبِّي 3:1 (AVD) »
Bíblia Sagrada Português
Filipenses 3:1 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Phi-líp 3:1 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Filipenses 3:1 (RVA) »
圣 经 简体中文和合本
腓 立 比 书 3:1 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
腓 立 比 書 3:1 (CUVT) »
Библия на русском
Филиппийцам 3:1 (RUSV) »
Українська Біблія
филип'ян 3:1 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Filippi 3:1 (KAR) »
Българска Библия
Филипяни 3:1 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
Filiboy 3:1 (SOM) »
De Heilige Schrift
Filippenzen 3:1 (NLD) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »