Warumi 3:2 SWHULB Desktop Background Pictures

Christian Desktop Wallpapers with inspirational Bible quotes on beautiful images and backgrounds. Download Warumi 3:2 SWHULB computer desktop wallpapers with Bible verses and share with your friends and family on any social media platform. Bible verse pictures were created based on verses from the Swahili Unlocked Literal Bible (SWHULB). The Holy Bible in the Swahili language, Unlocked Literal Bible version.

Copyright © 2019 Door43 World Missions Community
Language: Kiswahili (Swahili)
Translation by: Door43 World Missions Community

Contributors: Alfred Danjuma, Bariki Malisa, Christina Abraham Kileo, Cloud Roman, Daniel Marura Chacha, Dina Mast, Dina Roman, Donald Shadarck Dutuyi, Emmanuel Masanja Mbaaga, Emmanuel Nyamalya, Erasmus Peter Malelo, Ev. Lazaro Chalomhola, Ezekiel Manala, Fred, Gabriel Gidale Merus, Gabriel Lwitakubi Mazige, James Makula, James Semnkai, Jeremiah Masasi, Jesse Katabi Masolwa, John Ojasi, Joyce Gilbert Masasi, Karen Riecks, Kazwanomo, Kennedy, Ker, Lameck Yakobo Tobotobo, Laurent Petro Malelo, Lazarus David Chalomhola, Makene Mafwele, Marco Luma Mahushi, Mathew Nkusa, Mathias William, Mr. James Semnkai .It., Musa Isaya Majama, Musa Luzali, Pastor John Kerim, Pastor Jordan, Philipo Mussa Kanwelle, Raphael Musa, Rev. Charles Mabisa, Rev. Yohana Batano, Robert Ndalahwa, Sadiki Kulwa, Samson Nungwana, Thobias Kazwanomo, Yohana Dutuyi, Yohana Magera, Zelote Loilang'akaki Lukumay, Rev. Erasmus Peter Malelo, Ev. Mathew Kazimoto, Rev. Dr. David Magoke, Rev. Elias Ndema, Rev. Alex Nyuri, Rev. Gungutu Elias, Rev. Lameck Tobotobo, Rev. Catherin D. Matia, Rev. Yohana S Dutuyi, Rev. Donald Dutuyi, GS. Andrew Gewe, Ev. Ezekiel Daudi, Rev. John Ndaluka, Ev. Moses Malugu, Rev. Moses Eliakim Ndege, Past. Isack A. Gomugo, Past. Mathias William, Rev. Yekonia M. Koko, Rev. Elisande Mhanga, Ev. James A. Makula.

This translation is made available to you under the terms of the Creative Commons Attribution Share-Alike license 4.0.

You have permission to share and redistribute this Bible translation in any format and to make reasonable revisions and adaptations of this translation, provided that:

  • You include the above copyright and source information.
  • If you make any changes to the text, you must indicate that you did so in a way that makes it clear that the original licensor is not necessarily endorsing your changes.
  • If you redistribute this text, you must distribute your contributions under the same license as the original.

Credits: In addition, we would like to give very special thanks to eBible.org for making Swahili Unlocked Literal Bible available in MySQL format.

Warumi 3:2 SWHULB Desktop Wallpaper - Ni vyema sana kwa kila njia. Awali ya yote, - Desktop Bible Verse Wallpaper

Warumi 3:2 SWHULB

Ni vyema sana kwa kila njia. Awali ya yote, Wayahudi walikabidhiwa ufunuo kutoka kwa Mungu.

View New Tab


Social Share Icons

Share on Tumblr
Share on Pinterest
Share on LinkedIn
Share on WhatsApp

Warumi 3:2 SWHULB desktop wallpapers are generated using nature scenery backgrounds and scenic photos.

Warumi 3:2 Bible Cross References

This cross-reference page section has been added with the hope of bringing in-depth meaning and understanding to the Scriptures. The cross references below can help identify similarities between Bible passages. The verses below have been identified in our system as verses related to Warumi 3:2 SWHULB. Please click on any image below to navigate to that specific Bible verse page.

Matendo ya Mitume 7:38 SWHULB Bible Verse Image
Matendo ya Mitume 7:38 (SWHULB) »
Huyu ni mtu ambaye alikuwa katika mkutano jangwani na malaika ambaye aliongea naye katika mlima Sinai. Huyu ndiye mtu ambaye alikuwa na baba zetu, huyu ni mtu ambaye alipokea neno lililo hai na kutupatia sisi.

Warumi 9:4 SWHULB Bible Verse Image
Warumi 9:4 (SWHULB) »
Wao ni Waisraeli. Walio na hali ya kufanyika watoto, wa utukufu, wa maagano, na zawadi ya sheria, kumwabudu Mungu, na ahadi.

Zaburi 147:19 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 147:19 (SWHULB) »
Hutangaza neno lake kwa Yakobo, amri zake na hukumu zake kwa Israeli.

Torati 4:7 SWHULB Bible Verse Image
Torati 4:7 (SWHULB) »
Kuna taifa gani jingine la vile liko hapo lina mungu karibu nao, kama Yahwe Mungu wetu tunapomwita wakati wowote?

1 Wakorintho 9:17 SWHULB Bible Verse Image
1 Wakorintho 9:17 (SWHULB) »
Kwa maana nikifanya hivi kwa hiari yangu, nina thawabu. Lakini ikiwa si kwa hiari, bado nina jukumu nililopewa kuwa wakili.

Wahebrania 5:12 SWHULB Bible Verse Image
Wahebrania 5:12 (SWHULB) »
Ijapokuwa kwa kipindi hiki mlipaswa kuwa walimu, bado kuna umuhimu wa mtu kuwafundisha mafundisho ya awali ya kanuni za neno la Mungu. Mnahitaji maziwa na si chakula kigumu.

1 Petro 4:11 SWHULB Bible Verse Image
1 Petro 4:11 (SWHULB) »
Kama mtu akiongea, na iwe kama mausia ya Mungu, na kama mtu akihudumu, na iwe kama uwezo aliopewa na Mungu, ili kwamba kwa kila jambo Mungu apate kutukuzwa kupitia Yesu Kristo. Utukufu na uweza vina Yeye milele na milele. Amina.

Nehemia 9:13 SWHULB Bible Verse Image
Nehemia 9:13 (SWHULB) »
Ulishuka juu ya Mlima Sinai ukazungumza nao kutoka mbinguni ukawapa amri za haki na sheria za kweli, amri nzuri na maagizo.

Ezekieli 20:11 SWHULB Bible Verse Image
Ezekieli 20:11 (SWHULB) »
Kisha nikawapa amri zangu na kufanya maagizo yangu kujulikana kwao, kwa kila mwanadamu atakayezishika ataishi.

Warumi 11:15 SWHULB Bible Verse Image
Warumi 11:15 (SWHULB) »
Maana ikiwa kukataliwa kwao ni maridhiano ya dunia, kupokelewa kwao kutakuwaje ila uhai toka kwa wafu?

Zaburi 78:4 SWHULB Bible Verse Image
Zaburi 78:4 (SWHULB) »
Tutawaambia kizazi kijacho kuhusu sifa anazostahili Yahwe kwa matendo yake, nguvu zake, na maajabu ambayo ameyafanya.

2 Timotheo 3:15 SWHULB Bible Verse Image
2 Timotheo 3:15 (SWHULB) »
Unatambua ya kuwa tangu utotoni mwako uliyajua maandiko matakatifu. Haya yanaweza kukuhekimisha kwa ajili ya wokovu kwa njia ya imani katika kristo Yesu.

Available Bible Translations

American Standard Version
Romans 3:2 (ASV) »
King James Version
Romans 3:2 (KJV) »
GOD’S WORD® (GW)
Romans 3:2 (GW) »
World English Bible
Romans 3:2 (WEB) »
Louis Segond 1910
Romains 3:2 (LSG) »
Luther Bibel 1912
Römer 3:2 (LUTH1912) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - हिंदी
रोमियों 3:2 (HINIRV) »
ਭਾਰਤੀ ਸੋਧਿਆ ਹੋਇਆ ਸੰਸਕਰਣ - ਪੰਜਾਬੀ
ਰੋਮੀਆਂ 3:2 (PANIRV) »
ভারতীয় সংশোধিত সংস্করণ - বাংলা
ৰোমীয়া 3:2 (BENIRV) »
இந்தியன் ரீவைஸ்டு வேர்ஷன் - தமிழ்
ரோமர் 3:2 (TAMIRV) »
इंडियन रिवाइज्ड वर्जन - मराठी
रोमकरांस 3:2 (MARIRV) »
ఇండియన్ రేవిజ్డ్ వెర్షన్ - తెలుగు
రోమీయులకు 3:2 (TELIRV) »
ઇન્ડિયન રિવાયઝ્ડ વર્ઝન - ગુજરાતી
રોમનોને 3:2 (GUJIRV) »
ಭಾರತೀಯ ಪರಿಷ್ಕೃತ ಆವೃತ್ತಿ - ಕನ್ನಡ
ರೋಮಾಪುರದವರಿಗೆ 3:2 (KANIRV) »
الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايك
رُومِيَةَ 3:2 (AVD) »
Bíblia Sagrada Português
Romanos 3:2 (BSL) »
Kinh Thánh: Tiếng Việt
Rô-ma 3:2 (VIE) »
Reina Valera Antigua
Romanos 3:2 (RVA) »
La Sacra Bibbia
Romani 3:2 (RIV) »
圣 经 简体中文和合本
罗 马 书 3:2 (CUVS) »
聖 經 繁體中文和合本
羅 馬 書 3:2 (CUVT) »
Bibla e Shenjtë
Romakëve 3:2 (ALB) »
Svenska Bibeln 1917
Romarbrevet 3:2 (SV1917) »
Библия на русском
Римлянам 3:2 (RUSV) »
Українська Біблія
римлян 3:2 (UKR) »
Szent Biblia - Magyar
Róma 3:2 (KAR) »
Българска Библия
Римляни 3:2 (BULG) »
Kitaabka Quduuska Ah
Rooma 3:2 (SOM) »
De Heilige Schrift
Romeinen 3:2 (NLD) »
Dansk Bibel 1871
Romerne 3:2 (DA1871) »

SWHULB Bible Book Selection List

Popular Bible Verses by Topic

Searching for the most powerful Bible verses? We offer beautiful, inspirational Bible verse pictures and images by topic. Choose from popular Bible verse topics. Select any popular Bible topic below or you can view the complete list: Bible Verse Pictures by Topic

Abundance Blessed Comfort Courage Enemies Eternal Life Fear God Grace Heart Help Hope Jesus Joy Life Light Longsuffering Love Patience Peace Power Purpose Redeemer Salvation Sanctification Strength Temptation Trust Unrighteousness Word

View All Bible Topics »